CHADEMA Makambako waanza ujenzi wa ofisi ya Jimbo

Sidhani kama unachangia uzi huu
 
Sehem ambazo watu wameona mabegi ata ww umeona na umesikia bado unakataa ,je ata uko kwako ingekua umeona ungesema
 
Sehem ambazo watu wameona mabegi ata ww umeona na umesikia bado unakataa ,je ata uko kwako ingekua umeona ungesema
Nyie watu sijui what are you smoking?!
 
Upinzani sio ofisi.tukiwaambia vichwani mmefunga subwoofer mnakua wakali kwelii.ona sasa
 
Hawa jamaa hawajawahi kuwa serious aisee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sioni tofali hata moja zaidi ya kupiga picha na masururu tu
Dah.
 
Kwa hiyo wewe hayo mabegi uliyaona?!
Ww unazan kwann iyo abar ipo,ni kwa sababu yalionekana ,labda useme je yalikuwepo kila sehem la umuhim kuna sehem yalionekana
 
Hongera zao waweke tangazo la akaunt na no. mpesa nitawachangia walau mifuko 2 ya saruji.
 
Ww unazan kwann iyo abar ipo,ni kwa sababu yalionekana ,labda useme je yalikuwepo kila sehem la umuhim kuna sehem yalionekana
Unazan.....
iyo....abari...
 
Mkuu kwa ninavyojua roho mbaya ya waccm,kama ilikuwa ni maigizo kweli.basi hao kina mdee sa hizi wangekuwa wananyea debe mpaka waeleze hizo karatasi walizipata wapi?.lakini kwa sababu ni kweli kulikuwa na kura feki walizotengeneza maccm wanafunika Kombe mwanaharamu apite.
CCM NA UKATILI NI DAMDAM.
 
Kama mnawekeza nguzu zenu zote kubomoa misingi ya wenzenu halafu mnawakebehi kwani mini hawajengi. Bila shaka mtakuwa na akili mbovu Sana.
Jinsi unavyojeieleza tu, inaonyesha una upeo mdogo sana wa kuelewa mambo ndiyo maana unatumia lugha za generalization.
 
japo chadema haikushindwa uchaguzi uliopita
Ni vigumu kuniaminisha kuwa kijiji chenye watu mia tano, kina ofisi za CCM tu, na kunapotokea mgogoro wanakwenda kusuluhishana kwenye ofisi za CCM, halafu eti ghafla siku ya uchaguzi wanakwenda kuipigia CHADEMA ambao hawana uwakilishi wowote hapo kijijini.
 
Ni Jambo jema! Ingawa najiuliza kwanini walisubiri mpaka Uchaguzi upite?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…