CHADEMA Makambako waanza ujenzi wa ofisi ya Jimbo

Siyo upuuzi hata kidogo kuamini kuwa JPM alishinda more than 80 per cent...ila ni upuuzi kuamini kuwa Lissu angemkaribia
Nimesema UPOFU, mkuu! Swala la upuuzi Wewe ndo unalileta! Kuwaza unavyowaza ni mahaba ya dhati, keep it up!
 
Na wewe keep it up na UPOFU wako tofauti na ule wa kwangu....Amsterdam oyeee mabeberu oyee..halafu ni suala na siyo swala...
 
Hiyo ni typing error tu Cha msingi ni ujumbe.contents makosa yako tu ndo maana kuna editors
 
Nawashauri wabuni ramani paa la zege,milango chuma, wenye roho mbaya hawapendi kusikia haya wanaweza kuchoma moto.
 
Na wewe keep it up na UPOFU wako tofauti na ule wa kwangu....Amsterdam oyeee mabeberu oyee..halafu ni suala na siyo swala...
Mabeberu wanasababisha mambo yako mengi ikiwepo kwenda chooni, sema shukurani zenu ni chache!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].......mnachekesha sana
 
Dah ila CHADEMA wabishi sana, nimependa spirit yao, Mungu awaongoze
 
Utajua mwenyewe ..jifunze kutotumia matusi mitandaoni
Wewe unapaniki bure tu, mama angu na Baba angu wanahusika nini? Nimekueleleza ukweli kwamba, hao unaowaita mabeberu wana kusaidia mengi ikiwepo kwenda chooni, hapo tusi liko wapi? Kwani kama siyo hao waastaarabu kuleta mfumo wa kutumia vyoo si ungekua bado unakunya porini?! Au umejua tu kufunga tai lakini hujui ustaarabu? Unajua kumwita Mtu beberu ni tusi, pia?
 
Ok sawa...Kama ni hivyo hata baba na mama yako mzazi nao wamesaidiwa pia kwenda chooni..kwa hiyo kwa maelezo yako hakuna tusi hapo...hivyo huna haja ya kuendelea ku-comment...
 
Back
Top Bottom