1. Ni jambo zuri kuzitahadharisha mamlaka ili zichukue hatua
2. Lakini lazima mfahamu kuwa hiyo ni mikakati inayoratibiwa na dola yenyewe chini ya maRC na maDC kwa baraka zote za NEC
3. Wanafanya hivyo, ili kuipa hoja CCM na mgombea wao ambaye hana kibali kwa UMMA na kwa MUNGU kuongoza nchi, kusema "....mnaona amefika Chato kazomewa kwa sababu hawamtaki..."
USHAURI:
¶ There's no going back. Lazima mapambano yaendelee. Kama wanataka kuleta fujo, waanzishe hiyo fujo, SISI TUTAIMALIZA!!
¶ Mgombea Urais, Tundu Lissu lazima afike kila sehemu na afanye mikutano yake kulingana na ratiba!!
¶ Imesemwa na inasemwa sana na mgombea Urais wetu Mh. Tundu Lissu, kuwa kuikomboa nchi toka kwa manyang'au CCM na vibaraka wao is not an easier job, kuwanyang'anya dola hawa inahitaji kulipa huge price..
Gharama yenyewe ndiyo hii..!!
Adui yuko desperate. Anaitetea pumzi yake ya mwisho. Hawezi ku - survive. Amechoka. Yuko tayari ku - surrender. ALUTA CONTINUA...