Uchaguzi 2020 CHADEMA: Matukio ya Chato, Kahama yanatishia usalama wa Tundu Lissu

CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA UMMA

Chama ch ma Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesikitishwa na kupokea kwa tahadhari kubwa matukio yanayotishia uvunjifu wa haki na uhuru nchini, kuhatarisha amani ya nchi na hata kuwa dalili zingine za wazi za kuharibu na kuvuruga Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 28, 2020 na hivyo kinazitaka mamlaka zinazohusika kuchukua hatua za haraka kuzuia vitendo hivyo.

Kitendo cha Jeshi la Polisi Wilayani Kahama kuvamia msafara wa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chadema, Mhe. Tundu Lissu na kuwashambulia kwa silaha za moto wananchi waliokuwa wakitembea kwa amani kumsindikiza Mhe. Lissu kwenda hotelini na kuwatishia waandishi wa habari, ni mwendelezo wa vitendo vya jeshi hilo kukiuka Maadili ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2020 na taratibu zingine za kisheria nchini.

Aidha, tukio la watu ambao hawajakamatwa, waliokuwa na silaha, kuwavamia Mgombea Ubunge wa Chadema, Jimbo la Chato na Katibu wa Chadema katika eneo hilo, kisha wakafanya uharibifu mkubwa wa mali na kutishia usalama wa viongozi hao, ni mwendelezo wa matukio dhidi ya Chadema na viongozi wake maeneo mbalimbali nchi nzima ambayo hakuna hatua zozote za kisheria zimechukuliwa.

Tukio hilo la kuvamia viongozi wa Chadema Jimbo la Chato usiku wa kuamkia leo, linafanana kwa namna moja ama nyingine na lile la kuvamiwa na kuchomwa moto kwa Ofisi ya Chadema Kanda ya Kaskazini, jijini Arusha. Matukio yote yamefanyika muda mfupi kabla Mgombea Urais wa Chadema Mhe. Lissu hajafika maeneo hayo kwa ajili ya vikao na mikutano inayohusu shughuli za Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020.

Chadema inayachukulia matukio yote hayo mawili yaliyotokea Kahama na Chato kuwa na tishio kwa usalama wa Mgombea Urais Mhe. Lissu na mwendelezo wa dalili za wazi za kuvuruga na kuharibu Uchaguzi Mkuu.

Pamoja na kulaani vikali matendo hayo yanayokiuka Maadili ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2020 na taratibu zingine za kisheria za nchi yetu, Chadema inazitaka mamlaka zinazohusika ikiwemo NEC na Jeshi la Polisi kuchukua hatua za haraka kuzuia uhalifu huo unaovunja haki na kutishia amani wakati huu wa kampeni za Uchaguzi Mkuu. Kunyamazia vitendo hivyo itatafsiriwa kuwa vinafanyika kwa baraka za vyombo vyenye mamlaka ya kuzuia visitokee.

Imetolewa leo Jumanne Oktoba 13, 2020 na;

Tumaini Makene
Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano
UHUNI WA KITOTO HUU INAMAANA NAYE MAGUFULI AKIFIKA SINGIDA AFANYIWE FUJO THATS A SHITTS OF ALL SHITTS
 
Huenda adui anataka kufa na mtu.viongozi hasa wa dini msinyamazie hali hi kwani wapo yayari kwa Lolote lakini wasitoke ndikilo.mweee
 
Chadema mnasiasa za kishamba sana, kulikuwa kuna ulazima gani wa kwenda Chato??

Kama mna haki ya kwenda huko kwakua ni sehemu ya Tanzania, kwanini mara zote wakipata mradi wowote mnawananga kama vile hawastahili kupata mradi wowote.

Sikutegemea reaction tofauti na hii, Inaeleweka kabisa kwa mtu yeyote anayefahamu kauli za mgombea wenu kwa watu wa chato kabla ya kwenda huko.

Lisu anajifanya ana akili mingi kumbe kajaa ushamba uliopitiliza.
Hivi hiyo stroke ya ubongo ulonayo haijapona tu?ENDELEA KUTUMIA DAWA,MKUU....USISAHAU VITUNGUU SWAUMU..HUKU HAPAKUFAI

Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
 
Acheni mambo ya kipumbavu kufanya mambo kwa makusudi
mnasababisha watu wasio hatia kuumia sababu ya upuuzi wenu
"kupuuza sheria kuhusu mikusanyiko"

Hovyo sana nyie watu.
Eti Maccm hayataki TunduALissu alale Chato, yaani ni hivi mtake msitake leo TL atalala chato, nyie si mnajikuta watalaam wa kutoa roho za watu basi jaribuni leo muone, nyambafuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie CHADEMA nchi hii ni salama sana na mkileta upuuzi wenu wa kutaka kuchafua amani hasa kipindi hiki mtapigwa tu hakuna namna na tuone hao wazungu waliowatuma kama watawasaidia
Haya ni madhara ya kutumia akili za jalalani
 
Nyie CHADEMA nchi hii ni salama sana na mkileta upuuzi wenu wa kutaka kuchafua amani hasa kipindi hiki mtapigwa tu hakuna namna na tuone hao wazungu waliowatuma kama watawasaidia
Eti wanaandamana kwa amani kumsindikiza Lisu hotelini vituko vilioje.

Sent from my SM-M205F using JamiiForums mobile app
 
Nyie CHADEMA nchi hii ni salama sana na mkileta upuuzi wenu wa kutaka kuchafua amani hasa kipindi hiki mtapigwa tu hakuna namna na tuone hao wazungu waliowatuma kama watawasaidia
gasho ww
 
Nec ya CCM inayo ng'ata upande mmoja tu !!!.Mbona hauulizi na upande wa pili Ratiba ina vurugwa na hatuioni hiyo NecCCM ikijitokeza !?.Mh Magufuli anasimama popote na anafanya lolote na habugudhiwi ,Raia kwa mapenzi yao wana msindikiza Mgombea wao kwenda Hotel mnawa shambulia.Nna sikitika Wapinzani Nchi hii kuchukiwa na kuchukuliwa kama maadui na Dola inayoongozwa na CCM,dola inayotakiwa kukaa katikati.
 
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA UMMA

Chama ch ma Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesikitishwa na kupokea kwa tahadhari kubwa matukio yanayotishia uvunjifu wa haki na uhuru nchini, kuhatarisha amani ya nchi na hata kuwa dalili zingine za wazi za kuharibu na kuvuruga Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 28, 2020 na hivyo kinazitaka mamlaka zinazohusika kuchukua hatua za haraka kuzuia vitendo hivyo.

Kitendo cha Jeshi la Polisi Wilayani Kahama kuvamia msafara wa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chadema, Mhe. Tundu Lissu na kuwashambulia kwa silaha za moto wananchi waliokuwa wakitembea kwa amani kumsindikiza Mhe. Lissu kwenda hotelini na kuwatishia waandishi wa habari, ni mwendelezo wa vitendo vya jeshi hilo kukiuka Maadili ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2020 na taratibu zingine za kisheria nchini.

Aidha, tukio la watu ambao hawajakamatwa, waliokuwa na silaha, kuwavamia Mgombea Ubunge wa Chadema, Jimbo la Chato na Katibu wa Chadema katika eneo hilo, kisha wakafanya uharibifu mkubwa wa mali na kutishia usalama wa viongozi hao, ni mwendelezo wa matukio dhidi ya Chadema na viongozi wake maeneo mbalimbali nchi nzima ambayo hakuna hatua zozote za kisheria zimechukuliwa.

Tukio hilo la kuvamia viongozi wa Chadema Jimbo la Chato usiku wa kuamkia leo, linafanana kwa namna moja ama nyingine na lile la kuvamiwa na kuchomwa moto kwa Ofisi ya Chadema Kanda ya Kaskazini, jijini Arusha. Matukio yote yamefanyika muda mfupi kabla Mgombea Urais wa Chadema Mhe. Lissu hajafika maeneo hayo kwa ajili ya vikao na mikutano inayohusu shughuli za Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020.

Chadema inayachukulia matukio yote hayo mawili yaliyotokea Kahama na Chato kuwa na tishio kwa usalama wa Mgombea Urais Mhe. Lissu na mwendelezo wa dalili za wazi za kuvuruga na kuharibu Uchaguzi Mkuu.

Pamoja na kulaani vikali matendo hayo yanayokiuka Maadili ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2020 na taratibu zingine za kisheria za nchi yetu, Chadema inazitaka mamlaka zinazohusika ikiwemo NEC na Jeshi la Polisi kuchukua hatua za haraka kuzuia uhalifu huo unaovunja haki na kutishia amani wakati huu wa kampeni za Uchaguzi Mkuu. Kunyamazia vitendo hivyo itatafsiriwa kuwa vinafanyika kwa baraka za vyombo vyenye mamlaka ya kuzuia visitokee.

Imetolewa leo Jumanne Oktoba 13, 2020 na;

Tumaini Makene
Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano
Mie ninaona Kama CHADEMA bado hamjajielewa katika hili.... Ngoja niishie hapo.
 
Yaani mfa maji kweli haishi kutapatapa. Maji yako shingoni TAL anatafuta njia tuu ya kuleta vurugu. Waliochoma nyumba huko Arusha ni wao wao ili kutaka vurugu ianze. Hatudanganyiki. TAL na kundi lake mwageni sera zenu za nini mtafanya mkipata dola. Msiendelee kutafuta huruma kwa wananchi. Anayetafutwa hapa ni Rais atakayewaletea maendeleo Watanzania; na siyo anayelialia akitafuta huruma. Tueleze utatufanyia nini zaidi ya tulichopata kwa JPJM.
Kuna siku mtaambiwa mshike ukuta
 
Hapana tusikimbilie kuwalaumu polisi. Tujiulize ni upi utaratibu wa mikutano na maandamano na je maandamano yanahitaji kufuata utaratibu gani?....we must see these issues critically.
 
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA UMMA

Chama ch ma Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesikitishwa na kupokea kwa tahadhari kubwa matukio yanayotishia uvunjifu wa haki na uhuru nchini, kuhatarisha amani ya nchi na hata kuwa dalili zingine za wazi za kuharibu na kuvuruga Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 28, 2020 na hivyo kinazitaka mamlaka zinazohusika kuchukua hatua za haraka kuzuia vitendo hivyo.

Kitendo cha Jeshi la Polisi Wilayani Kahama kuvamia msafara wa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chadema, Mhe. Tundu Lissu na kuwashambulia kwa silaha za moto wananchi waliokuwa wakitembea kwa amani kumsindikiza Mhe. Lissu kwenda hotelini na kuwatishia waandishi wa habari, ni mwendelezo wa vitendo vya jeshi hilo kukiuka Maadili ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2020 na taratibu zingine za kisheria nchini.

Aidha, tukio la watu ambao hawajakamatwa, waliokuwa na silaha, kuwavamia Mgombea Ubunge wa Chadema, Jimbo la Chato na Katibu wa Chadema katika eneo hilo, kisha wakafanya uharibifu mkubwa wa mali na kutishia usalama wa viongozi hao, ni mwendelezo wa matukio dhidi ya Chadema na viongozi wake maeneo mbalimbali nchi nzima ambayo hakuna hatua zozote za kisheria zimechukuliwa.

Tukio hilo la kuvamia viongozi wa Chadema Jimbo la Chato usiku wa kuamkia leo, linafanana kwa namna moja ama nyingine na lile la kuvamiwa na kuchomwa moto kwa Ofisi ya Chadema Kanda ya Kaskazini, jijini Arusha. Matukio yote yamefanyika muda mfupi kabla Mgombea Urais wa Chadema Mhe. Lissu hajafika maeneo hayo kwa ajili ya vikao na mikutano inayohusu shughuli za Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020.

Chadema inayachukulia matukio yote hayo mawili yaliyotokea Kahama na Chato kuwa na tishio kwa usalama wa Mgombea Urais Mhe. Lissu na mwendelezo wa dalili za wazi za kuvuruga na kuharibu Uchaguzi Mkuu.

Pamoja na kulaani vikali matendo hayo yanayokiuka Maadili ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2020 na taratibu zingine za kisheria za nchi yetu, Chadema inazitaka mamlaka zinazohusika ikiwemo NEC na Jeshi la Polisi kuchukua hatua za haraka kuzuia uhalifu huo unaovunja haki na kutishia amani wakati huu wa kampeni za Uchaguzi Mkuu. Kunyamazia vitendo hivyo itatafsiriwa kuwa vinafanyika kwa baraka za vyombo vyenye mamlaka ya kuzuia visitokee.

Imetolewa leo Jumanne Oktoba 13, 2020 na;

Tumaini Makene
Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano

Tukio hilo la kuvamia viongozi wa Chadema Jimbo la Chato usiku wa kuamkia leo, linafanana kwa namna moja ama nyingine na lile la kuvamiwa na kuchomwa moto kwa Ofisi ya Chadema Kanda ya Kaskazini, jijini Arusha. Matukio yote yamefanyika muda mfupi kabla Mgombea Urais wa Chadema Mhe. Lissu hajafika maeneo hayo kwa ajili ya vikao na mikutano inayohusu shughuli za Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020.
HII INATIA MASHAKA- itakuwa nyinyi wenyewe unayafanya kwa sababu ya mnazojua wenyewe
 
Yaani mfa maji kweli haishi kutapatapa. Maji yako shingoni TAL anatafuta njia tuu ya kuleta vurugu. Waliochoma nyumba huko Arusha ni wao wao ili kutaka vurugu ianze. Hatudanganyiki. TAL na kundi lake mwageni sera zenu za nini mtafanya mkipata dola. Msiendelee kutafuta huruma kwa wananchi. Anayetafutwa hapa ni Rais atakayewaletea maendeleo Watanzania; na siyo anayelialia akitafuta huruma. Tueleze utatufanyia nini zaidi ya tulichopata kwa JPJM.
Nilikuwa sijui kumbe humu kuna mazuzu mgombea wa ubunge chadema kapigwa sana msafara wa lisu umepigwa mawe mpaka akaamua barabara ifungwe iliapate msaada mtumungine kapigwa mnyoo huko anasema anatafuta vurugu tujiepushe nakusapoti ujima umepitwa sasa usipotangaza kwakutumia tv mitandao inatukatia kiu eti alalamika makubwa ndio anaandaa vurugu haàa!
 
CHADEMA mbona hamchukui hatua? Au mnakwepa mtego wa CCM?
Kwani hujawasikia NEC wakisema vyama vyote viendeshe uchaguzi kwa ustaarabu na amani au kwa sababu ccm mnabebwa na tumeccm, safari hii chadema watakuwa wapole hadi tufike siku ya kupiga kura kumg`oa nduli meko,baada ya hapo ndo patachimbika aisee
 
Back
Top Bottom