Uchaguzi 2020 CHADEMA: Matukio ya Chato, Kahama yanatishia usalama wa Tundu Lissu

Magufuli aloenda Ikungi alikozaliwa Lisu na anafanya mkutano kwa amani kabisa bila kisasi Cha wenyeji Pamoja na kuwaambia mtoto wao ajitoe kugombea urais Amuunge mkono atampa kazi “ndogo ndogo “

Leo hii Kwenye kijiji chake anaweka interahamwe wamdhuru mwenzake
Mbona wasukuma huwa hawako hivyo ?
 
Chadema mbona hamchukui hatua? Au mnakwepa mtego wa fisiemu?

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Mbona wanachukua hatua za kula ruzuku, michango ya wabunge na kunywa faru John..!?. Mbowe na genge lake watachukua hatua gani,vibaraka hao. Wananchi wazalendo tumechoka na upunguani wenu.
 
Magufuli aloenda Ikungi alikozaliwa Lisu na anafanya mkutano kwa amani kabisa bila kisasi Cha wenyeji Pamoja na kuwaambia mtoto wao ajitoe kugombea urais Amuunge mkono atampa kazi “ndogo ndogo “

Leo hii Kwenye kijiji chake anaweka interahamwe wamdhuru mwenzake
Mbona wasukuma huwa hawako hivyo ?
Magufuli usukuma wake unawalakini
Wengi wanadai ni muhutu kutoka burundi
 
Yaani mfa maji kweli haishi kutapatapa. Maji yako shingoni TAL anatafuta njia tuu ya kuleta vurugu. Waliochoma nyumba huko Arusha ni wao wao ili kutaka vurugu ianze. Hatudanganyiki. TAL na kundi lake mwageni sera zenu za nini mtafanya mkipata dola. Msiendelee kutafuta huruma kwa wananchi. Anayetafutwa hapa ni Rais atakayewaletea maendeleo Watanzania; na siyo anayelialia akitafuta huruma. Tueleze utatufanyia nini zaidi ya tulichopata kwa JPJM.
Nimelikosa ni tusi linalokufaa ila umenielewa.
 
IGP kama kweli yuko serious basi aanze na hao WAHUNI WA CCM, hayo MAGENGE ndio yatakayotumika pia kupora nakala za matokeo kwa Mawakala kama ambavyo walifanya kwa Wagombea Ubunge na Udiwani. This is a failed Government, Magufuli must go.
 
Je kwa nini wafanye haya mbele ya polisi?
IGP kama kweli yuko serious basi aanze na hao WAHUNI WA CCM, hayo MAGENGE ndio yatakayotumika pia kupora nakala za matokeo kwa Mawakala kama ambavyo walifanya kwa Wagombea Ubunge na Udiwani. This is a failed Government, Magufuli must go.
 
Magufuli aloenda Ikungi alikozaliwa Lisu na anafanya mkutano kwa amani kabisa bila kisasi Cha wenyeji Pamoja na kuwaambia mtoto wao ajitoe kugombea urais Amuunge mkono atampa kazi “ndogo ndogo “

Leo hii Kwenye kijiji chake anaweka interahamwe wamdhuru mwenzake
Mbona wasukuma huwa hawako hivyo ?
Tangu lini umemsikia Magufuli akitukana na kubeza hawa vibaraka?. Mwache achezee, ndio atie adabu huyo bwabwa
 
Nawasikitikia hawa wastaafu majaji na wakuu wa polisi kwa kumalizia kazi yao vibaya,na kibaya zaidi wanahatari ya kuja kumalizia maisha yao magerezani.
Ni jambo jema kama watamaliza kazi zao vizuri ili baadae waje wapokee tuzo za heshima
 
Mkome wana chato wame wanyoosha hahaha
IGP kama kweli yuko serious basi aanze na hao WAHUNI WA CCM, hayo MAGENGE ndio yatakayotumika pia kupora nakala za matokeo kwa Mawakala kama ambavyo walifanya kwa Wagombea Ubunge na Udiwani. This is a failed Government, Magufuli must go.
 
Yaani mfa maji kweli haishi kutapatapa. Maji yako shingoni TAL anatafuta njia tuu ya kuleta vurugu. Waliochoma nyumba huko Arusha ni wao wao ili kutaka vurugu ianze. Hatudanganyiki. TAL na kundi lake mwageni sera zenu za nini mtafanya mkipata dola. Msiendelee kutafuta huruma kwa wananchi. Anayetafutwa hapa ni Rais atakayewaletea maendeleo Watanzania; na siyo anayelialia akitafuta huruma. Tueleze utatufanyia nini zaidi ya tulichopata kwa JPJM.
pumbaaa
 
Naona unaleta harakati za migomo ya wanafunzi chuoni kwenye maisha halisi ya mtaani. Lissu is doomed kama hatabadilika na kujiongeza. Akiendelea kufuata ushauri kama huu wako sijui.
upumbavu tupu
 
Nyie CHADEMA nchi hii ni salama sana na mkileta upuuzi wenu wa kutaka kuchafua amani hasa kipindi hiki mtapigwa tu hakuna namna na tuone hao wazungu waliowatuma kama watawasaidia

Zwazwa katika ubora wako
 
Chadema media tafuteni clip ya “shukranii ya Punda ni mateke “

Naona na leo Punda wa chatto wamerusha mateke
 
Kwani ameenda kwa mujibu wa ratiba ya NEC?
Ujue sometimes unaongea mambo ambayo yanakuvunjia heshima,unaweka ukada mbele kuliko uhalisia na ukweli ulivyo. Halafu nakushangaa unavyofurahia mambo ya uvunjifu wa amani yanayoendelea.
 
Chadema mnasiasa za kishamba sana, kulikuwa kuna ulazima gani wa kwenda Chato??

Kama mna haki ya kwenda huko kwakua ni sehemu ya Tanzania, kwanini mara zote wakipata mradi wowote mnawananga kama vile hawastahili kupata mradi wowote.

Sikutegemea reaction tofauti na hii, Inaeleweka kabisa kwa mtu yeyote anayefahamu kauli za mgombea wenu kwa watu wa chato kabla ya kwenda huko.

Lisu anajifanya ana akili mingi kumbe kajaa ushamba uliopitiliza.
 
Tunawaambia watu watalijua tu neno HAKI na ipo siku watajua UMUHIMU wa neno hili,waswahili wanasema mzahamzaha hutumbua usaa,huwezi kuheshimu mkutano huu alafu ukaenda kuashambuliwa mkutano mwingine lzm kuna kitu unatafuta.

HAKI HAKI HAKI ndio AMANI YA NCHI YETU.Tusipoelewa kuna matukio yatakayofanya tuelewe labda ukifika wakati viongozi wetu wakihitajika kwenda THE HAGUE ndio tutaanza kuelewa.
 
Tunawaambia watu watalijua tu neno HAKI na ipo siku watajua UMUHIMU wa neno hili,waswahili wanasema mzahamzaha hutumbua usaa,huwezi kuheshimu mkutano huu alafu ukaenda kuashambuliwa mkutano mwingine lzm kuna kitu unatafuta.

HAKI HAKI HAKI ndio AMANI YA NCHI YETU.Tusipoelewa kuna matukio yatakayofanya tuelewe labda ukifika wakati viongozi wetu wakihitajika kwenda THE HAGUE ndio tutaanza kuelewa.
 
Yaani mfa maji kweli haishi kutapatapa. Maji yako shingoni TAL anatafuta njia tuu ya kuleta vurugu. Waliochoma nyumba huko Arusha ni wao wao ili kutaka vurugu ianze. Hatudanganyiki. TAL na kundi lake mwageni sera zenu za nini mtafanya mkipata dola. Msiendelee kutafuta huruma kwa wananchi. Anayetafutwa hapa ni Rais atakayewaletea maendeleo Watanzania; na siyo anayelialia akitafuta huruma. Tueleze utatufanyia nini zaidi ya tulichopata kwa JPJM.

Ndugu sijui hata kama unajua unachosema ama kukiandika hapa..

Watanzania hatutafuti "Rais wa kutuletea maendeleo", kwa sababu Rais - mtu wa namna hiyo hayupo..

Hakuna Rais mwenye kiwanda cha kuunda na kutengeneza maendeleo, akayapakia kwenye containers na kuwaletea watu wake.!!

Hakuna Rais wa kukuletea "makontena ya maendeleo" toka China au Japan. Tunatafuta Rais kiongozi atakayeongoza watu wake kujiletea maendeleo yao wao wenyewe..!!
 
1. Ni jambo zuri kuzitahadharisha mamlaka ili zichukue hatua

2. Lakini lazima mfahamu kuwa hiyo ni mikakati inayoratibiwa na dola yenyewe chini ya maRC na maDC kwa baraka zote za NEC

3. Wanafanya hivyo, ili kuipa hoja CCM na mgombea wao ambaye hana kibali kwa UMMA na kwa MUNGU kuongoza nchi, kusema "....mnaona amefika Chato kazomewa kwa sababu hawamtaki..."

USHAURI:

¶ There's no going back. Lazima mapambano yaendelee. Kama wanataka kuleta fujo, waanzishe hiyo fujo, SISI TUTAIMALIZA!!

¶ Mgombea Urais, Tundu Lissu lazima afike kila sehemu na afanye mikutano yake kulingana na ratiba!!

¶ Imesemwa na inasemwa sana na mgombea Urais wetu Mh. Tundu Lissu, kuwa kuikomboa nchi toka kwa manyang'au CCM na vibaraka wao is not an easier job, kuwanyang'anya dola hawa inahitaji kulipa huge price..

Gharama yenyewe ndiyo hii..!!

Adui yuko desperate. Anaitetea pumzi yake ya mwisho. Hawezi ku - survive. Amechoka. Yuko tayari ku - surrender. ALUTA CONTINUA...

Leo kaenda kufanya mkutano eneo la mburahati lenye visa vingi vya mafuriko kila mwaka na serikali yake haijawahi kufanya lolote kusaidia Mungu kamshushia mvua ya maana na kaipata fresh.
 
Back
Top Bottom