Uchaguzi 2020 CHADEMA: Matukio ya Chato, Kahama yanatishia usalama wa Tundu Lissu

Na nyumba ya mgombea ubunge Chato wamevunja chadema? Mbona mnajifanya wapofu na kutetea uhalifu kwasababu unawaathiri
 
Chadema mbona hamchukui hatua? Au mnakwepa mtego wa fisiemu?

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Anaetakiwa kuchukua hatua ni vyombo vya ulinzi na usalama,.kumbuka chadema wahana dola, wao wanatakiwa kutoa taarifa kwa vyombo husika then vyombo husika vichukue hatua
Ila kwa kua Dola imewekwa mfukoni na mtu fulani, hakuna hatua yoyote itakayochukuliwa
 
Meku, mimi nashangaa kwanini afanyiwe figisu kama safari yake ni halali!

Dunia ishaona Chadema ishauriwe kwenda mji unaofuata
Huu ni ushahidi tosha Kwani taarifa za mgambo “interahamwe “ kwa Kigezo Cha kumlinda zinajukikana kuwa wako porini chato wanapewa mafunzo
Leo Kila mtu amewaona
Huwezi kukataaa watu wasipige kampeni kijijini kwako
Kikwete alikua anapondwa na dr slaaa juu ya kuwe na nyumba nzuri kijijini huku Majirani ni maskini Lakini alimuacha anafanya kampeni hadi nyumbani kwake Msoga
 
kwan TAL ye ni nani hadi sheria imuogope
kampeni zinaisha sa12
Mikusanyiko/maandamano usiku bila kibali ni kosa na mnalijua hilo
sasa n kwa nn muwaweke hao watu hadi sa2 usuku?

ndo maana nawambia acheni upumbavu wa kimakisudi chama sio nyinyi pekeyenu 👎
 
MKUU UKO SAHIHI HATA LEO WAMEJIPIGA MAWE WENYEWE, NI WAO PIA WALIMPIGA RISASI LISSU, ILA MPAKA LEO CCM NA SERIKALI YAKE INAOGOPA KUWAKAMATA WAUAJI.
 

Sawa Mkuu.
 

Naona unaleta harakati za migomo ya wanafunzi chuoni kwenye maisha halisi ya mtaani. Lissu is doomed kama hatabadilika na kujiongeza. Akiendelea kufuata ushauri kama huu wako sijui.
 
28october ndio utajua hana kibali au anakibali
 
Anaetapatapa unamjua lkn? Lissu ameshashinda tayari my friend
 
Kwendraàa..
 
acheni mambo ya kipumbavu kufanya mambo kwa makusudi
mnasababisha watu wasio hatia kuumia sababu ya upuuzi wenu
"kupuuza sheria kuhusu mikusanyiko"

hovyo sana nyie watu.
Mzee wako angepiga nyeto huu utopolo usingepata nafasi hapa jukwaani.
 
Anaetapatapa unamjua lkn? Lissu ameshashinda tayari my friend

Ameshinda wapi? 28/10 simbali usikimbie hapa baada ya matokeo. Mbaya zaidi Ubeligiji hawapokei mkimbizi aliye shindwa uchaguzi kwa aibu kubwa na wala hatabembelezwa kama hivi. Kubembelezwa kwake kote huku ni ili malengo ya uchaguzi ya timie kwanza na baada ya uchaguzi ni tathimini na kusahihisha makosa
 

Mkome wana chato wame wanyoosha hahaha
 
Kilichotokea chato Leo ni aibu kwa rais maghufuli, je kila mgombea kwao akipata watu wakufanya vurugu patatosha? Leo nimeamini hatuna rais Bali mtu mwenye dhamira mbaya kwa taif letu

Mtajuwa wenyewe mmepigwa na wapiga kura wenu msimuhusishe Rais na upumbavu wenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…