Pre GE2025 CHADEMA Mbeya Mjini, Tafuteni Mgombea Mwingine

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Huihui2

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Posts
7,021
Reaction score
11,475
Screenshot_20240810_202516_Google.jpg

Niko Mbeya Mjini kwa siku tatu hivi na nimeona upepo wa siasa za hapa. Siko upande wa CCM wala CDM. Nawashauri tu CDM kuwa wana nafasi kubwa ya kushinda Jimbo la Mbeya Mjini iwapo wataweka mgombea mwingine nje ya Joseph Mbilinyi aka Sugu. Kuna sababu tatu :-
1. Mbunge aliyekaa kwenye jimbo zaidi ya kipindi kimoja mara nyingi wapiga kura humchoka, wanataka ingizo jipya

2. Watu wengi wanadai Sugu HAKUFANYA lolote kwenye miaka 10 aliyokuwa Mbunge zaidi ya kujenga hoteli yake

3. Wengine wanaona hana uwezo kwa vile kisomo chake kidogo na ana pata umaarufu kwa sababu za kisela tu

NB:
CHADEMA kwa ujumla ina nafasi kubwa ya kushinda Jimbo la Mbeya Mjini kwa kuwa Mbunge wa CCM aliyepo sasa hivi licha ya kuwa Spika lakini hakubaliki sana kwa sehemu kubwa ya Mbeya. Anakubalika kata zilizopo Uyole za Itezi, Iduda, Igawilo tu. Anaonekana ni Mbunge aliyeletwa na Mwendazake lakini siyo kwa kura za wana Mbeya.

Pili Tulia achafuka sana kwa namna alivyoshughulikia suala la Bandari kwa DP WORLD na suala la Luaga Mpina kuhusu sukari.

KIUJUMLA kama kungekuwa na DEMOKRASIA ya kweli kwenye vyama vyote CHADEMA na CCM, hawa Watajwa wote wawili HAWAFAI kuchaguliwa kugombea viti vya ubunge wa Mbeya Mjini
 
Kwani Tulia amesema hagombei?
Kama Tulia atagombea maana yake Sugu anagombea.
Mara ya mwisho Tulia akiwa bungeni alipendekeza jimbo la Mbeya mjini waligawe mara mbili ili amkwepe Sugu. Sugu akasema, hata jimbo likigawiwa mara mbili, kule atakapokwenda Tulia kugombea ndio huko huko naye atakwenda kugombea.
 
View attachment 3066360
Niko Mbeya Mjini kwa siku tatu hivi na nimeona upepo wa siasa za hapa. Siko upande wa CCM wala CDM. Nawashauri tu CDM kuwa wana nafasi kubwa ya kushinda Jimbo la Mbeya Mjini iwapo wataweka mgombea mwingine nje ya Joseph Mbilinyi aka Sugu. Kuna sababu tatu :-
1. Mbunge aliyekaa kwenye jimbo zaidi ya kipindi kimoja mara nyingi wapiga kura humchoka, wanataka ingizo jipya

2. Watu wengi wanadai Sugu HAKUFANYA lolote kwenye miaka 10 aliyokuwa Mbunge zaidi ya kujenga hoteli yake

3. Wengine wanaona hana uwezo kwa vile kisomo chake kidogo na ana pata umaarufu kwa sababu za kisela tu

NB:
CHADEMA kwa ujumla ina nafasi kubwa ya kushinda Jimbo la Mbeya Mjini kwa kuwa Mbunge wa CCM aliyepo sasa hivi licha ya kuwa Spika lakini hakubaliki sana kwa sehemu kubwa ya Mbeya. Anakubalika kata zilizopo Uyole za Itezi, Iduda, Igawilo tu. Anaonekana ni Mbunge aliyeletwa na Mwendazake lakini siyo kwa kura za wana Mbeya.

Pili Tulia achafuka sana kwa namna alivyoshughulikia suala la Bandari kwa DP WORLD na suala la Luaga Mpina kuhusu sukari.

KIUJUMLA kama kungekuwa na DEMOKRASIA ya kweli kwenye vyama vyote CHADEMA na CCM, hawa Watajwa wote wawili HAWAFAI kuchaguliwa kugombea viti vya ubunge wa Mbeya Mjini
Kuhusu Sugu Huwaambii kitu wana Mbeya
 
Nahisi Sugu yupo kwenye orodha ya waliolambishwa asali ya abdul
 
Nawashauri tu CDM kuwa wana nafasi kubwa ya kushinda Jimbo la Mbeya Mjini iwapo wataweka mgombea mwingine nje ya Joseph Mbilinyi aka Sugu. Kuna sababu tatu :-
Yaani chawa wa sisuemu aishauri Chadema kuhusu mgombea anayefaa kugombea ili aishinde sisiemu?!!

Em jaribuni kujipanga upya mkuu.
Bila wizi wa kura Tulia atakula za uso sana tu, hakuna namna nyingine. Labda apewe jimbo huko Dom au Zenji
 
View attachment 3066360
Niko Mbeya Mjini kwa siku tatu hivi na nimeona upepo wa siasa za hapa. Siko upande wa CCM wala CDM. Nawashauri tu CDM kuwa wana nafasi kubwa ya kushinda Jimbo la Mbeya Mjini iwapo wataweka mgombea mwingine nje ya Joseph Mbilinyi aka Sugu. Kuna sababu tatu :-
1. Mbunge aliyekaa kwenye jimbo zaidi ya kipindi kimoja mara nyingi wapiga kura humchoka, wanataka ingizo jipya

2. Watu wengi wanadai Sugu HAKUFANYA lolote kwenye miaka 10 aliyokuwa Mbunge zaidi ya kujenga hoteli yake

3. Wengine wanaona hana uwezo kwa vile kisomo chake kidogo na ana pata umaarufu kwa sababu za kisela tu

NB:
CHADEMA kwa ujumla ina nafasi kubwa ya kushinda Jimbo la Mbeya Mjini kwa kuwa Mbunge wa CCM aliyepo sasa hivi licha ya kuwa Spika lakini hakubaliki sana kwa sehemu kubwa ya Mbeya. Anakubalika kata zilizopo Uyole za Itezi, Iduda, Igawilo tu. Anaonekana ni Mbunge aliyeletwa na Mwendazake lakini siyo kwa kura za wana Mbeya.

Pili Tulia achafuka sana kwa namna alivyoshughulikia suala la Bandari kwa DP WORLD na suala la Luaga Mpina kuhusu sukari.

KIUJUMLA kama kungekuwa na DEMOKRASIA ya kweli kwenye vyama vyote CHADEMA na CCM, hawa Watajwa wote wawili HAWAFAI kuchaguliwa kugombea viti vya ubunge wa Mbeya Mjini
Hivi kuna chama kimeshatangaza mgombea wa mwaka 2025 au unaota usingizini. Watu wanawaza serikali za mitaani 2024 wewe unawaza 2025 si unaota kabisa wewe! Pole sana utaamka lini?
 
Wewe uko ccm fullstop.

Rudi kwa Tulia mjipange upya
Hv mnahangaika na mtu anayeota mambo ya mwaka kesho kwamba yeye ndo mwenye orodha ya wagombea yy nani yaani?. Kwamba anajua orodha ya wagombea wa CCM na vyama vingine uchaguzi wa 2025.. Asitutoe kwenye reli tunawaza uchaguzi wa srikaliyza mitaa
 
View attachment 3066360
Niko Mbeya Mjini kwa siku tatu hivi na nimeona upepo wa siasa za hapa. Siko upande wa CCM wala CDM. Nawashauri tu CDM kuwa wana nafasi kubwa ya kushinda Jimbo la Mbeya Mjini iwapo wataweka mgombea mwingine nje ya Joseph Mbilinyi aka Sugu. Kuna sababu tatu :-
1. Mbunge aliyekaa kwenye jimbo zaidi ya kipindi kimoja mara nyingi wapiga kura humchoka, wanataka ingizo jipya

2. Watu wengi wanadai Sugu HAKUFANYA lolote kwenye miaka 10 aliyokuwa Mbunge zaidi ya kujenga hoteli yake

3. Wengine wanaona hana uwezo kwa vile kisomo chake kidogo na ana pata umaarufu kwa sababu za kisela tu

NB:
CHADEMA kwa ujumla ina nafasi kubwa ya kushinda Jimbo la Mbeya Mjini kwa kuwa Mbunge wa CCM aliyepo sasa hivi licha ya kuwa Spika lakini hakubaliki sana kwa sehemu kubwa ya Mbeya. Anakubalika kata zilizopo Uyole za Itezi, Iduda, Igawilo tu. Anaonekana ni Mbunge aliyeletwa na Mwendazake lakini siyo kwa kura za wana Mbeya.

Pili Tulia achafuka sana kwa namna alivyoshughulikia suala la Bandari kwa DP WORLD na suala la Luaga Mpina kuhusu sukari.

KIUJUMLA kama kungekuwa na DEMOKRASIA ya kweli kwenye vyama vyote CHADEMA na CCM, hawa Watajwa wote wawili HAWAFAI kuchaguliwa kugombea viti vya ubunge wa Mbeya Mjini
Kwa uchaguzi gani ulioko hapa Tanzania, iwe sugu ama mgombea mwingine wa cdm, Tulia atatangazwa mshindi kwa nguvu ya vyombo vya dola. Sana sana wanaMbeya wakikaza wataishia kuuwawa, wengine wataachwa na vilema vya maisha, na wengine kubambikiwa kesi.
 
Back
Top Bottom