Pre GE2025 CHADEMA Mbeya wamuonya Sugu na wenzake wasipomchagua Lissu, Dkt Tulia atapita bila kupingwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Rula ya Mafisadi

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2024
Posts
404
Reaction score
852
Tegemea Sanga Mwanachama wa CHADEMA anasema Viongozi wao wajuu wamechukua jukumu la kumuunga mkono Mbowe bila kuwashikirisha wao kwani wao wanamtaka Lissu Kwakuwa ni muwazi na mkweli.

Zikiwa zimesalia siku kadhaa kufikia kilele Cha Uchaguzi ndani ya CHADEMA mnyukano ni mkali kati ya Lissu na Mbowe huku dalili zikionesha Lissu atashinda kwa ushindi mwembamba kwani Mbowe amekuwa akigawa rushwa kwa wajumbe wa Uchaguzi huo jambo linalowafanya wajumbe kuamini ni kweli Mbowe ni Wenje ni project za Serikali.

View attachment 3202453
Mnatafuta pa kutokea.... 😀 😀
 
Mimi kama Mbowe, nimekaa na familia yangu na kuona kwamba nichukue uamuzi mgumu kuepusha mpasuko katika chama.
Hivyo basi, naondoka kesho kwenda mapumziko dubai na najiondoa kwenye kinyanganyiro hiki.
Kamanda.....sio muoga mpaka dakika ya mwisho.😀😀
 
Back
Top Bottom