Pre GE2025 CHADEMA Mbeya wamuonya Sugu na wenzake wasipomchagua Lissu, Dkt Tulia atapita bila kupingwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Tegemea Sanga Mwanachama wa CHADEMA anasema Viongozi wao wajuu wamechukua jukumu la kumuunga mkono Mbowe bila kuwashikirisha wao kwani wao wanamtaka Lissu Kwakuwa ni muwazi na mkweli.

Zikiwa zimesalia siku kadhaa kufikia kilele Cha Uchaguzi ndani ya CHADEMA mnyukano ni mkali kati ya Lissu na Mbowe huku dalili zikionesha Lissu atashinda kwa ushindi mwembamba kwani Mbowe amekuwa akigawa rushwa kwa wajumbe wa Uchaguzi huo jambo linalowafanya wajumbe kuamini ni kweli Mbowe ni Wenje ni project za Serikali.

Hawa ndugu zangu wana ajenda binafsi ya kumnyofoa Jongwe kwa kisingizio cha Mbowe. Hivi Jongwe anaweza msaliti Mbowe kweli? Wanatengeneza mazingira ya kumpiga chini tu
 
Mimi wala sio mwanachama, ni raia mwema ninayependa mabadiliko haki.
Upo sahihi......sanduku la kura ndio litatoa mstakabali wa watu hawa wawili........ila wewe umetoa angalizo kabisa...asipochaguliwa Lisu kura yako unampatia Raisi SAMIA. 😀
 
Tegemea Sanga Mwanachama wa CHADEMA anasema Viongozi wao wajuu wamechukua jukumu la kumuunga mkono Mbowe bila kuwashikirisha wao kwani wao wanamtaka Lissu Kwakuwa ni muwazi na mkweli.

Zikiwa zimesalia siku kadhaa kufikia kilele Cha Uchaguzi ndani ya CHADEMA mnyukano ni mkali kati ya Lissu na Mbowe huku dalili zikionesha Lissu atashinda kwa ushindi mwembamba kwani Mbowe amekuwa akigawa rushwa kwa wajumbe wa Uchaguzi huo jambo linalowafanya wajumbe kuamini ni kweli Mbowe ni Wenje ni project za Serikali.

Chadomo na domokrasia

They don’t know democracy
 
Tunaenda na Lissu Tu Nchi nzima
 
Kinachomgharimu jongwe ni uswahiba wake wa muda mrefu na mbowe tangu anaimba bure kwenye ukumbi wa mbowe wa billcanas so anaona kumdump sultan wkt huu kama haijakaa poa
 
Mimi kama Mbowe, nimekaa na familia yangu na kuona kwamba nichukue uamuzi mgumu kuepusha mpasuko katika chama.
Hivyo basi, naondoka kesho kwenda mapumziko dubai na najiondoa kwenye kinyanganyiro hiki.
Hebu ongeza sauti kidogo mkuu.
 
Mimi kama Mbowe, nimekaa na familia yangu na kuona kwamba nichukue uamuzi mgumu kuepusha mpasuko katika chama.
Hivyo basi, naondoka kesho kwenda mapumziko dubai na najiondoa kwenye kinyanganyiro hiki.
Ulichukua fomu ya nini au ulikuwa unapima maji ya mto kwa miguu yako?!🤔
 
Back
Top Bottom