Tegemea Sanga Mwanachama wa CHADEMA anasema Viongozi wao wajuu wamechukua jukumu la kumuunga mkono Mbowe bila kuwashikirisha wao kwani wao wanamtaka Lissu Kwakuwa ni muwazi na mkweli.
Zikiwa zimesalia siku kadhaa kufikia kilele Cha Uchaguzi ndani ya CHADEMA mnyukano ni mkali kati ya Lissu na Mbowe huku dalili zikionesha Lissu atashinda kwa ushindi mwembamba kwani Mbowe amekuwa akigawa rushwa kwa wajumbe wa Uchaguzi huo jambo linalowafanya wajumbe kuamini ni kweli Mbowe ni Wenje ni project za Serikali.