Rula ya Mafisadi
JF-Expert Member
- Dec 28, 2024
- 404
- 852
Mnatafuta pa kutokea.... 😀 😀Tegemea Sanga Mwanachama wa CHADEMA anasema Viongozi wao wajuu wamechukua jukumu la kumuunga mkono Mbowe bila kuwashikirisha wao kwani wao wanamtaka Lissu Kwakuwa ni muwazi na mkweli.
Zikiwa zimesalia siku kadhaa kufikia kilele Cha Uchaguzi ndani ya CHADEMA mnyukano ni mkali kati ya Lissu na Mbowe huku dalili zikionesha Lissu atashinda kwa ushindi mwembamba kwani Mbowe amekuwa akigawa rushwa kwa wajumbe wa Uchaguzi huo jambo linalowafanya wajumbe kuamini ni kweli Mbowe ni Wenje ni project za Serikali.
View attachment 3202453
Mbowe mambo yake mabaya sana atoke tuNa mimi nasema hiviiii, Lissu alisipokuwa Mwenyekiti Chadema, Mama Samia ana kura yangu.
Chadema itaendelea kuwepo hata bila Lisu na Mbowe.😀😀Na mimi nasema hiviiii, Lissu alisipokuwa Mwenyekiti Chadema, Mama Samia ana kura yangu.
Mimi asipokuwa Lissu mwenyekiti, kura yangu kwa mara 1 nawapa chademaNa mimi nasema hiviiii, Lissu asipokuwa Mwenyekiti Chadema, Mama Samia ana kura yangu.
Kamanda.....sio muoga mpaka dakika ya mwisho.😀😀Mimi kama Mbowe, nimekaa na familia yangu na kuona kwamba nichukue uamuzi mgumu kuepusha mpasuko katika chama.
Hivyo basi, naondoka kesho kwenda mapumziko dubai na najiondoa kwenye kinyanganyiro hiki.
Sasa wafanye kazi na nani? Trump?Hakuna shida, Mbowe na Sugu sasa hivi wanafanya kazi na CCM kwa hiyo wakijitenga watakuwa wamempiga teke chura😃
Mimi wala sio mwanachama, ni raia mwema ninayependa mabadiliko haki.Chadema itaendelea kuwepo hata bila Lisu na Mbowe.😀😀
Wanajipa umuhimu kwenye mambo wasiyoyajua🐼Sasa wafanye kazi na nani? Trump?
Noma sana. Kama kala pesa ya abdul kweli itabdi avumilie asijitoe maana akijitoa ataitapika.Kamanda.....sio muoga mpaka dakika ya mwisho.😀😀
Umenikumbusha kipindi nikiwa mdogo, weekend mama asipo pika ubwabwa nina goma kula.Na mimi nasema hiviiii, Lissu asipokuwa Mwenyekiti Chadema, Mama Samia ana kura yangu.