Pre GE2025 CHADEMA Mbeya wamuonya Sugu na wenzake wasipomchagua Lissu, Dkt Tulia atapita bila kupingwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Noma sana. Kama kala pesa ya abdul kweli itabdi avumilie asijitoe maana akijitoa ataitapika.
Sema kama kweli kala ela ya abdul basi lazima ashinde hata kwa jecha kufuta uchaguzi kama matokeo yatakuwa ya tofauti
Hakuna ushahidi kuhusu pesa ya Abdul.... 😀 😀
 
Nimemsikia huyo mwanachama anamtishia Sugu kuwa asipompigia Lissu kura atafanya kazi peke yake.... Hakuna shida, Mbowe na Sugu sasa hivi wanafanya kazi na CCM kwa hiyo wakijitenga watakuwa wamempiga teke chura😃
Uliwakuta kwenye ofisi za ccm...au ndio siasa za maji taka 😀
 
Hakuna ushahidi kuhusu pesa ya Abdul.... 😀 😀
Lema anakwambia katika siasa na mambo ya rushwa hayana rekodi ila mnaona kabisa watu wanapewa takrima hivyo kusema leta ushahidi huwa ni maneno tu ila ukweli mnakuwa mnaujua.
Ni sawa na tuhuma ambazo chadema inaipa ccm zinakuwa hazina ushahidi mfano wa kuteka viongozi wake kupitia usalama wa taifa na polisi.
 
Umenikumbusha kipindi nikiwa mdogo, weekend mama asipo pika ubwabwa nina goma kula.
Halafu unasemaga wewe ni mchagga? Hiyo jeuri na kiburi ulikuwa unamletea nani? Mama wa kichagga au?

Yani mimi hadi naogopa nikiwaza kitu mama yangu angenifanya!
 
M
Na mimi nasema hiviiii, Lissu asipokuwa Mwenyekiti Chadema, Mama Samia ana kura yangu na wagombea wote wa CCM.

Itakuwa mara ya 3 kupiga kura, na mara ya kwanza kuichagua CCM.
Mimi Lisu akishinda kura yangu nitawapa CCM kwa mara ya kwanza
 
Halafu unasemaga wewe ni mchagga? Hiyo jeuri na kiburi ulikuwa unamletea nani? Mama wa kichagga au?

Yani mimi hadi naogopa nikiwaza kitu mama yangu angenifanya!
Yeah nilikua nakula kipigo kitakatifu ila kwenye ubwabwa ndio hivyo nilikua siambiliki😁
 
WanaChadema sasa wameamua kuwa hawataki tena SI-HASA,wanataka HASA.

Hawataki tena kuongozwa na WATU SI-HASA.Wanataka kuwa chini ya kiongozi ambaye ni MTU-HASA.

Watu wamechoka SI-HASA wanataka kufanya HASA.Watu feki wameshtukiwa sasa wanatakiwa watu halisi.Watu kweli ambao ukiwatazama unaona kabisa wapo kwa ajili ya uma na sio maslahi yao na/au ya chama tawala...

Chagua LIssu kwa ujenzi mpya wa chadema imara inayoweza kuitoa CCM.Au ukitaka chagua Mbowe kwa chadema legelege iliyowekwa mfukoni na dola la mama Sam...
 
Na mimi nasema hiviiii, Lissu asipokuwa Mwenyekiti Chadema, Mama Samia ana kura yangu na wagombea wote wa CCM.

Itakuwa mara ya 3 kupiga kura, na mara ya kwanza kuichagua CCM.
Mh! usipende kujiapiza maneno kwa wanasiasa utakuja kugeukwa vibaya na wanasiasa unaowaamini, litakutoka chozi moja kubwa sana..🤣
 
Msema kweli ni mpenzi wa MUNGU
 
Mh! usipende kujiapiza maneno kwa wanasiasa utakuja kugeukwa vibaya na wanasiasa unaowaamini, litakutoka chozi moja kubwa sana..🤣
Labda hujui mdogo wangu, mimi nilishasema Lissu ndio mwanasiasa pekee ninayemuamini, akizingua na yeye basi nastaafu siasa.
 
Mbona wana lazimisha?? Hahaaaa Hii ndio demokrasia?
 
Labda hujui mdogo wangu, mimi nilishasema Lissu ndio mwanasiasa pekee ninayemuamini, akizingua na yeye basi nastaafu siasa.
Basi nikuambie tu kwisha habari yako!
 
Hivi jamani kuna mwanaccm anaweza kuongeq hivyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…