Kwani wewe ni nani? Unafikiri maoni yako yana maana yoyote kwangu?Unamtisha nani?
Hv unahic kura yako inamaana yoyote?
Hawa ndugu zangu wana ajenda binafsi ya kumnyofoa Jongwe kwa kisingizio cha Mbowe. Hivi Jongwe anaweza msaliti Mbowe kweli? Wanatengeneza mazingira ya kumpiga chini tuTegemea Sanga Mwanachama wa CHADEMA anasema Viongozi wao wajuu wamechukua jukumu la kumuunga mkono Mbowe bila kuwashikirisha wao kwani wao wanamtaka Lissu Kwakuwa ni muwazi na mkweli.
Zikiwa zimesalia siku kadhaa kufikia kilele Cha Uchaguzi ndani ya CHADEMA mnyukano ni mkali kati ya Lissu na Mbowe huku dalili zikionesha Lissu atashinda kwa ushindi mwembamba kwani Mbowe amekuwa akigawa rushwa kwa wajumbe wa Uchaguzi huo jambo linalowafanya wajumbe kuamini ni kweli Mbowe ni Wenje ni project za Serikali.
Upo sahihi......sanduku la kura ndio litatoa mstakabali wa watu hawa wawili........ila wewe umetoa angalizo kabisa...asipochaguliwa Lisu kura yako unampatia Raisi SAMIA. πMimi wala sio mwanachama, ni raia mwema ninayependa mabadiliko haki.
Chadomo na domokrasiaTegemea Sanga Mwanachama wa CHADEMA anasema Viongozi wao wajuu wamechukua jukumu la kumuunga mkono Mbowe bila kuwashikirisha wao kwani wao wanamtaka Lissu Kwakuwa ni muwazi na mkweli.
Zikiwa zimesalia siku kadhaa kufikia kilele Cha Uchaguzi ndani ya CHADEMA mnyukano ni mkali kati ya Lissu na Mbowe huku dalili zikionesha Lissu atashinda kwa ushindi mwembamba kwani Mbowe amekuwa akigawa rushwa kwa wajumbe wa Uchaguzi huo jambo linalowafanya wajumbe kuamini ni kweli Mbowe ni Wenje ni project za Serikali.
Tunaenda na Lissu Tu Nchi nzimaTegemea Sanga Mwanachama wa CHADEMA anasema Viongozi wao wajuu wamechukua jukumu la kumuunga mkono Mbowe bila kuwashikirisha wao kwani wao wanamtaka Lissu Kwakuwa ni muwazi na mkweli.
Zikiwa zimesalia siku kadhaa kufikia kilele Cha Uchaguzi ndani ya CHADEMA mnyukano ni mkali kati ya Lissu na Mbowe huku dalili zikionesha Lissu atashinda kwa ushindi mwembamba kwani Mbowe amekuwa akigawa rushwa kwa wajumbe wa Uchaguzi huo jambo linalowafanya wajumbe kuamini ni kweli Mbowe ni Wenje ni project za Serikali.
Panawasha, PanaumaChadomo na domokrasia
They donβt know democracy
π€£π€£Unamtisha nani?
Hv unahic kura yako inamaana yoyote?
π πUnamtisha nani?
Hv unahic kura yako inamaana yoyote?
Hebu ongeza sauti kidogo mkuu.Mimi kama Mbowe, nimekaa na familia yangu na kuona kwamba nichukue uamuzi mgumu kuepusha mpasuko katika chama.
Hivyo basi, naondoka kesho kwenda mapumziko dubai na najiondoa kwenye kinyanganyiro hiki.
Sikio lenye kiu ya ASALI !Mbowe ni sikio la kufa.
Ulichukua fomu ya nini au ulikuwa unapima maji ya mto kwa miguu yako?!π€Mimi kama Mbowe, nimekaa na familia yangu na kuona kwamba nichukue uamuzi mgumu kuepusha mpasuko katika chama.
Hivyo basi, naondoka kesho kwenda mapumziko dubai na najiondoa kwenye kinyanganyiro hiki.
Tegemea Sanga Mwanachama wa CHADEMA anasema Viongozi wao wajuu wamechukua jukumu la kumuunga mkono Mbowe bila kuwashikirisha wao kwani wao wanamtaka Lissu Kwakuwa ni muwazi na mkweli.