CHADEMA mbinu ya maandamano haikuwa njia sahihi ya kukirudisha chama katika macho ya Watanzania

CHADEMA mbinu ya maandamano haikuwa njia sahihi ya kukirudisha chama katika macho ya Watanzania

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Posts
3,340
Reaction score
4,659
Tunafahamu kuwa miaka 3 nyuma vyama vya upinzani havikupewa jukwaa stahiki la kuendeleza biashara/kazi na majukumu yao ili kuongeza tija na hamasa ya kupendwa zaidi,na kuvutia wanachama ilikuwa ni inactive political parties,havikuweza kuwa na uwakilishi wa kutosha katika bunge na hata katika ngazi ya halmashauri.

There were dead for a while,walikuwa sawa na joka la mdimu au mbwa koko kwa madhila wayoyapitia,kuanzia mwaka wa juzi baada ya mwendazake kuacha hatamu tumeanza kushuhudia kipindi cha mpito ambacho kumekuwepo na mambo mengi ambayo yamechukuwa muda mchache kujadiliwa,kwa bahati mbaya watanzania hawatoa airtime katika hoja za vyama pinzani japokuwa ipo maana ndani yake.

Kosa kubwa kutendeka ni kuanzisha mambo kwa mfululizo wa matukio pasipo kuacha time space,hoja inakuwa haina mvuto then that they swipe to the next one, labda sijajua kwamba kumekosekana masikilizano ndani ya chama mpaka kutokuwa na mipango mkakati kwenye uanzishwaji wa mada au hakuna watu sahihi wa kuendesha jukwaa la mitandao?

Kuna namna mulitakiwa kuzipa kipaumbe mada,mikutano ya ndani yachama,matukio na namna nzuri ya kukijenga chama (ndani ya chama) hasa baada ya ukimya mwingi kuliko kulipuka na maandamano yasiyo msingi wa ukuwaji na huwenda maandamano yamedhoofisha chama badala ya kukijenga chama.
 
Walikua na maandamano ya kuomba katiba mpya, kabla haijakaa sawa ikaja okoa bandari n.k. Kuna haja ya kuja na mbinu mbadala
 
Kwani chadema kilienda wapi mpk kirudishwe? Chadema ipo na ni tishio kwa ccm tatizo ni tume na dola tu
 
Back
Top Bottom