Hiyo ni fursa adhimu kwa Mangi.huyu mtu sasa amesahau hadi kunadi sera amejikita kwenye omba omba, hivi CHADEMA hamkufanya maandalizi ya kampeni?
huyu mrema huku sio kuomba aisee inaonekana ana tamaa sana ya pesa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ni fursa adhimu kwa Mangi.huyu mtu sasa amesahau hadi kunadi sera amejikita kwenye omba omba, hivi CHADEMA hamkufanya maandalizi ya kampeni?
huyu mrema huku sio kuomba aisee inaonekana ana tamaa sana ya pesa
We jamaa sijui michango ya chadema huwa inakuuma nini, kwa nini usihamie tu Lumbumba kama huku panakuumiza kichwa, unalalamika sana dume zima hovyooo, utakuja kuchapwa ni midume wenzioNimepitia kwenye account ya twitter ya John Mrema, kwa hakika anachofanya kimenifanya nistaajabu.
Mrema ni mkurugenzi wa mawasialiano na mambo ya nje wa CHADEMA, hivyo ni mtu ambae yupo supported na chama kwa 100%. Ila hiki anachofanya kimenifanya niwaze mara mbilimbili.
Anataka nusu ya followers wake wachangie shillingi elfu mbili (2000). Hapa kwa haraka haraka nikapiga hesabu hizi:
Mrema ana followers 100k (laki moja), hivyo nusu yake ni 50k(elfu hamsini). Ukichukua 50,000×2,000 = 100,000,000
Millioni mia moja. Anachotaka yeye ni kuchangia tu bila kutueleza ni kwa namna gani au gharama ya kampeni ni kiasi gani? Maana isije kuwa watu wanatafuta pesa za mtaji kwa shughuli zao nyingine.
Pia kuna jambo linanitatiza sana, sisi wafuasi wa chama tuna pesa kiasi gani hadi tuweze kuchangia chama, kuchangia wabunge karibu na madiwani karibu wote?
Kila anayegombea ubunge anataka kuchangiwa, sasa hizo pesa tunazitoa wapi?
Tuoneeni huruma.View attachment 1557319
Chezea mangi wewe ?Sioni tatizo, hela atoe api? Inaonyesha kabisa huyu ni mwadilifu, hana hela za wizi. Hana pa kuchota kama CCM wanavyochota huko aliko mtoto wa dada!
Umelazimishwa kum follow?
huyu mtu sasa amesahau hadi kunadi sera amejikita kwenye omba omba, hivi CHADEMA hamkufanya maandalizi ya kampeni?
huyu mrema huku sio kuomba aisee inaonekana ana tamaa sana ya pesa
View attachment 1565159View attachment 1565155View attachment 1565156View attachment 1565157View attachment 1565158
CCM wana ruzuku kiasi gani? Na za wafanya biashara wanaotishika? Na za wahujumu uchumi wanaolipa ili yaishe?Yaani hawa jamaa ukiwaonyesha hela .yeye na Mbowe ni mchwa.hawa ndio wanasababisha Chadema mpaka leo hii hawana ofisi.ni kupanga tu wakati walikuwa wanachukua ruzuku ya milioni 300 kila mwezi
CCM wana ruzuku kiasi gani? Na za wafanya biashara wanaotishika? Na za wahujumu uchumi wanaolipa ili yaishe?
Wanaochangia Ni manyumbu tu 😂, yaani nitafute hela yangu afu nije kuchangia mchumia tumbo mmoja kirahisi namna hiyo 🖕?🤔Sioni tatizo, hela atoe api? Inaonyesha kabisa huyu ni mwadilifu, hana hela za wizi. Hana pa kuchota kama CCM wanavyochota huko aliko mtoto wa dada!
Swala la michango na ushiriki ni mojawapo ya mambo yanayoweza kutambua mwanachama hai na mfu; from there you can judge yourselfNimepitia kwenye account ya twitter ya John Mrema, kwa hakika anachofanya kimenifanya nistaajabu.
Mrema ni mkurugenzi wa mawasialiano na mambo ya nje wa CHADEMA, hivyo ni mtu ambae yupo supported na chama kwa 100%. Ila hiki anachofanya kimenifanya niwaze mara mbilimbili.
Anataka nusu ya followers wake wachangie shillingi elfu mbili (2000). Hapa kwa haraka haraka nikapiga hesabu hizi:
Mrema ana followers 100k (laki moja), hivyo nusu yake ni 50k(elfu hamsini). Ukichukua 50,000×2,000 = 100,000,000
Millioni mia moja. Anachotaka yeye ni kuchangia tu bila kutueleza ni kwa namna gani au gharama ya kampeni ni kiasi gani? Maana isije kuwa watu wanatafuta pesa za mtaji kwa shughuli zao nyingine.
Pia kuna jambo linanitatiza sana, sisi wafuasi wa chama tuna pesa kiasi gani hadi tuweze kuchangia chama, kuchangia wabunge karibu na madiwani karibu wote?
Kila anayegombea ubunge anataka kuchangiwa, sasa hizo pesa tunazitoa wapi?
Tuoneeni huruma.View attachment 1557319
Bonah wa segerea asahau kurudi bungeniMrema km sio Mbowe angekuwa marangu anachunga kondoo
Maana siasa haiwezi wala hana mvuto
Hujalazimishwa matako wewe! Sisi tunaomwunga mkono tumechanga tena mimi nimetuma zaidi ya hiyo anayoomba!Nimepitia kwenye account ya twitter ya John Mrema, kwa hakika anachofanya kimenifanya nistaajabu.
Mrema ni mkurugenzi wa mawasialiano na mambo ya nje wa CHADEMA, hivyo ni mtu ambae yupo supported na chama kwa 100%. Ila hiki anachofanya kimenifanya niwaze mara mbilimbili.
Anataka nusu ya followers wake wachangie shillingi elfu mbili (2000). Hapa kwa haraka haraka nikapiga hesabu hizi:
Mrema ana followers 100k (laki moja), hivyo nusu yake ni 50k(elfu hamsini). Ukichukua 50,000×2,000 = 100,000,000
Millioni mia moja. Anachotaka yeye ni kuchangia tu bila kutueleza ni kwa namna gani au gharama ya kampeni ni kiasi gani? Maana isije kuwa watu wanatafuta pesa za mtaji kwa shughuli zao nyingine.
Pia kuna jambo linanitatiza sana, sisi wafuasi wa chama tuna pesa kiasi gani hadi tuweze kuchangia chama, kuchangia wabunge karibu na madiwani karibu wote?
Kila anayegombea ubunge anataka kuchangiwa, sasa hizo pesa tunazitoa wapi?
Tuoneeni huruma.View attachment 1557319
matako wewe!
Kumbe dada siku zingine huwa una akili timamu?Umelazimishwa kum follow?
Nilikuwa sina wazo la kuichangia Chadema, Ila kwa propaganda hizi za CCM nawachangia Tena hela ya maana
Wewe mwenye mvuto mbona umeishia kujiuza kwa Polepole?Mrema km sio Mbowe angekuwa marangu anachunga kondoo
Maana siasa haiwezi wala hana mvuto