Uchaguzi 2020 CHADEMA mchukulieni hatua John Mrema, anachofanya ni unyang'anyi

huyu mtu sasa amesahau hadi kunadi sera amejikita kwenye omba omba, hivi CHADEMA hamkufanya maandalizi ya kampeni?

huyu mrema huku sio kuomba aisee inaonekana ana tamaa sana ya pesa
Hiyo ni fursa adhimu kwa Mangi.
 
Nimepitia kwenye account ya twitter ya John Mrema, kwa hakika anachofanya kimenifanya nistaajabu.

Mrema ni mkurugenzi wa mawasialiano na mambo ya nje wa CHADEMA, hivyo ni mtu ambae yupo supported na chama kwa 100%. Ila hiki anachofanya kimenifanya niwaze mara mbilimbili.

Anataka nusu ya followers wake wachangie shillingi elfu mbili (2000). Hapa kwa haraka haraka nikapiga hesabu hizi:

Mrema ana followers 100k (laki moja), hivyo nusu yake ni 50k(elfu hamsini). Ukichukua 50,000×2,000 = 100,000,000
Millioni mia moja. Anachotaka yeye ni kuchangia tu bila kutueleza ni kwa namna gani au gharama ya kampeni ni kiasi gani? Maana isije kuwa watu wanatafuta pesa za mtaji kwa shughuli zao nyingine.

Pia kuna jambo linanitatiza sana, sisi wafuasi wa chama tuna pesa kiasi gani hadi tuweze kuchangia chama, kuchangia wabunge karibu na madiwani karibu wote?

Kila anayegombea ubunge anataka kuchangiwa, sasa hizo pesa tunazitoa wapi?

Tuoneeni huruma.View attachment 1557319
We jamaa sijui michango ya chadema huwa inakuuma nini, kwa nini usihamie tu Lumbumba kama huku panakuumiza kichwa, unalalamika sana dume zima hovyooo, utakuja kuchapwa ni midume wenzio
 
Sioni tatizo, hela atoe api? Inaonyesha kabisa huyu ni mwadilifu, hana hela za wizi. Hana pa kuchota kama CCM wanavyochota huko aliko mtoto wa dada!
Chezea mangi wewe ?
 
Yaani hawa jamaa ukiwaonyesha hela .yeye na Mbowe ni mchwa.hawa ndio wanasababisha Chadema mpaka leo hii hawana ofisi.ni kupanga tu wakati walikuwa wanachukua ruzuku ya milioni 300 kila mwezi
CCM wana ruzuku kiasi gani? Na za wafanya biashara wanaotishika? Na za wahujumu uchumi wanaolipa ili yaishe?
 
Naongelea ruzuku yenu mbona hata nyumba ya mil 50 tu mmeshindwa nyie mchwa.miloni 300 kila mwezi ni aibu wazee wa nyumba za kupanga
 
Sioni tatizo, hela atoe api? Inaonyesha kabisa huyu ni mwadilifu, hana hela za wizi. Hana pa kuchota kama CCM wanavyochota huko aliko mtoto wa dada!
Wanaochangia Ni manyumbu tu 😂, yaani nitafute hela yangu afu nije kuchangia mchumia tumbo mmoja kirahisi namna hiyo 🖕?🤔
 
Nimepitia kwenye account ya twitter ya John Mrema, kwa hakika anachofanya kimenifanya nistaajabu.

Mrema ni mkurugenzi wa mawasialiano na mambo ya nje wa CHADEMA, hivyo ni mtu ambae yupo supported na chama kwa 100%. Ila hiki anachofanya kimenifanya niwaze mara mbilimbili.

Anataka nusu ya followers wake wachangie shillingi elfu mbili (2000). Hapa kwa haraka haraka nikapiga hesabu hizi:

Mrema ana followers 100k (laki moja), hivyo nusu yake ni 50k(elfu hamsini). Ukichukua 50,000×2,000 = 100,000,000
Millioni mia moja. Anachotaka yeye ni kuchangia tu bila kutueleza ni kwa namna gani au gharama ya kampeni ni kiasi gani? Maana isije kuwa watu wanatafuta pesa za mtaji kwa shughuli zao nyingine.

Pia kuna jambo linanitatiza sana, sisi wafuasi wa chama tuna pesa kiasi gani hadi tuweze kuchangia chama, kuchangia wabunge karibu na madiwani karibu wote?

Kila anayegombea ubunge anataka kuchangiwa, sasa hizo pesa tunazitoa wapi?

Tuoneeni huruma.View attachment 1557319
Swala la michango na ushiriki ni mojawapo ya mambo yanayoweza kutambua mwanachama hai na mfu; from there you can judge yourself
 
Nimepitia kwenye account ya twitter ya John Mrema, kwa hakika anachofanya kimenifanya nistaajabu.

Mrema ni mkurugenzi wa mawasialiano na mambo ya nje wa CHADEMA, hivyo ni mtu ambae yupo supported na chama kwa 100%. Ila hiki anachofanya kimenifanya niwaze mara mbilimbili.

Anataka nusu ya followers wake wachangie shillingi elfu mbili (2000). Hapa kwa haraka haraka nikapiga hesabu hizi:

Mrema ana followers 100k (laki moja), hivyo nusu yake ni 50k(elfu hamsini). Ukichukua 50,000×2,000 = 100,000,000
Millioni mia moja. Anachotaka yeye ni kuchangia tu bila kutueleza ni kwa namna gani au gharama ya kampeni ni kiasi gani? Maana isije kuwa watu wanatafuta pesa za mtaji kwa shughuli zao nyingine.

Pia kuna jambo linanitatiza sana, sisi wafuasi wa chama tuna pesa kiasi gani hadi tuweze kuchangia chama, kuchangia wabunge karibu na madiwani karibu wote?

Kila anayegombea ubunge anataka kuchangiwa, sasa hizo pesa tunazitoa wapi?

Tuoneeni huruma.View attachment 1557319
Hujalazimishwa matako wewe! Sisi tunaomwunga mkono tumechanga tena mimi nimetuma zaidi ya hiyo anayoomba!
 
Kwani Nyerere alivyotafuta uhuru alikuwa na hela?watu kama sisi hatuendi kwenye kampeni wala kuvaa nguo za vyama ila tuna vichinjio..mtuogope sana
 
Mrema nipe namba nikuchangie....SIONI TATIZO KTIKA HILO...
 
Back
Top Bottom