ok team heche 🐒Lema ni team Mbowe, matendo yake na matamshi yake yanatia wasiwasi .
Kamponza Pambalu aje kwenye mkutano wake wa Arusha kuwa Tanzania ni salama, na serikali imemhakikishia usalama wake kama yeye aliyohakikishiwa aliporudi kutoka Canada.
Chadema isipokuwa makini anakwenda kuirubuni Kamati Kuu na wajumbe wa Baraza Kuu baadaye iwe rahisi kukiteka chama kwa pesa za Abdul.
Chadema ni sikio la kufa.
Hata Mange àmémlalamikia kwa matàmshi yake. Ngoja tuone kauli ya Heche. Huyo nitamfuata!Lema ni team Mbowe, matendo yake na matamshi yake yanatia wasiwasi .
Kamponza Pambalu aje kwenye mkutano wake wa Arusha kuwa Tanzania ni salama, na serikali imemhakikishia usalama wake kama yeye aliyohakikishiwa aliporudi kutoka Canada.
Chadema isipokuwa makini anakwenda kuirubuni Kamati Kuu na wajumbe wa Baraza Kuu baadaye iwe rahisi kukiteka chama kwa pesa za Abdul.
Chadema ni sikio la kufa.
Sijaanza leo kutoa ushauri kama huu.Usilete umbea wa dada enu huku
Uko sahihi kabisa kuhusu mahakama na wanachokifanya kwa sasa na hata mimi nimekuwa nikiwazo hivyo.Hata Mange àmémlalamikia kwa matàmshi yake. Ngoja tuone kauli ya Heche. Huyo nitamfuata!
Nina wasiwasi na wimbi la ushindi wa kesi ambazo serikali inashitakiwa au ambazo somehow ni government backed...kutuaminisha/ kutuandaa kisaikolojia kuwa mahakama iko huru, then wakilipua " BOMU" la Lisu kushindwa, tusilalamike maana tumeshaandaliwa kuwa sasa mahakama inatenda haki.
Nitarudi kwenye thread hii 6.11.2026.
HatawezaLema ni team Mbowe, matendo yake na matamshi yake yanatia wasiwasi .
Kamponza Pambalu aje kwenye mkutano wake wa Arusha kuwa Tanzania ni salama, na serikali imemhakikishia usalama wake kama yeye aliyohakikishiwa aliporudi kutoka Canada.
Chadema isipokuwa makini na kuchukua hatua mapema, anakwenda kuirubuni Kamati Kuu na wajumbe wa Baraza Kuu baadaye iwe rahisi kukiteka chama kwa pesa za Abdul.
Chadema ni sikio la kufa.
CHADEMA hii ya Tundu Lissu, au bado unawaza ile ya Mbowe?Chadema isipokuwa makini na kuchukua hatua mapema, anakwenda kuirubuni Kamati Kuu na wajumbe wa Baraza Kuu baadaye iwe rahisi kukiteka chama kwa pesa za Abdul.
Alipo Lema sasa hivi kumwita "wenyewe kwa wenyewe" inaahitaji ujasiri mkubwa sana!..tu-deal na hao badala ya kushambuliana wenyewe kwa wenyewe.
Alipo Lema sasa hivi kumwita "wenyewe kwa wenyewe" inaahitaji ujasiri mkubwa sana!
Na vikaragosi wao..adui ni Ccm.
CCM ina mkono mrefu ina pesa chafu inaweza kumnunua yeyote, hata Zitto, Katambi na vibaraka wengine walikuwa Chadema lkn walidhibitiwa mapema...keep your eyes on the prize.
..wanaoteka, kutesa, na kuuwa, ni Ccm na vyombo vyao vya dola.
..tu-deal na hao badala ya kushambuliana wenyewe kwa wenyewe.
mmeshikwa akili na mange na Maria, CHADEMA ni TAASISILema ni team Mbowe, matendo yake na matamshi yake yanatia wasiwasi .
Kamponza Pambalu aje kwenye mkutano wake wa Arusha kuwa Tanzania ni salama, na serikali imemhakikishia usalama wake kama yeye aliyohakikishiwa aliporudi kutoka Canada.
Chadema isipokuwa makini na kuchukua hatua mapema, anakwenda kuirubuni Kamati Kuu na wajumbe wa Baraza Kuu baadaye iwe rahisi kukiteka chama kwa pesa za Abdul.
Chadema ni sikio la kufa.
Mimi nilikuwa naomba ushahidi wa haya msemayo, nasema hv kwa sababu moja, tunaweza kuwa tunampaka mtu matope kumbe ni safi au sio safi, suluhisho la hili ni kuweka ushahidi ili watu wajueLema ni team Mbowe, matendo yake na matamshi yake yanatia wasiwasi .
Kamponza Pambalu aje kwenye mkutano wake wa Arusha kuwa Tanzania ni salama, na serikali imemhakikishia usalama wake kama yeye aliyohakikishiwa aliporudi kutoka Canada.
Chadema isipokuwa makini na kuchukua hatua mapema, anakwenda kuirubuni Kamati Kuu na wajumbe wa Baraza Kuu baadaye iwe rahisi kukiteka chama kwa pesa za Abdul.
Chadema ni sikio la kufa.
Matendo take ndio ushahidi.Mimi nilikuwa naomba ushahidi wa haya msemayo, nasema hv kwa sababu moja, tunaweza kuwa tunampaka mtu matope kumbe ni safi au sio safi, suluhisho la hili ni kuweka ushahidi ili watu wajue