Mimi sio mwanasiasa lkn ni mfuatiliaji mzuri wa siasa na wanasiasa kwa muda mrefu.
Kabla ya Zitto kufukuzwa Chadema 2015 nakumbuka nilitoa ushauri kama huu, akasema yeye atakuwa wa mwisho kuondoka Chadema. Alipofukuzwa utetezi wake haukuwa na uzito tena akapuuzwa, umaarufu wake ukashuka hadi leo.
Kwa upepo huu sioni future yako kisiasa ndani ya Chadema, you will not be the same again, hata hivyo kisiasa Chadema siyo chama chako cha kwanza, ulikuwa TLP.
Soma alama za nyakati kabla hujachelewa utakuja kunishukuru baadae.