USHAURI: Lema jiuzulu nyadhifa zako zote CHADEMA before it's too late

USHAURI: Lema jiuzulu nyadhifa zako zote CHADEMA before it's too late

N
Karata ya Lema ilitumika pakubwa kumuondoa Mh Mbowe kwenye Uenyekiti, sidhani kama atakuwa mbuzi wa kafara! Mtu mwizi kama Heche anayemuua mwenyekiti wake mahakamani hivi hivi ndio Lema amkimbie

Kitu ambacho nina uhakika nacho viongozi hawa ndio wamekuja kuiua na kuizika kabisa Chadema kisiasa, tusubiri chama kingine kitakachoibuka ni chama gani kuwa chama kikuu cha upinzani

Hakuna kuaminiana tena

R.I.P JPM maono yako wanayakamilisha wenyewe kwa wenyewe tena kwa style ya UFISI (TAMAA)
Ndoto ya kuiua CHADEMA ilikuwepo tangu enzi za JK, lakini chama ndio kikazidi kupata mizizi kwa wananchi, inawezekana ulikuwa unanyonya wakati huo.
 
Nimecheka kupita kiasi Leo.Kumbe Lema huwa anamtaja Mungu kama kujihami.Kule uchagani ambako Mimi nimeolea l,wachaga wanasali sana.Hata shughuli za misiba au zingine za kijamii huwa ni mapambio tu ya akina Rose Mhando.
Lakini kusali kwao hakuna uhusiano na kutenda mema..Nadhani huwa wanasali ili wasikamatwe kwenye shughuli zao za kihalifu.

Haswaaa, Lema aondokeee, hana nafasi chadema kwa sasa.
 
Lema ajibu.

NINAENDELEA KUTAZAMA BILA HOFU.

Kwanza, Kamati Kuu ya CHADEMA, mahali popote, haijawahi kujadili AJENDA ya Maridhiano tangu Oktoba 29 mpaka sasa.

Pili, hakuna watu wawili, watatu au kikundi cha watu ambao wamewahi kwenda kwa Makamu Wenyeviti, Katibu Mkuu au Manaibu Katibu Wakuu kuwaomba tufanye maridhiano.

Tatu, azimio la kukataa maridhiano lililosomwa na MMB , John Heche, pamoja na kutaka msuluhishi huru wa kimataifa, lilifanywa na KAMATI NDOGO YA KAMATI KUU, iliyokuwa na wajumbe wafuatao , Heche, Mnyika, Manaibu Katibu Wakuu wote wawili, Sugu, Boni Yai, Lema na Susan Lyimo.Kwa hiyo, mtu au kikundi chochote kinachotaka kuugawa msimamo huu wa CHAMA na kuuweka kwenye makundi ya watu fulani, ni mzushi na mwongo.

Msimamo huu si wa mtu mmoja. Ni msimamo wa CHAMA.Na mtu au kikundi chochote kinachotaka kuaminisha umma kwamba wajumbe hao wamegeuka au kwamba msimamo huu ni wa baadhi ya watu na si wengine, kinafanya kazi ya kutugawa kwa uongo.Ukweli unabaki kuwa ukweli, hata kama kuna watu wanaotaka kuupindisha.

Kuhusu familia yangu, watoto wangu wawili pamoja na mke wangu walikuja Tanzania baada ya takribani miaka sita wakiwa nje ya nchi, kwa ajili ya kusalimia kwa mwezi mmoja. Walifika tarehe 28/7/2026 na tayari walirudi nchini kwao Canada tarehe 3/9/2026.Wito , wote wanaopigana na mimi vita vya uongo , wataanza kuadhibiwa na Mungu siku sio nyingi, kwani ninamjua Mungu ninayemuamini.
Atulie tu kama kweli hataki MAVIZIANO matendo yake yataongea. Kwa nini amalize miti?
 
Hizi tuhuma angekua amezitoa Maria Sarungi ningeziwekea 50%-50% maana Maria ni mwanaharakati mwenye consistency ila kuna muda mara nyingi anateleza kwa kutoa taarifa zisizo sahihi.

Mange licha ya mapungufu yake ila huwa anachuja na kuverify taarifa mno kabla hajaiweka na ana mbinu yake fulani hivi kupata taarifa katika vyanzo vyake ambayo wanaharakati wengine hawana , nimepitia post zote za Mange lei na utetezi wa Lema naona kuna mahali Lema aliteleza kweli sasa achague heshima au tumbo..

Kwa clip ile ya mange, ni kweli kabisa Lema emefika bei, na anaonesha wazi kabisaa. Wala hajifichi.

Cha ajabu yeye hajajibu au kukana tuhuma kaja na gazeti lake refu, na kutoa unabii wake uchwara wa siku zote.
Em atupishee sie. Khaaa.
 
Nimecheka kupita kiasi Leo.Kumbe Lema huwa anamtaja Mungu kama kujihami.Kule uchagani ambako Mimi nimeolea l,wachaga wanasali sana.Hata shughuli za misiba au zingine za kijamii huwa ni mapambio tu ya akina Rose Mhando.
Lakini kusali kwao hakuna uhusiano na kutenda mema..Nadhani huwa wanasali ili wasikamatwe kwenye shughuli zao za kihalifu.
Wachaga ndio zao utasikia Yesu na Maria
 
Kwa clip ile ya mange, ni kweli kabisa Lema emefika bei, na anaonesha wazi kabisaa. Wala hajifichi.

Cha ajabu yeye hajajibu au kukana tuhuma kaja na gazeti lake refu, na kutoa unabii wake uchwara wa siku zote.
Em atupishee sie. Khaaa.

Naam , Mange licha ya madhaifu yake ila kwenye taarifa huwa yuko makini Lema amekua "caught off guard".
 
N

Ndoto ya kuiua CHADEMA ilikuwepo tangu enzi za JK, lakini chama ndio kikazidi kupata mizizi kwa wananchi, inawezekana ulikuwa unanyonya wakati huo.

Kipindi kile walikaribia kuweza maana chama kilikua mikononi mwa watu wachache ila sasa kiko kwa wananchi ndio ugumu unapoongezeka .

Popote duniani dola haijawahi kushinda wananchi.
 
Mimi sio mwanasiasa lkn ni mfuatiliaji mzuri wa siasa na wanasiasa kwa muda mrefu.

Kabla ya Zitto kufukuzwa Chadema 2015 nakumbuka nilitoa ushauri kama huu, akasema yeye atakuwa wa mwisho kuondoka Chadema. Alipofukuzwa utetezi wake haukuwa na uzito tena akapuuzwa, umaarufu wake ukashuka hadi leo.

Kwa upepo huu sioni future yako kisiasa ndani ya Chadema, you will not be the same again, hata hivyo kisiasa Chadema siyo chama chako cha kwanza, ulikuwa TLP.

Soma alama za nyakati kabla hujachelewa utakuja kunishukuru baadae.
Nisaidie Quinine, kuna issue gani na Lema?
 
Karata ya Lema ilitumika pakubwa kumuondoa Mh Mbowe kwenye Uenyekiti, sidhani kama atakuwa mbuzi wa kafara! Mtu mwizi kama Heche anayemuua mwenyekiti wake mahakamani hivi hivi ndio Lema amkimbie

Kitu ambacho nina uhakika nacho viongozi hawa ndio wamekuja kuiua na kuizika kabisa Chadema kisiasa, tusubiri chama kingine kitakachoibuka ni chama gani kuwa chama kikuu cha upinzani

Hakuna kuaminiana tena

R.I.P JPM maono yako wanayakamilisha wenyewe kwa wenyewe tena kwa style ya UFISI (TAMAA)
Kile kitendo cha kwamba CCM ndiyo wako busy kumtetea na kumsifu Lema wakati CHADEMA wako na Heche through thick and thin for any sensible person this exposes who is good for CHADEMA and who is not, hii wala si destruction kama CCM na timu yao ya chawa wanavyodhani bali inawasaidia CHADEMA kubain toxic people ndani ya chama chao.
Swali la msingi: Kwanini CCM wanahangaika kumtetea Lema? Ghafla amekuwa mzuri kwao kama wanavyomsifu Mbowe waliyemuita gaidi mmiliki wa saccos?
 
Hivi kwa nini ukipewa hela unakuwa zuzu ghafla?! Lol

Kula bata miezi miwili seaclif..?! Lol kabisa?? Watu wasijiulize kuhusu umepata wapi hela, kabisaaa?!...alikuwa na nani au kitoto cha 2000? Lol
 
Chadema iuliwe na Lema? You must be joking.
Point yangu n kwamba, wasaliti wanaibuka wengi na wengine n wa meza kuu

Mfano ghafla unaona JK anaisaliti ccm, unadhani kuna kitu kitabakia hapo
 
Nyakati ngumu zaidi zinakuja, CHADEMA inabidi msife moyo, wasaliti wataendelea kuwepo...
Misukosuko inakuja , lakini yote hio ni kwa sababu ya kupambania haki...

Vitabu vitakatifu vinatufundisha misukosuko ambayo utapitia ukiwa mkweli , ukiwa upande wa haki, hadithi ya Samson alisalitiwa na Delila...
Daudi alisalitiwa na mtu wake na mshauri wa karibu kabisa aliitwa Ahitofeli, mbaya zaidi Absalomu mtoto wa Daudi naye alimsaliti baba yake akishirikiana na Ahitofeli ili kumwangusha kwenye ufalme...

Yuda Iskariote alimsaliti Yesu..

Yusufu alisalitiwa na kaka zake, wakamuuza Misri..

Haya mambo ni ya kawaida tu haswa unapokuwa mahala sahihi na unasimamia ukweli na haki...

CHADEMA pambano mpaka kieleweke... Lema mfukuzeni uanachama kama atafungua kesi ni sawa... vita ni vita hakuna kurudi nyuma...

Lema akifukuzwa utakua mfano kwa wengine wakina Sugu na Bono Yai
 
Kweli ukianza kuona #hashtag zako nyingi zinatoka upande wa CCM ni ngumu sana kuaminika tena CDM, mifano ni mingi Zitto, Mbowe and others.
Nimemsoma sana Lema, ukweli toka moyoni Lema ni timu Mbowe, kwa sasa yeye ni feeder wa CCM.
 
Mimi sio mwanasiasa lkn ni mfuatiliaji mzuri wa siasa na wanasiasa kwa muda mrefu.

Kabla ya Zitto kufukuzwa Chadema 2015 nakumbuka nilitoa ushauri kama huu, akasema yeye atakuwa wa mwisho kuondoka Chadema. Alipofukuzwa utetezi wake haukuwa na uzito tena akapuuzwa, umaarufu wake ukashuka hadi leo.

Kwa upepo huu sioni future yako kisiasa ndani ya Chadema, you will not be the same again, hata hivyo kisiasa Chadema siyo chama chako cha kwanza, ulikuwa TLP.

Soma alama za nyakati kabla hujachelewa utakuja kunishukuru baadae.
m Kumbe lema ni sikio la kufa.
 
Aliyokuwa anayataka Lema utekeleza umeanza.

20260915_165311.jpg
 
Back
Top Bottom