CHADEMA mfukuzeni Lissu mapema au mdhibitini la sivyo yaliyowakuta CUF yatawakumba na ninyi

Sisi ndo tunamtaka huyo sasa
 
Ona ulivyo nanga wewe, kuna sehemu hapa umeona nikiongelea habari za 2025?
Kama mnahisi waoinzani wana watukaneni mkiwakosoa basi mnastahili, maana ninyi huwa hamjibu hoja zao bali mnawatumia Polisi, mnawafukuzisha kazi, mnawaharibia shyghuli zao, mnawaoa kesi za kutunga na kuwafunga. Kinachowashangaza hapo ni kipi wakati ubaya mliuanza wenyewe?
 
Ok
 
Sasa unanijibu "Ok" ndiyo nini? Ungenijibujibu angalau kwa kasentensi karefu kidogo, maana mimi nimejiandaa kwa ugomvi, sasa unataka haya Makombora nikampige nayo nani?
🤓🤓🤓🤣dah
 
Una upeo mdogo sana !
 
Wewe tulishabishana na wewe kwenye mada nyingi zingine. Hata hii tutabishana sana..

Tatizo lako ni moja unafikiri unajua na wengine hatujui. Na mara zote huwa hujibu hoja na huwa unakimbilia kujitetea kwenye yasiyokuwepo na kuziacha hoja za kujibu..

Mfano kwenye hili, nimekuuliza maswali lukuki kutoka kwenye hoja kipofu nyingi ulizoziandika wa mkono wako mwenyewe, badala ya kujikita kutetea hoja zako Lakini unaleta mambo ya "sympathy" hapa..!

Nani kakuambia kuwa serikali nyingi za ki - Afrika na za kidikteta zisizozingatia sheria na katiba huwatia watu ndani kwa sababu ni kweli wamevunja sheria fulani?

Hufanya hivyo Kwa watu wa aina ya Tundu Lissu just because wanasema mambo ambayo wasingependa watu (wananchi) wayasikie Kwa sababu wataamka na kujua ujinga na upumbavu wa viongozi wao na hivyo nafasi zao za utawala kuwa hatarini kupotea..!

Kama hujui hata hili,basi wewe ni mjinga tu...!!
Narudia tena by 2025 Mbowe and LISU will not see each other eye to eye na Lisu kuondolewa chadema now au asipothibitiwa aina ya siasa anazofanya Chadema itaishia ilipoishia CUF.
And I also say again and again to remind you, that;

1. The late John P. Magufuli took the same oath as that☝️☝️☝️ one immediately after he came into power in 2015, that he would had made sure that CHADEMA is out of picture by 2020...

What happened instead? He himself went out of the picture and CHADEMA specific Tundu Lissu & Freeman Mbowe are more better than before.!!

2. Your wish is just a vanity wish. Majority of the people in the country are fasting and praying so that CCM can die and disappear forever. Yet, you are proscastinating nonsenses here?...... You are a vanity yourself..

Goodbye and good night.
 
Ok
 
"Hii ina maana kwamba angependelea Mh. Freeman A.Mbowe aendelee kusota na kuteseka magereza na mikutano ya vyama vya Siasa kuendelea kupigwa pini. I can predict hali hii ikiendelea Mwenyekiti na Makamu wake will not see eye to eye siku za usoni. Mark my words."


MARIDHIANO NDO YALIFUTA KESI YA UGAIDI YA MBOWE?

MIKUTANO KUPIGWA PINI UNAONA NI HAKI YA MTAWALA?

UZI WA KISHENZI UMEANDIKWA NA MSHENZI.
 
Sababu Mbowe ananyanyaswa na kupokwa haki zake kisha anasamehe.

Lakini mtawala akipigwa spana kidogo kende zinawauma.

Umeandika kinyesi kitupu
 
Huu ushauri wako, hauna maana, cuf ilikufa baada ya viongozi kununuliwa na ccm,
Chadema, iliitwa, chama cha wachaga, ikapita, kikaitwa chama cha kaskazini, ikapita, viongozi wake wakashambuliwa kwa risasi, wakafungwa jera, lakini bado tu,
Kuna wakati huwa najiuliza kibao kikigeuka, ccm ikawa upimzani, ikafanyiwa hizi figisu,itadumu kwa muda gani?
Viongozi wataishia kujamba mishuzi tu,
 
USHOGA ni miongoni mwa vitu VIBAYA SANA vinavyomchukiza Mungu kwa ukubwa.

Si vema kuvichekea hata kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…