CHADEMA mjitafakari msiwabeze wahamaji, wana hoja za msingi. Adui wenu mkuu sio CCM! Lazima mbadilike

Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined
Sep 22, 2008
Posts
59,804
Reaction score
134,593
Wanabodi,

Naendelea na zile makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa.

Declaration of Interest.
Japo mimi ni mwanachama wa chama cha siasa, lakini bado naweza kutoa ushauri wa maana hata kwa chama ambaho sio chama changu kama ninavyofanya hapa, hivyo ni kawaida humu jf, mtu ukifanya ukosoaji wowote kuihusu Chadema humu jf, utanyooshewa vidole kuwa wewe ni CCM. Mimi Paskali Mayalla kweli ni CCM, lakini nafanya ukosoaji wangu constructively, truthfully with objectivity, impartiality and balancing, bila kuegemea chama changu, wala bila kuwajali hawa manazi wa Chadema, waliotamalaki humu jf watasema nini, as long as ninachoshauri ni kitu cha kweli, hivyo nawashauri Chadema kama chama, wawe tayari kupokea, kuupima na kuuzingatia ushauri wowote utakaotolewa kwao, hata kama ushauri huo unatoka kwa kichaa au ushauri kutoka kwa shetani, ili wautumie ushauri huo kujipima, kujitafakari na kujitathimini, wakiuona una maana, wautumie, wakiuona hauna maana, waupuuze, ni busara kwa kwa kila anaejidhania amesimama, na aangalie isianguke. CHADEMA msipuuzie ushauri hata kama ni kutoka kwa shetani!, S ...

Utangulizi
Hili ni bandiko la ushauri wa bure kwa Chadema, na unatolewa na mtazamaji wa muda mrefu wa mchezo wa siasa nchini Tanzania, ambaye ameangalia chaguzi mbalimbali za nchini na nje ya nchi, tangu uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi nchini Tanzania, (Kwahani -1994), uchaguzi mkuu wa 1995, 2000, 2005, 2010, na 2015. Ushauri wenyewe ni kuhusu hii hama hama ya wanachama na viongozi wa Chadema kuhamia CCM. Naishauri Chadema wasiwabeze hawa wanaohama kama wafanyavyo CCM, bali Chadema wajitafakari, kwa sababu baadhi ya hawa wanaohama Chadema, wana hoja za msingi.

Siku zote Chadema wanaendesha siasa kwa dhana potofu, wanadhani adui yao mkuu anaowafanya kushindwa kwenda Ikulu ni CCM, kiukweli adui mkuu wa Chadema sio CCM, nitawatajia adui mkuu wa Chadema, na mwisho nitawapa ushauri Chadema wafanye nini, waweze kuingia Ikulu 2025 wakati Magufuli atakapomaliza muda wake, tena only if, kama rais Magufuli atamaliza kweli hiyo 2025!, kwa sababu kwa uchaguzi wa 2020, kwa saa hizi tayari ni too little too late, rais Magufuli amefanya makubwa, anakubalika sana na Watanzania, na pia he is just too powerful to be defeated , kiasi kwamba kwa uchaguzi wa 2020 kwa upande wa urais, ni kama hakutakuwa na uchaguzi wa rais 2020, uchaguzi wa rais wa 2020 kwa mawazo yangu nauhesabu utakuwa ni igizo tuu la uchaguzi, unless Tundu Lissu arejee kugombea urais, na hata akirejea na kugombea, ataongeza tuu hamasa ya uchaguzi na ataleta tuu changamoto kwa Magufuli, lakini Lissu hawezi kushinda urais wa Tanzania, kwasababu has nothing to show. Mshindi wa urais 2020, tayari ameishajulikana ni Dr. John Pombe Joseph Magufuli wa CCM, hivyo wote watakaompinga rais Magufuli 2020, itakuwa ni kujifurahisha tuu, hivyo Chadema watake wasitake, ni lazima wabadilike, vinginevyo, 2020 its the end of the road kwa Chadema, tunarudi kwenye nchi ya chama kimoja!.

Why Chadema?
Tanzania japo tuna vyama vya siasa zaidi ya 22, lakini vyama vikubwa ni CCM, Chadema na CUF, by now CUF is already a gone case, hivyo tunapozungumzia upinzani Tanzania, tunazungumzia Chadema. Kifo cha CUF hichoo... chaja! Upinzani kubaki CHADEMA pekee ...

Justification ya Kuikosoa Chadema kwa Mtu Ambaye Sii Mwanachama.
Mashabiki na manazi wa Chadema humu jukwaani, ukifanya ukosoaji wa Chadema, au kutoa ushauri wowote kuhusu Chadema, watakubeza unashauri kama nani?. Kwa sababu Chadema ni public party paid by taxpayers money, then the taxpayers have the right to know the conduct of their tax, hivyo Watanzania wote wana right kujua mambo yote ya Chadema, public na private, ni haki yao kwa sababu kinaendeshwa kwa kodi zao, hata wakina ni wana CCM!.

Kwanini Uishauri Chadema, Kwani Wao Wenyewe Hawajioni na Kujishauri?.
Ushauri huu nautoa kwa dhana kuwa viongozi wa Chadema, wanachama wao, wafuasi wao, washabiki wao na manazi wa Chadema waliotamalaki humu jf, wote ni pro Chadema, wako ndani ya box la Chadema, hivyo wanaweza wasiwe na uwezo wa kuona nje ya box, sisi tulioko nje ya box ambao ni watazamaji tuu, tunaweza kuwa tunaiona Chadema vizuri zaidi kwa nje, kuliko hao Chadema wenyewe waliomo ndani ya box la Chadema, lakini pia kuna walioko ndani, wanayaona madhaifu na mapungufu ya Chadema from within, lakini kwa vile wamo, ama wanakosa ujasiri na objectivity ya kujiambia, kujitathimini na kujikosoa, hata hivyo tathimini ya kweli, inapaswa ifanywe na watu wa nje na sio kujitathmini yenyewe kwa ndani, maana mwana Chadema akiikosoa Chadema ndani ya vikao, ataitwa msaliti, kama walichojaribu kufanya kina Zitto,Prof. Kitila na Mwingamba, na kilichowakuta, hivyo hakuna mwanachama wa Chadema atathubutu kujitokeza na kuikosoa.

Mfano kwa sasa, kuna kila dalili, Mhe. Mbowe, amefikia mwisho wa uwezo wake, tayari Mbowe ameisha ifanyia Chadema makubwa kwa kuipaisha, ameipokea ikiwa na wabunge wawili, hadi wabunge zaidi ya 50, lakini kwa hapa Chadema ilipofika, Mbowe hawezi tena kuipandisha zaidi ya ilipofikia, alipoifikisha, lakini hakuna mwana Chadema mwenye guts kuibuka na kulisema hili ndani ya Chadema au ndani ya vikao, kilichobaki ni kwa wana Chadema kuishuhudia Chadema ikizidi kusinyaa na kupukutika, kwa kukimbiwa na viongozi na wanachama wake na huku ikishindwa kwenye kila uchaguzi wa marudio.

Chadema Isiwabeze Wanaohama, Ni Haki Yao, Ila Pia Izingatie Hoja Zao, Wengine Wana Hoja za Msingi
Kati ya wanachama na viongozi wa Chadema wanaohamia CCM, kuna wengine wanahama kimya kimya bila kusema sababu, kuna wengine wananunuliwa kwa kuhongwa rushwa ya ahadi ya kusimamishwa wao, na kuna wengine na haswa baadhi ya viongozi, wanapohama, wanaandika barua rasmi kwa uongozi wa Chadema na kuaga rasmi kwa kutoa sababu, ziwe ni sababu za kweli au ni visingizio tuu, lakini kuna kitu wanasema, na wengine hawasemi chochote kuhusu Chadema lakini siku wanapokelewa CCM, ndipo wanasema hili au lile kuhusu madhaifu ya Chadema, japo ni kweli wengi wa wahamaji hawa, kinachowahamisha Chadema ni njaa zao tuu, na wanakwenda CCM kufukuzia fursa, lakini kuna baadhi, wana hoja za msingi sana, hivyo Chadema inatakiwa kutozipuuza hoja zao, izisikilize, kuzipima na kujitathmini kuhusu ukweli wa hoja hizo.

Chadema Ina Matatizo From Top to Bottom, Left, Right and Center.
Mimi ni miongoni mwa wakosoaji wakubwa wa Chadema humu jf, kama nilivyo mkosoaji mkubwa wa CCM, CUF na rais Magufuli, lakini uzuri wangu, kwenye kila ukosoaji, huwa ninaweka na ushauri wa nini cha kufanyika. Kwa vile tumeisha yazungumza sana matatizo ya Chadema huko nyuma, hivyo wenye kutaka kuyajua matatizo ya Chadema, naombeni mkazisome hizi links
  1. Kwanza niliizungumzia jinsi CCM ilivyochokwa, na kuishauri Chadema itake advantage ya kuchokwa kwa CCM, yenyewe ijiimarishe, lakini tatizo kubwa la Chadema ni jinsi ambavyo haijajipanga, hapa nikaishauri Chadema ijipange vipi, ili kuingia ikulu 2015. CCM Imechokwa, CHADEMA Haijajipanga! | Page 3 | JamiiForums | The ...CHADEMA Hamkujipanga, hamjajipanga, hamjipangi na hamtajipanga ...
  2. Nguvu za Vyama vya siasa Tanzania ni territorial, Chadema ina nguvu Kanda ya Kaskazini, na maeneo ambayo literacy levels ziko juu kutokana na uwezo wa watu wa maeneo hayo kusomesha na kuelimika kufuatia maeneo hayo kuwa na hali ya ehueni kiuchumi, kama katika majiji, Arusha, Mwanza, Mbeya, Iringa, Tanga etc, wakati CCM ina nguvu sana maeneo yenye low literacy levels na maeneo yenye umasikini uliotopea, object poverty. Kati ya maeneo yenye the elites na yenye ignorance, na object poverty, idadi ya ignorants na masikini wa kutupwa nchini Tanzania ni wengi zaidi kuliko the elites, na the determinant factor ya urais wa Tanzania ni Kanda ya Ziwa, hivyo nikawashauri Chadema Mtazamo: Kanda ya Kaskazini, CCM imechokwa mpaka basi ...
  3. Chadema ina tatizo la kutofuata katiba yake na kutowatendea haki wanachama wake, ili Chadema kujionyesha ni chama cha haki, nikawashauri Wito: CHADEMA Watendeeni Haki Wanachama Wenu Ili Kuwatendea Haki ...Uamuzi wa CHADEMA dhidi ya madiwani: "A Big Mistake!" | FikraPevuUshauri wa Bure kwa CHADEMA: Heri Nusu Shari Kuliko Shari Kamili ...
  4. Chadema ina tatizo la udikiteta na kubadili katiba yake kinyemela kukinyofoa kipengele cha ukomo wa madaraka, ili kujenga kujenga usultani, ufalme na viongozi miungu watu, hili niliwashauri hapa CHADEMA Ikipewa Nchi, October 2015, Hakuna Hatari Kugeuka Utawala ...Tuhuma Hii: CHADEMA Kuendeshwa Kwa Katiba "Fake" Ikithibitishwa ...
  5. Udhaifu wa Uongozi wa Juu, Chadema ina mtindo wa kuwaaminia sana viongozi wake, hawakai pamoja kama chama na kufikia uamuzi wa pamoja, wanamtindo wa kuwategemea watu mmoja mmoja, ikitokea huyo mtegemewa sio perfect, then Chama chote kinaingizwa chaka.Katiba: CHADEMA mlikosea! Kubalini yaishe, Tusonge mbele! | Page ...
  6. Chadema ni Chama cha kiharakati, wamelivuruga sana Bunge Letu, hivyo nilitoa ushauri huu CHADEMA Wameliharibu Sana Bunge Letu! Hadi Mawaziri Wetu!, Kama ...Mhe. Tundu Lissu, Please Acha Kumsulubu Spika Wetu!, Unammaliza ...Vurugu za Jana Bungeni: Chanzo ni Mhe. Job Ndugai!- Ni Dikteta ...
  7. Ili Chadema kiweze kuingia ikulu, tulikishauri nini cha kufanya, Kuelekea 2015: CHADEMA Kuchukua Nchi Kwa Kishindo!... Only If ..
  8. Chadema bado ni chama kichanga, hakijakomaa kiasi cha kukabidhiwa nchi, ili Chadema kuonyesha kuwa kimekomaa na kina uwezo, tulitoa ushauri ufuataoCHADEMA: Tujadili Utayari wa Kutawala Nchi 2015 | Page 7 ...Kufuatia Madudu na Maroroso ya CHADEMA, Jee Bado Kuna Imani na ...CHADEMA Chama cha Ajabu Sana!.Kwenda Mahakamani Kwa Non Issue ...
  9. Moja ya udhaifu mkubwa kabisa unaoigharimu Chadema dearly, ni kukosa vision, hivyo haina mission wala haina strategies, inakalia cheap politics za siasa za matukio, mfano hata kwa jambo dogo tuu la udikiteta wa Magufuli, Chadema was supposed to do the right thing na sio kuhamasisha maandamano.Ushauri kwa CHADEMA: Japo ni Haki, lakini chondechonde Msiandamane ...Kama Katiba Yetu Ingeruhusu Matokeo ya Urais Kuhojiwa Mahakamani ...Hoja ya Udikiteta wa Magufuli: Tundu Lissu isn't Right. Haupingwi ...
  10. Ili Chadema kiweze kuingia ikulu, lazima kwanza kipange malengo kwa kujua walengwa ni nani wanaoikosesha Chadema kuingia ikulu, wengi walidhani ni CCM, hivyo Chadema inashinda kutwa kucha ikiikosoa CCM, kumbe adui halisi anayoifanya Chadema ishindwe kuingia ikulu sio CCM, CCM imechokwa kitambo, lakini Chadema haijajionyesha kama chama mbadala, ime invest sana kwenye mashambulizi dhidi ya CCM, badala ya kuivest on people na reaching out strategies. Kuelekea 2015: CHADEMA, Don't Miss the Target, Adui Mkubwa sio CCM ...
A Way Forward, Chadema Ifanye Nini.
  1. Kwanza Chadema ijitathmini, is it on the right track?, itambue makosa yake, ikubali makosa, ijirekebishe, isonge mbele. CHADEMA ni sikio la kufa? Iambiwe vipi ili isikie? Masha ana hoja za msingi, zisikilizwe, zizingatiwe, zisipuuzwe!
  2. Ianzishe grassroots recruitment ya wanachama wake waaminifu, isije kujikuta imewakumbatia ma pandikizi wa CCM kuanzia nje hadi ndani ya CC yake, kama ilivyotokea kwa Mwenyekiti wa Bavicha.
  3. Ianzishe head-hunting na spotting leadership talents na able people toka kwenye jamii kujiunga Chadema na kujenga kada ya viongozi wake wa kesho, born and breed in Chadema, kwa kuwafanyia grooming, ili kupata wagombea wake wa nafasi mbalimbali za uongozi.
  4. Ipunguze kushobokea makapi kutoka CCM, wana CCM wanaojitoa CCM na kujiunga Chadema, wawe wanachama wa kawaida tuu kama wanachadema wengine na sio kupapatikiwa na kupewa uongozi moja kwa moja.
  5. Chadema I invest on people na mass mobilization strategies, na sio ku invest on vitu na mikutano tuu ya hadhara, kupitia social media na kumiliki media yake yenyewe, kutawafikia watu wengi zaidi kuliko kutegemea mikutano ya hadhara na maandamano pekee.
  6. Chadema irudishe ukomo wa uongozi, hata kiongozi awe mzuri vipi, anafikia kiwango cha ukomo wake na kuwa kama saturated solution, he/she can do no more than what he/she can!, anakuwa hana jipya!, pia Chadema waandae succession plan, by now, wawe na a pool of able people from within kushika nafasi zote za uongozi, na kuendesha serikali, kungekuwa na ukomo, by now watu wangejua Mbowe amefikia ukomo wa uwezo wake, hivyo nani watampokea.
  7. CCM ni chama dola, hivyo Chadema isitumie model ya CCM kuitafuta ikulu, iandae model yake yenyewe ya kupata viongozi wake na wagombea wake, mtindo wa the democrats ya US ni mzuri kuanzia kwenye primaries.
  8. Kuondokana na viongozi ving'ang'anizi na miungu watu, maadam target ya chama kikuu cha upinzani ni kuingia ikulu, kiongozi wa chama hicho, umeshindwa kuiingiza Chadema ikulu, unajiuzulu, unapisha wengine wanaendeleze, sio umeshindwa halafu bado unang'ang'ania!.
  9. Kuwafanyia tathmini wabunge wake kwa status ya kukubalika kwao, na kuwe hakuna haki miliki ya majimbo, mfano 2020, Mhe. Halima Mdee ndiye mbunge wa jimbo la Kawe, kuelekea 2020, Mdee anatathminiwa amefanya nini Kawe for the past 10 years, na jee bado anakubalika?, (Acceptability test) Wanachadema wote wenye uwezo, wawe huru kumchallenge Mdee, akitokea mwanachama mwingine mwenye sifa na uwezo na kukubalika zaidi ya Mdee kwa jimbo la Kawe, then 2020, Mdee anawekwa pembeni anapumzishwa, kijiti kinapokewa na more able, vinginevyo 2020, kuna majimbo mengi kibao Chadema mtayarudisha CCM!.
  10. Chadema kionyeshe ukomavu na kuwa ni chama mbadala kwa kuachana na cheap politics ya siasa za matukio, na badala yake kujikita kwenye real politics za kushindanisha sera, sio kwa kupinga kila kitu, CCM ikifanya mazuri, mfano elimu bure, Chadema ikubali hili ni zuri, lakini ionyeshe ingekuwa Chadema ingefanya bora zaidi kwa elimu bure kuanzia chekechea hadi chuo kikuu, kwa kuonyesha how CCM inatapanya fedha na resources za nchi kwa ufisadi na kwa mambo yasiyo na maana, halafu inanyanyasa Watanzania masikini kwa kuwanyima mikopo ya elimu ya juu. Chadema wajifunze kuibomoa CCM kwa hoja na sio siasa za matukio, mfano mwaka 2020, Magufuli anaingia ulingoni akiwa na good track record ya performance, aliahidi na ametekeleza na maendeleo yanaonekana kwa macho, elimu bure, ndege za ATCL zinapaa dunia nzima, flyovers, reli ya SGR, na Tanzania ya viwanda. Chadema lazima waje na sera mbadala kuonyesha jinsi ATCL, flyovers na SGR zilivyowatia umasikini Tanzania, kama fedha hizo zingewekezwa kwenye sekta ya kilimo nini kingepatikana, bila kuinua sekta ya kilimo, hiyo Tanzania ya viwanda inayohubiriwa na rais Magufuli, ni Tanzania ya viwanda gani vinavyotumia malighafi gani?. Ijikite kwenye hoja kama hizi Kupata Maendeleo ya Kweli, Tanzania Inahitaji Systems Not Dramas ...
  11. Chadema ipiganie a level playing field kwenye the political playground, kupitia tume huru na shirikishi ya uchaguzi na katiba mpya, haiwezekani watu wawili wanagombea urais, mgombea mmoja anakuja na vingora, na full government media team, paid by public money for the advantage ya CCM, halafu, mwingine with nothing, halafu utegemee kushinda!.
  12. Chadema ipiganie true free and fair elections with maximum transparency, kama hakuna maneuvers zozote zinazofanywa na Tume ya Uchaguzi, kwa nini wazuie independent party tallying?, wanaogopa nini?, kama matokeo yote hadi ya urais yanabandikwa vituoni mbele ya mawakala wa vyama, kuna kosa gani kama mawakala wote watakuwa na smart phones, ku scan matokeo na kutuma makao makuu kwenye tallying centers za vyama, kama haki itatendeka, then matokeo ya independent tallying za vyama yatafanana na matokeo ya tallying ya NEC, what is it there to hide kuzuia independent tallying?.
  13. Chadema kutimiza majukumu yake kikamilifu kama Chama cha upinzani kazi yake sio tuu kuikosoa serikali, bali ku I check serikali kuhakikisha inafuata katiba na kutekeleza sheria, taratibu na kanuni, mfano, katika kuzuia mikutano ya kisiasa, rais Magufuli amevunja katiba wazi wazi kabisa mchana kweupe!, chama chochote makini, by now, kingeifungua shauri mahakamani, ili mahakama itoe tafsiri rasmi, kama itathibitisha rais amevunja katiba, rais anapewa amri za kimahakama za prohibition, certiorary etc na akikataa anashitakiwa na bunge Kwa uvunjifu wa katiba na kuondolewa madarakani!. Mfano hata suala dogo tuu kama Daudi Bashite, nilishauri Je, wajua suala vyeti vya Bashite, linaweza kabisa kumng'oa Rais ...
  14. Chadema waipinge CCM kwa kujikita kwenye hoja zenye maslahi kwa taifa, ujinga, umasikini, maradhi, rushwa na ufisadi, kwa kuonyeshea CCM katika kipindi chote cha miaka 50, ndie muasisi wa rushwa na ufisadi wote unaolikumba taifa letu, CCM imeshindwa, na katika rushwa na ufisadi, Chadema iwaeleze wananchi, CCM ndio shina na mlezi wa rushwa zote na mafisadi karibu wote ni CCM!, ili wananchi waelewe kuwa CCM inapigana vita ilivyovilea na kuvijenga.
Ni hayo kwa uchache, nikikumbuka mengine nitayaongeza.

Paskali
 
Wanabodi,

Declaration of Interest.
Mimi sio mwanachama wa chama chochote cha siasa, hivyo ni kawaida, ukifanya ukosoaji wowote kuihusu Chadema humu jf, utanyooshewa vidole kuwa wewe ni CCM. Nafanya ukosoaji wangu constructively, truthfully with objectivity, impartiality and balancing, hivyo nawashauri Chadema, wawe tayari kupokea na kuuzingatia ushauri wowote, hata kama ushauri huo unatoka kwa kichaa au kwa shetani, ili kujitafakari na kujitathinini, kama inajidhania imesimama, na uiangalie isianguke. CHADEMA msipuuzie ushauri hata kama ni kutoka kwa shetani!, S ...

Utangulizi
Hili ni bandiko la ushauri wa bure kwa Chadema, na unatolewa na mtazamaji wa muda mrefu wa mchezo wa siasa nchini Tanzania, ambaye ameangalia tangu uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi nchini Tanzania, uchaguzi wa jimbo la Kwahani, 1994, uchaguzi mkuu wa 1995, 2000, 2005, 2010, na 2015. Ushauri wenyewe ni kuhusu hii hama hama ya wanachama na viongozi wa Chadema kuhamia CCM. Naishauri Chadema Wajitafakari!, Wasiwabeze Wanaohama Kama Wafanyavyo CCM, Wanaohama Chadema, Wana Hoja za Msingi, Chadema Wanadhani Adui Yao Mkuu Anaowanya Kushindwa Kwenda Ikulu ni CCM, Kiukweli Adui Mkuu wa Chadema Sio CCM, Nitawatajia Adui Mkuu wa Chadema, na Mwisho Nitawapa Ushauri Chadema Wafanye Nini, Waweze Kuingia Ikulu 2025 Magufuli atakapomaliza and only if Magufuli atamaliza 2025!, kwa sababu haya ninayoshauri, kwa uchaguzi wa 2020, saa hizi tayari ni too little too late, na Magufuli ni just too powerful kiasi kwanza hakutakuwa na uchaguzi wa rais 2020, uchaguzi wa rais wa 2020 utakuwa ni igizo tuu la uchaguzi, lakini mshindi tayari ni Magufuli, hivyo wote watakaompinga Magufuli 2020, itakuwa ni kujifurahisha tuu, hivyo Chadema Watake Wasitake, Lazima Wabadilike, Vinginevyo...its the end of the road kwa Chadema, tunarudi kwenye nchi ya Chama Kimoja.

Why Chadema?
Tanzania japo tuna vyama vya siasa zaidi ya 22, lakini vyama vikubwa ni CCM, Chadema na CUF, by now CUF is already a gone case, hivyo tunapozungumzia upinzani Tanzania, tunazungumzia Chadema. Kifo cha CUF hichoo... chaja! Upinzani kubaki CHADEMA pekee ...

Justification ya Kuikosoa Chadema kwa Mtu Ambaye Sii Mwanachama.
Mashabiki na manazi wa Chadema humu jukwaani, ukifanya ukosoaji wa Chadema, au kutoa ushauri wowote kuhusu Chadema, watakubeza unashauri kama nani?. Kwa sababu Chadema ni public party paid by taxpayers money, then the taxpayers have the right to know the conduct of their tax, hivyo Watanzania wote wana right kujua mambo yote ya Chadema, public na private, ni haki yao kwa sababu kinaendeshwa kwa kodi zao!.

Kwanini Uishauri Chadema, Kwa Wao Wenyewe Hawajioni na Kujishauri?.
Ushauri huu nautoa kwa dhana kuwa Viongozi wa Chadema, wanachama wao, wafuasi wao, washabiki wao na manazi wa Chadema humu jf, wote ni pro Chadema, wako ndani ya box la Chadema, hivyo wanaweza wasiwe na uwezo wa kuona nje ya box, soso tulioko nje ya box ambao ni watazamaji, tunaweza kuwa tunaiona Chadema vizuri Zaidi kwa nje, kuliko waliomo ndani ya chama, lakini pia kuna walioko ndani, wanayaona madhaifu na mapungufu ya Chadema from within, lakini kwa vile wamo, wanakosa objectivity ya kujiambia, kujitathinini na kujikosoa, hata hivyo tathmini ya kweli, inapaswa ifanywe na watu wa nje na sio kujitathmini yenyewe.

Chadema Isiwabeze Wanaohama, Ni Haki Yao, Ila Pia Izingatie Hoja Zao, Wana Hoja za Msingi
Kati ya wanachama na viongozi wa Chadema wanaohamia CCM, kuna wengine wanahama kimya kimya bila kusema sababu, kuna wengine wananunuliwa, na kuna wengine na haswa baadhi ya viongozi, wanapohama, wanaandika barua Chadema na kuaga kwa kutoa sababu, ziwe ni sababu za kweli au ni visingizio tuu, lakini kuna kitu wanasema, na wengine hawasemi chochote kuhusu Chadema lakini siku wanapokelewa CCM, Chadema, japo ni kweli wengi kinachowahamisha Chadema ni njaa zao tuu, na wanakwenda CCM kufukuzia fursa, lakini kuna baadhi, wana hoja za msingi sana, hivyo Chadema inatakiwa kutozipuuza hoja zao, isisikilize na kujitathmini kuhusu ukweli wa hoja hizo.

Chadema Ina Matatizo From Top to Bottom, Left, Right and Center.
Mimi ni miongoni mwa wakosoaji wakubwa wa Chadema humu jf, kama nilivyo mkosoaji mkubwa wa CUF, CCM na rais Magufuli, lakini uzuri wangu, kwenye kila ukosoaji, huwa ninaweka na ushauri wa nini cha kufanyika. Kwa vile tumeisha yazungumza sana matatizo ya Chadema huko nyuma, hivyo wenye kutaka kuyajua matatizo ya Chadema, naombeni mkazisome hizi links
  1. Kwanza niliizungumzia jinsi CCM ilivyochokwa, na kuishauri Chadema itake advantage ya kuchokwa kwa CCM, lakini tatizo kubwa la Chadema ni jinsi ambavyo haijajipanga, hapa nikaishauri Chadema ijipange vipi, ili kuingia ikulu. CCM Imechokwa, CHADEMA Haijajipanga! | Page 3 | JamiiForums | The ...CHADEMA Hamkujipanga, hamjajipanga, hamjipangi na hamtajipanga ...
  2. Nguvu za Vyama vya siasa Tanzania ni territorial, Chadema ina nguvu Kanda ya Kaskazini, na maeneo ambayo literacy levels ziko juu kutokana na uwezo wa kusomesha watu watu na kuelimiaka kufuatia maeneo hayo kuwa na hali ya ehueni kiuchumi, kama katika majiji, Arusha, Mwanza, Mbeya, Iringa, Tanga etc, wakati CCM ni maeneo yanye low literacy levels na maeneo yenye umasikini uliotopea. Kati ya maeneo yenye the Elites na yenye ignorance, na object poverty, ignorants na masikiti wa kutupwa ni wengi kuliko the elites, The Determinant ya urais wa Tanzania ni Kanda ya Ziwa, hivyo nikawashauri Chadema Mtazamo: Kanda ya Kaskazini, CCM imechokwa mpaka basi ...
  3. Chadema ina tatizo la kutofuata katiba yake na kutowatendea haki wanachama wake, ili Chadema kujionyesha ni chama cha haki, nikawashauri Wito: CHADEMA Watendeeni Haki Wanachama Wenu Ili Kuwatendea Haki ...Uamuzi wa CHADEMA dhidi ya madiwani: "A Big Mistake!" | FikraPevuUshauri wa Bure kwa CHADEMA: Heri Nusu Shari Kuliko Shari Kamili ...
  4. Chadema ina tatizo la udikiteta na kubadili katiba yake kinyemela kukinyofoa kipengele cha ukomo wa madaraka, ili kujenga kujenga viongozi miungu watu, hili niliwashauri hapa CHADEMA Ikipewa Nchi, October 2015, Hakuna Hatari Kugeuka Utawala ...Tuhuma Hii: CHADEMA Kuendeshwa Kwa Katiba "Fake" Ikithibitishwa ...
  5. Udhaifu wa Uongozi wa Juu, Chadema ina mtindo wa kuwaaminia sana viongozi wake, hawakai pamoja kama chama na kufikia uamuzi wa pamoja, wanamtindo wa kuwategemea watu mmoja mmoja, ikitokea huyo mtegemewa sio perfect, then Chama chote kinaingizwa chaka.Katiba: CHADEMA mlikosea! Kubalini yaishe, Tusonge mbele! | Page ...
  6. Chadema ni Chama cha kiharakati, wamelivuruga sana Bunge Letu, hivyo nilitoa ushauri huu CHADEMA Wameliharibu Sana Bunge Letu! Hadi Mawaziri Wetu!, Kama ...Mhe. Tundu Lissu, Please Acha Kumsulubu Spika Wetu!, Unammaliza ...Mhe. Tundu Lissu, Please Acha Kumsulubu Spika Wetu!, Unammaliza ...Vurugu za Jana Bungeni: Chanzo ni Mhe. Job Ndugai!- Ni Dikteta ...
  7. Ili Chadema kiweze kuingia ikulu, tulikishauri nini cha kufanya, Kuelekea 2015: CHADEMA Kuchukua Nchi Kwa Kishindo!... Only If ...CHADEMA: Tujadili Utayari wa Kutawala Nchi 2015 | Page 7 ...
  8. Chadema bado ni chama kichanga, hakijakomaa kiasi cha kukabidhiwa nchi, ili Chadema kuonyesha kuwa kimekomaa na kina uwezo, tulitoa ushauri ufuataoCHADEMA: Tujadili Utayari wa Kutawala Nchi 2015 | Page 7 ...Kufuatia Madudu na Maroroso ya CHADEMA, Jee Bado Kuna Imani na ...CHADEMA Chama cha Ajabu Sana!.Kwenda Mahakamani Kwa Non Issue ...
  9. Moja ya udhaifu mkubwa kabisa unaigharimu Chadema dearly, ni kukosa vision, hivyo haina mission wala haina strategies, inakalia cheap politics za siasa za matukio, mfano hata kwa jambo dogo tuu la udikiteta wa Magufuli, Chadema was supposed to do the right thing na sio kuhamasisha maandamano.Ushauri kwa CHADEMA: Japo ni Haki, lakini chondechonde Msiandamane ...Kama Katiba Yetu Ingeruhusu Matokeo ya Urais Kuhojiwa Mahakamani ...Hoja ya Udikiteta wa Magufuli: Tundu Lissu isn't Right. Haupingwi ...
  10. Ili Chadema kiweze kuingia ikulu, lazima kwanza kipange malengo kwa kujua walengwa ni nani wanaoikosesha Chadema kuingia ikulu, wengi walidhani ni CCM, hivyo Chadema inashinda kutwa kucha ikiikosoa CCM, kumbe adui halisi anayoifanya Chadema ishindwe kuingia ikulu sio CCM, CCM imechokwa kitambo, lakini Chadema haijajionyesha kama chama mbadala, ime invest sana kwenye mashambulizi dhidi ya CCM, badala ya kuivest on people na reaching out strategies. Kuelekea 2015: CHADEMA, Don't Miss the Target, Adui Mkubwa sio CCM ...
A Way Forward, Chadema Ifanye Nini.
  1. Kwanza Chadema ijitathmini, is it on the right track?, itambue makosa yake, ikubali makosa, ijirekebishe, isonge mbele.
  2. Ianzishe grassroots recruitment ya wanachama wake waaminifu, isije kujikuta imewakumbatia CCM ndani, Chadema nje hadi ndani ya CC yake, kama ilivyotokea kwa Mwenyekiti wa Bavicha.
  3. Ianzishe headhunting na spotting leadership talents na able people toka kwenye jamii kujiunga Chadema na kujenga kada ya viongozi wake wa kesho, born and breed in Chadema, kwa kuwafanyia grooming, ili kupata wagombea wake wa nafasi mbalimbali za uongozi.
  4. Ipunguze kushobokea makapi kutoka CCM, wana CCM wanaojitoa CCM na kujinga Chadema, wawe wanachama wa kawaida tuu kama wanachadema wengine na sio kupapatikiwa na kupewa uongozi moja kwa moja.
  5. Chadema I invest on people na mass mobilization, na sio ku invest on vitu na mikutano tuu ya hadhara, kupitia social media na kumiliki media yake yenyewe, kutawafikia watu wengi Zaidi kuliko kutegemea mikutano na maandamano.
  6. Chadema irudi ukomo wa uongozi na kuandaa succession plan, by now, wawe na abla people from within kushika nafasi zote za uongozi, kungekuwa na ukomo, by now watu wangejua Mbowe amefikia ukomo wa uwezo wake, hivyo nani watampokea.
  7. CCM ni chama dola, hivyo Chadema isitumie model ya CCM kuitafuta ikulu, iandae model yake yenyewe ya kupata viongozi wake na wagombea wake, mtindo wa the democrats ya US ni mzuri kuanzia kwenye primaries.
  8. Kuondokana na viongozi ving'ang'anizi na miungu watu, maadamtarget ni kuingia ikulu, umeshindwa kuuingiza Chadema ikulu, unapisha wengine wanaendeleza, sio umeshindwa hala unang'ang'ania!.
  9. Kuwafanyia tathmini wabunge wake na kukubalika kwao, na kuwe hakuna haki miliki ya majimbo, mfano 2020, Mdee anatathminiwa amefanya nini Kawe for 10 years, na jee bado anakubalika?, Wanachadema wote wenye uwezo, wawe huru kumchallenge Mdee, akitokea mwanachama mwingine mwenye sifa Zaidi, uwezo Zaidi na kukubalika Zaidi, Mdee anawekwa pembeni, vinginevyo 2020, kuna majimbo kibao Chadema mtayarudisha CCM!.
  10. Chadema kionyeshe ukomavu na kuwa ni chama mbadala kwa kuachana na cheap politics ya siasa za matukio, na kujikita kwenye real politics ya kushindanisha sera, kuibomoa CCM kwa hoja na sio siasa za matukio, mfano mwaka 2020, Magufuli anaingia ulingoni akiwa na elimu bure, ndege za ATCL zinapaa dunia nzima, flyovers, reli ya SGR, na Tanzania ya viwanda. Chadema lazima waje na sera mbadala kuonyesha jinsi ATCL, flyovers na SGR zilivyowatia umasikini Tanzania, kama fedha hizo zingewekezwa kwenye sekta ya kilimo nini kingepatikana, bila kuinua sekta ya kilimo, hiyo Tanzania ni Tanzania ya viwanda gani vinavyotumia malighafi gani?. Ijikite kwenye hoja kama hizi Kupata Maendeleo ya Kweli, Tanzania Inahitaji Systems Not Dramas ...
Ni hayo kwa uchache, nikikumbuka mengine nitayaongeza.

Paskali
Msingi wa Chadema ulijengwa katika ukanda na ukabila kama ambavyo msingi wa Cuf ulivyojengwa katika udini na Upemba kwa maana hiyo vyama hivi lazima vitajimaliza vyenyewe na kamwe wasiisingizie CCM!!
 
Kaka Pascal Mayalla, nakubaliana na hoja yako. Lakini, ugonjwa mkubwa uliobaki na kuwasumbua CHADEMA ni kuwepo kwa Lowassa na kundi lake. Kundi la Lowassa likiondoka kwa kuhamia chama kingine au kuanzisha chama chao, CHADEMA itarejea kwenye njia yake. Hakika, uwepo wa Lowassa na kundi lake ni jambo gumu sana kwa CHADEMA kwakuwa inakuwa na muda mwingi wa kujibu tuhuma kuliko kujijenga.
 
You're an advocate and would like you to answer this.

1. Lowassa na kundi lake wamekoea/ wanataizo gani kwa umma wa watanzania?

2. Lowassa na kundi lake wanatatizo/ubaya gani kuwepo CdM?
 
Wanabodi,

Declaration of Interest.
Mimi sio mwanachama wa chama chochote cha siasa, hivyo ni kawaida, ukifanya ukosoaji wowote kuihusu Chadema humu jf, utanyooshewa vidole kuwa wewe ni CCM. Nafanya ukosoaji wangu constructively, truthfully with objectivity, impartiality and balancing, hivyo nawashauri Chadema, wawe tayari kupokea na kuuzingatia ushauri wowote, hata kama ushauri huo unatoka kwa kichaa au kwa shetani, ili kujitafakari na kujitathinini, kama inajidhania imesimama, na uiangalie isianguke. CHADEMA msipuuzie ushauri hata kama ni kutoka kwa shetani!, S ...

Utangulizi
Hili ni bandiko la ushauri wa bure kwa Chadema, na unatolewa na mtazamaji wa muda mrefu wa mchezo wa siasa nchini Tanzania, ambaye ameangalia tangu uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi nchini Tanzania, uchaguzi wa jimbo la Kwahani, 1994, uchaguzi mkuu wa 1995, 2000, 2005, 2010, na 2015. Ushauri wenyewe ni kuhusu hii hama hama ya wanachama na viongozi wa Chadema kuhamia CCM. Naishauri Chadema Wajitafakari!, Wasiwabeze Wanaohama Kama Wafanyavyo CCM, Wanaohama Chadema, Wana Hoja za Msingi, Chadema Wanadhani Adui Yao Mkuu Anaowanya Kushindwa Kwenda Ikulu ni CCM, Kiukweli Adui Mkuu wa Chadema Sio CCM, Nitawatajia Adui Mkuu wa Chadema, na Mwisho Nitawapa Ushauri Chadema Wafanye Nini, Waweze Kuingia Ikulu 2025 Magufuli atakapomaliza and only if Magufuli atamaliza 2025!, kwa sababu haya ninayoshauri, kwa uchaguzi wa 2020, saa hizi tayari ni too little too late, na Magufuli ni just too powerful kiasi kwanza hakutakuwa na uchaguzi wa rais 2020, uchaguzi wa rais wa 2020 utakuwa ni igizo tuu la uchaguzi, lakini mshindi tayari ni Magufuli, hivyo wote watakaompinga Magufuli 2020, itakuwa ni kujifurahisha tuu, hivyo Chadema Watake Wasitake, Lazima Wabadilike, Vinginevyo...its the end of the road kwa Chadema, tunarudi kwenye nchi ya Chama Kimoja.

Why Chadema?
Tanzania japo tuna vyama vya siasa zaidi ya 22, lakini vyama vikubwa ni CCM, Chadema na CUF, by now CUF is already a gone case, hivyo tunapozungumzia upinzani Tanzania, tunazungumzia Chadema. Kifo cha CUF hichoo... chaja! Upinzani kubaki CHADEMA pekee ...

Justification ya Kuikosoa Chadema kwa Mtu Ambaye Sii Mwanachama.
Mashabiki na manazi wa Chadema humu jukwaani, ukifanya ukosoaji wa Chadema, au kutoa ushauri wowote kuhusu Chadema, watakubeza unashauri kama nani?. Kwa sababu Chadema ni public party paid by taxpayers money, then the taxpayers have the right to know the conduct of their tax, hivyo Watanzania wote wana right kujua mambo yote ya Chadema, public na private, ni haki yao kwa sababu kinaendeshwa kwa kodi zao!.

Kwanini Uishauri Chadema, Kwa Wao Wenyewe Hawajioni na Kujishauri?.
Ushauri huu nautoa kwa dhana kuwa Viongozi wa Chadema, wanachama wao, wafuasi wao, washabiki wao na manazi wa Chadema humu jf, wote ni pro Chadema, wako ndani ya box la Chadema, hivyo wanaweza wasiwe na uwezo wa kuona nje ya box, soso tulioko nje ya box ambao ni watazamaji, tunaweza kuwa tunaiona Chadema vizuri Zaidi kwa nje, kuliko waliomo ndani ya chama, lakini pia kuna walioko ndani, wanayaona madhaifu na mapungufu ya Chadema from within, lakini kwa vile wamo, wanakosa objectivity ya kujiambia, kujitathinini na kujikosoa, hata hivyo tathmini ya kweli, inapaswa ifanywe na watu wa nje na sio kujitathmini yenyewe.

Chadema Isiwabeze Wanaohama, Ni Haki Yao, Ila Pia Izingatie Hoja Zao, Wana Hoja za Msingi
Kati ya wanachama na viongozi wa Chadema wanaohamia CCM, kuna wengine wanahama kimya kimya bila kusema sababu, kuna wengine wananunuliwa, na kuna wengine na haswa baadhi ya viongozi, wanapohama, wanaandika barua Chadema na kuaga kwa kutoa sababu, ziwe ni sababu za kweli au ni visingizio tuu, lakini kuna kitu wanasema, na wengine hawasemi chochote kuhusu Chadema lakini siku wanapokelewa CCM, Chadema, japo ni kweli wengi kinachowahamisha Chadema ni njaa zao tuu, na wanakwenda CCM kufukuzia fursa, lakini kuna baadhi, wana hoja za msingi sana, hivyo Chadema inatakiwa kutozipuuza hoja zao, isisikilize na kujitathmini kuhusu ukweli wa hoja hizo.
A Way Forward, Chadema Ifanye Nini.

  1. Kwanza Chadema ijitathmini, is it on the right track?, itambue makosa yake, ikubali makosa, ijirekebishe, isonge mbele.
  2. Ianzishe grassroots recruitment ya wanachama wake waaminifu, isije kujikuta imewakumbatia CCM ndani, Chadema nje hadi ndani ya CC yake, kama ilivyotokea kwa Mwenyekiti wa Bavicha.
  3. Ianzishe headhunting na spotting leadership talents na able people toka kwenye jamii kujiunga Chadema na kujenga kada ya viongozi wake wa kesho, born and breed in Chadema, kwa kuwafanyia grooming, ili kupata wagombea wake wa nafasi mbalimbali za uongozi.
  4. Ipunguze kushobokea makapi kutoka CCM, wana CCM wanaojitoa CCM na kujinga Chadema, wawe wanachama wa kawaida tuu kama wanachadema wengine na sio kupapatikiwa na kupewa uongozi moja kwa moja.
  5. Chadema I invest on people na mass mobilization, na sio ku invest on vitu na mikutano tuu ya hadhara, kupitia social media na kumiliki media yake yenyewe, kutawafikia watu wengi Zaidi kuliko kutegemea mikutano na maandamano.
  6. Chadema irudi ukomo wa uongozi na kuandaa succession plan, by now, wawe na abla people from within kushika nafasi zote za uongozi, kungekuwa na ukomo, by now watu wangejua Mbowe amefikia ukomo wa uwezo wake, hivyo nani watampokea.
  7. CCM ni chama dola, hivyo Chadema isitumie model ya CCM kuitafuta ikulu, iandae model yake yenyewe ya kupata viongozi wake na wagombea wake, mtindo wa the democrats ya US ni mzuri kuanzia kwenye primaries.
  8. Kuondokana na viongozi ving'ang'anizi na miungu watu, maadamtarget ni kuingia ikulu, umeshindwa kuuingiza Chadema ikulu, unapisha wengine wanaendeleza, sio umeshindwa hala unang'ang'ania!.
  9. Kuwafanyia tathmini wabunge wake na kukubalika kwao, na kuwe hakuna haki miliki ya majimbo, mfano 2020, Mdee anatathminiwa amefanya nini Kawe for 10 years, na jee bado anakubalika?, Wanachadema wote wenye uwezo, wawe huru kumchallenge Mdee, akitokea mwanachama mwingine mwenye sifa Zaidi, uwezo Zaidi na kukubalika Zaidi, Mdee anawekwa pembeni, vinginevyo 2020, kuna majimbo kibao Chadema mtayarudisha CCM!.
  10. Chadema kionyeshe ukomavu na kuwa ni chama mbadala kwa kuachana na cheap politics ya siasa za matukio, na kujikita kwenye real politics ya kushindanisha sera, kuibomoa CCM kwa hoja na sio siasa za matukio, mfano mwaka 2020, Magufuli anaingia ulingoni akiwa na elimu bure, ndege za ATCL zinapaa dunia nzima, flyovers, reli ya SGR, na Tanzania ya viwanda. Chadema lazima waje na sera mbadala kuonyesha jinsi ATCL, flyovers na SGR zilivyowatia umasikini Tanzania, kama fedha hizo zingewekezwa kwenye sekta ya kilimo nini kingepatikana, bila kuinua sekta ya kilimo, hiyo Tanzania ni Tanzania ya viwanda gani vinavyotumia malighafi gani?. Ijikite kwenye hoja kama hizi Kupata Maendeleo ya Kweli, Tanzania Inahitaji Systems Not Dramas ...
Ni hayo kwa uchache, nikikumbuka mengine nitayaongeza.

Paskali
Umekosea mayalla adui mkuu wa upinzani ni FISIEM[emoji196] Hawa wengine ni wamekumbwa na mifadhaiko hawawezi na hawatoweza kuiyumbisha cdm. Kaondoka kigogo slaa je umekionaje chama kimeyumba?

Chama hakiwezi kuendelea kwa kununua wanachama ona fisiem wanavohangaika kaondoka Nyalandu tazama idadi ya wanaowarubuni imefikia ngapiii... ukipata jibu hapo ndo ujue Nyalandu ananguvu ya idadi hiyo wanayonunua mpaka ifikie idadi YA MAUMIVU YA KUKIMBIWA na MH. NYALANDU nnaimani NYALANDU atakuwa mbali na hawatomfikia.

watambue kuwa kila kichwa watakachofika bei ndio sawa na gharama ya kumrudisha NYALANDU kama fisiem watammaind.[emoji196]
 
You're an advocate and would like you to answer this.

Lowassa na kundi lake wamekoea/ wanataizo gani kwa umma wa watanzania?

Lowassa na kundi lake wanatatizo gani kuwepo CdM?
Tatizo kubwa ni kuwafunga mdomo CHADEMA kuzungumzia na kukemea ufisadi. Sasa CCM inajifanya ndiyo inayopambana na ufisadi kutokana na CHADEMA kuzibwa mdomo.
 
Leo kwa hii way foward nimekuunga miguu na mikono mheshimiwa!!Hapa unafiki tuache umesema ukweli tupu. Mnyonge tumnyonge ila haki yake tumpe. Pascal sometimes unakuwaga hueleweki ila kwa leo hapo way foward hakuna ulichobakiza na kama viongozi wa CDM wako huku wakiifanya hii ndio blue print yao ikulu wanaiona mapema ila wakishupaza shingo kama wamekula dawa ya kuharisha ndio wataendelea kupiga kelele kama kasuku na kuiona ikulu kwenye picha.
 
You're an advocate and would like you to answer this.

1. Lowassa na kundi lake wamekoea/ wanataizo gani kwa umma wa watanzania?

2. Lowassa na kundi lake wanatatizo/ubaya gani kuwepo CdM?
Lowasa na kundi lake ni mafisadi kulingana na list of shame iliyo tolewa na chadema na sasa wanaona aibu kukemea ufisadi.....
 
Umekosea mayalla adui mkuu wa upinzani ni FISIEM[emoji196] Hawa wengine ni wamekumbwa na mifadhaiko hawawezi na hawatoweza kuiyumbisha cdm. Kaondoka kigogo slaa je umekionaje chama kimeyumba?
Chama hakiwezi kuendelea kwa kununua wanachama ona fisiem wanavohangaika kaondoka Nyalandu tazama idadi ya wanaowarubuni imefikia ngapiii... ukipata jibu hapo ndo ujue Nyalandu ananguvu ya idadi hiyo wanayonunua[emoji196]
Nyalandu sidhani kama ana impact sana kwa chadema kama idhaniwavyo
 
CCM wamefanikiwa kutengeneza wapinzani from within ili kupunguza nguvu ya upinzani wa nje ambao ni uncontrollable ....wanazi wa Chadema wanapenda kushangilia kila mwenye hoja kinyume na serikali na kuwapa umaarufu wa bure badala ya kujua hoja ni ipi na msimamo wa chama ni upi ili upande wowote hata kama ni serikali wakiwa na hoja ambayo ni agenda yao wanaungana nao ....haiwezekani mkawa mnapinga agenda zote za serikali ....ipo siku nchi itavamiwa na mtaipinga serikali kutuma jeshi dhidi ya wavamizi ...
 
We jamaa unaakili sana

Wanabodi,

Declaration of Interest.
Mimi sio mwanachama wa chama chochote cha siasa, hivyo ni kawaida, ukifanya ukosoaji wowote kuihusu Chadema humu jf, utanyooshewa vidole kuwa wewe ni CCM. Nafanya ukosoaji wangu constructively, truthfully with objectivity, impartiality and balancing, hivyo nawashauri Chadema, wawe tayari kupokea na kuuzingatia ushauri wowote, hata kama ushauri huo unatoka kwa kichaa au kwa shetani, ili kujitafakari na kujitathinini, kama inajidhania imesimama, na uiangalie isianguke. CHADEMA msipuuzie ushauri hata kama ni kutoka kwa shetani!, S ...

Utangulizi
Hili ni bandiko la ushauri wa bure kwa Chadema, na unatolewa na mtazamaji wa muda mrefu wa mchezo wa siasa nchini Tanzania, ambaye ameangalia tangu uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi nchini Tanzania, uchaguzi wa jimbo la Kwahani, 1994, uchaguzi mkuu wa 1995, 2000, 2005, 2010, na 2015. Ushauri wenyewe ni kuhusu hii hama hama ya wanachama na viongozi wa Chadema kuhamia CCM. Naishauri Chadema Wajitafakari!, Wasiwabeze Wanaohama Kama Wafanyavyo CCM, Wanaohama Chadema, Wana Hoja za Msingi, Chadema Wanadhani Adui Yao Mkuu Anaowanya Kushindwa Kwenda Ikulu ni CCM, Kiukweli Adui Mkuu wa Chadema Sio CCM, Nitawatajia Adui Mkuu wa Chadema, na Mwisho Nitawapa Ushauri Chadema Wafanye Nini, Waweze Kuingia Ikulu 2025 Magufuli atakapomaliza and only if Magufuli atamaliza 2025!, kwa sababu haya ninayoshauri, kwa uchaguzi wa 2020, saa hizi tayari ni too little too late, na Magufuli ni just too powerful kiasi kwanza hakutakuwa na uchaguzi wa rais 2020, uchaguzi wa rais wa 2020 utakuwa ni igizo tuu la uchaguzi, lakini mshindi tayari ni Magufuli, hivyo wote watakaompinga Magufuli 2020, itakuwa ni kujifurahisha tuu, hivyo Chadema Watake Wasitake, Lazima Wabadilike, Vinginevyo...its the end of the road kwa Chadema, tunarudi kwenye nchi ya Chama Kimoja.

Why Chadema?
Tanzania japo tuna vyama vya siasa zaidi ya 22, lakini vyama vikubwa ni CCM, Chadema na CUF, by now CUF is already a gone case, hivyo tunapozungumzia upinzani Tanzania, tunazungumzia Chadema. Kifo cha CUF hichoo... chaja! Upinzani kubaki CHADEMA pekee ...

Justification ya Kuikosoa Chadema kwa Mtu Ambaye Sii Mwanachama.
Mashabiki na manazi wa Chadema humu jukwaani, ukifanya ukosoaji wa Chadema, au kutoa ushauri wowote kuhusu Chadema, watakubeza unashauri kama nani?. Kwa sababu Chadema ni public party paid by taxpayers money, then the taxpayers have the right to know the conduct of their tax, hivyo Watanzania wote wana right kujua mambo yote ya Chadema, public na private, ni haki yao kwa sababu kinaendeshwa kwa kodi zao!.

Kwanini Uishauri Chadema, Kwa Wao Wenyewe Hawajioni na Kujishauri?.
Ushauri huu nautoa kwa dhana kuwa Viongozi wa Chadema, wanachama wao, wafuasi wao, washabiki wao na manazi wa Chadema humu jf, wote ni pro Chadema, wako ndani ya box la Chadema, hivyo wanaweza wasiwe na uwezo wa kuona nje ya box, soso tulioko nje ya box ambao ni watazamaji, tunaweza kuwa tunaiona Chadema vizuri Zaidi kwa nje, kuliko waliomo ndani ya chama, lakini pia kuna walioko ndani, wanayaona madhaifu na mapungufu ya Chadema from within, lakini kwa vile wamo, wanakosa objectivity ya kujiambia, kujitathinini na kujikosoa, hata hivyo tathmini ya kweli, inapaswa ifanywe na watu wa nje na sio kujitathmini yenyewe.

Chadema Isiwabeze Wanaohama, Ni Haki Yao, Ila Pia Izingatie Hoja Zao, Wana Hoja za Msingi
Kati ya wanachama na viongozi wa Chadema wanaohamia CCM, kuna wengine wanahama kimya kimya bila kusema sababu, kuna wengine wananunuliwa, na kuna wengine na haswa baadhi ya viongozi, wanapohama, wanaandika barua Chadema na kuaga kwa kutoa sababu, ziwe ni sababu za kweli au ni visingizio tuu, lakini kuna kitu wanasema, na wengine hawasemi chochote kuhusu Chadema lakini siku wanapokelewa CCM, Chadema, japo ni kweli wengi kinachowahamisha Chadema ni njaa zao tuu, na wanakwenda CCM kufukuzia fursa, lakini kuna baadhi, wana hoja za msingi sana, hivyo Chadema inatakiwa kutozipuuza hoja zao, isisikilize na kujitathmini kuhusu ukweli wa hoja hizo.

A Way Forward, Chadema Ifanye Nini.

  1. Kwanza Chadema ijitathmini, is it on the right track?, itambue makosa yake, ikubali makosa, ijirekebishe, isonge mbele.
  2. Ianzishe grassroots recruitment ya wanachama wake waaminifu, isije kujikuta imewakumbatia CCM ndani, Chadema nje hadi ndani ya CC yake, kama ilivyotokea kwa Mwenyekiti wa Bavicha.
  3. Ianzishe headhunting na spotting leadership talents na able people toka kwenye jamii kujiunga Chadema na kujenga kada ya viongozi wake wa kesho, born and breed in Chadema, kwa kuwafanyia grooming, ili kupata wagombea wake wa nafasi mbalimbali za uongozi.
  4. Ipunguze kushobokea makapi kutoka CCM, wana CCM wanaojitoa CCM na kujinga Chadema, wawe wanachama wa kawaida tuu kama wanachadema wengine na sio kupapatikiwa na kupewa uongozi moja kwa moja.
  5. Chadema I invest on people na mass mobilization, na sio ku invest on vitu na mikutano tuu ya hadhara, kupitia social media na kumiliki media yake yenyewe, kutawafikia watu wengi Zaidi kuliko kutegemea mikutano na maandamano.
  6. Chadema irudi ukomo wa uongozi na kuandaa succession plan, by now, wawe na abla people from within kushika nafasi zote za uongozi, kungekuwa na ukomo, by now watu wangejua Mbowe amefikia ukomo wa uwezo wake, hivyo nani watampokea.
  7. CCM ni chama dola, hivyo Chadema isitumie model ya CCM kuitafuta ikulu, iandae model yake yenyewe ya kupata viongozi wake na wagombea wake, mtindo wa the democrats ya US ni mzuri kuanzia kwenye primaries.
  8. Kuondokana na viongozi ving'ang'anizi na miungu watu, maadamtarget ni kuingia ikulu, umeshindwa kuuingiza Chadema ikulu, unapisha wengine wanaendeleza, sio umeshindwa hala unang'ang'ania!.
  9. Kuwafanyia tathmini wabunge wake na kukubalika kwao, na kuwe hakuna haki miliki ya majimbo, mfano 2020, Mdee anatathminiwa amefanya nini Kawe for 10 years, na jee bado anakubalika?, Wanachadema wote wenye uwezo, wawe huru kumchallenge Mdee, akitokea mwanachama mwingine mwenye sifa Zaidi, uwezo Zaidi na kukubalika Zaidi, Mdee anawekwa pembeni, vinginevyo 2020, kuna majimbo kibao Chadema mtayarudisha CCM!.
  10. Chadema kionyeshe ukomavu na kuwa ni chama mbadala kwa kuachana na cheap politics ya siasa za matukio, na kujikita kwenye real politics ya kushindanisha sera, kuibomoa CCM kwa hoja na sio siasa za matukio, mfano mwaka 2020, Magufuli anaingia ulingoni akiwa na elimu bure, ndege za ATCL zinapaa dunia nzima, flyovers, reli ya SGR, na Tanzania ya viwanda. Chadema lazima waje na sera mbadala kuonyesha jinsi ATCL, flyovers na SGR zilivyowatia umasikini Tanzania, kama fedha hizo zingewekezwa kwenye sekta ya kilimo nini kingepatikana, bila kuinua sekta ya kilimo, hiyo Tanzania ni Tanzania ya viwanda gani vinavyotumia malighafi gani?. Ijikite kwenye hoja kama hizi Kupata Maendeleo ya Kweli, Tanzania Inahitaji Systems Not Dramas ...
Ni hayo kwa uchache, nikikumbuka mengine nitayaongeza.

Paskali
 
Ipunguze kushobokea makapi kutoka CCM, wana CCM wanaojitoa CCM na kujinga Chadema, wawe wanachama wa kawaida tuu kama wanachadema wengine na sio kupapatikiwa na kupewa uongozi moja kwa moja.
Salute Comrade, Pasco.

Tunaosoma between lines wataelewa ulichokiandika. Ujue adui siyo lazima awe mtu mwenye mtutu wa bunduki?. Ujinga ni adui, Maradhi ni adui, Umaskini ni adui..

Kosa kubwa walilofanya CHADEMA ni hiki ulichokiita katika No-4, "kushobokea makapi kutoka CCM" (by street definition). That was a huge mistake..Whether you agree or dis agree.

Ukitaka kujua unakokwenda, angaza kwanza ulikotoka ndipo utang'amua ulipo, na labda kwanini upo hapo. Kisha utapata mwanga wa unakokwenda- Mama Theresa.

CHADEMA ijue inakokwenda, iangaze ilikotoka ndipo ing'amue ilipo, na labda kwanini ipo ilipo. Kisha itapata mwangaza wa inakokwenda. Hizi ni Hesabu, Ni sharti CHADEMA ikae chini na kuja na Majibu fikirishi.

CHADEMA iache vibatari vikiwaka. Tumelishauri jua lisitoke mpake pale CHADEMA itakaporudi kwa wenyewe.

Uhuru Ni Fikra.
 
Lowasa na kundi lake ni mafisadi kulingana na list of shame iliyo tolewa na chadema na sasa wanaona aibu kukemea ufisadi.....
OK. Tuanzie hapo sasa.

Lowassa na kundi lake ni mafisadi ndio.

Lakini juzi mmezindua mahakama za mafisadi, kwanini msikamate na kuwapeleka huko ili wafungwe badala take mnakesha mitandaoni kuimba hili pambio?

Je, huko ccm akina ngeleja, Change, Kinana ni wasafi kiasi gani hadi mnamuona EL pekee?
 
Flyover Dar, Uwanja chato, Mambo yote Dar na Chato, mmmh labda akijenga flyover Tunduru, kondoa au Nanjilinji atawashawishi, Wale wa vijijini waliokuwa wanatumiwa pesa na ndugu mjini sasa huko vijijini hawana kitu hata mbolea watu wa mjini hawatumi pesa, Deal zimekata
 
Back
Top Bottom