CHADEMA mjitafakari msiwabeze wahamaji, wana hoja za msingi. Adui wenu mkuu sio CCM! Lazima mbadilike

CHADEMA mjitafakari msiwabeze wahamaji, wana hoja za msingi. Adui wenu mkuu sio CCM! Lazima mbadilike

Naendelea kusisitiza, adui mkubwa wa Chadema sio CCM.
P
we si ulijitoa JF?
 
Naendelea kusisitiza, adui mkubwa wa Chadema sio CCM.
P
chadema wanaamini adui yao ni cuf, act na nccr ndio maana hata kuzungumza na rais wanataka waende kama wao wenyewe.
Kama wangeunganisha nguvu na vyama vingine ingekuwa rahisi kueleweka na wananchhi na ccm wanautumia vizuri huo mwanya
 
Wanabodi,

Chadema Isiwabeze Wanaohama, Ni Haki Yao, Ila Pia Izingatie Hoja Zao, Wengine Wana Hoja za Msingi
Kati ya wanachama na viongozi wa Chadema wanaohamia CCM, kuna wengine wanahama kimya kimya bila kusema sababu, kuna wengine wananunuliwa kwa kuhongwa rushwa ya ahadi ya kusimamishwa wao, na kuna wengine na haswa baadhi ya viongozi, wanapohama, wanaandika barua rasmi kwa uongozi wa Chadema na kuaga rasmi kwa kutoa sababu, ziwe ni sababu za kweli au ni visingizio tuu, lakini kuna kitu wanasema, na wengine hawasemi chochote kuhusu Chadema lakini siku wanapokelewa CCM, ndipo wanasema hili au lile kuhusu madhaifu ya Chadema, japo ni kweli wengi wa wahamaji hawa, kinachowahamisha Chadema ni njaa zao tuu, na wanakwenda CCM kufukuzia fursa, lakini kuna baadhi, wana hoja za msingi sana, hivyo Chadema inatakiwa kutozipuuza hoja zao, izisikilize, kuzipima na kujitathmini kuhusu ukweli wa hoja hizo.
Paskali
Hata Mchungaji Msigwa, asibezwe!.
P
 
Chadema hawawezi kubadilika kamwe labda kama Mbowe ataondoka kwenye hicho chama. Laa sivyo chadema inaendelea kuwa saccos ya Mbowe kama ambavyo mchungaji Msigwa alivyosema leo.
 
Kaka Pascal Mayalla, nakubaliana na hoja yako. Lakini, ugonjwa mkubwa uliobaki na kuwasumbua CHADEMA ni kuwepo kwa Lowassa na kundi lake. Kundi la Lowassa likiondoka kwa kuhamia chama kingine au kuanzisha chama chao, CHADEMA itarejea kwenye njia yake. Hakika, uwepo wa Lowassa na kundi lake ni jambo gumu sana kwa CHADEMA kwakuwa inakuwa na muda mwingi wa kujibu tuhuma kuliko kujijenga.
Bahati mbaya Lowassa tumeshampumzisha mzee wa watu, na Msigwa kajivua jezi bado mambo ni bila bila.
 
Chadema hawawezi kubadilika kamwe labda kama Mbowe ataondoka kwenye hicho chama. Laa sivyo chadema inaendelea kuwa saccos ya Mbowe kama ambavyo mchungaji Msigwa alivyosema leo.
Sasa mtu anapewa rushwa ,ananunuliwa kuhamia CCM halafu unamuona yuko sawa halafu anakotoka ndio kubaya? Yani mla rushwa unamuamini zaidi ya wale waliokataa rushwa?
 
Screenshot_20240630-235245.png
 
Hata Mchungaji Msigwa, asibezwe!.
P
Naunga mkono hoja maamuzi yake yaheshimiwe ni mtu mzima!
 
Back
Top Bottom