CHADEMA mjitafakari msiwabeze wahamaji, wana hoja za msingi. Adui wenu mkuu sio CCM! Lazima mbadilike

Naendelea kusisitiza, adui mkubwa wa Chadema sio CCM.
P
we si ulijitoa JF?
 
Naendelea kusisitiza, adui mkubwa wa Chadema sio CCM.
P
chadema wanaamini adui yao ni cuf, act na nccr ndio maana hata kuzungumza na rais wanataka waende kama wao wenyewe.
Kama wangeunganisha nguvu na vyama vingine ingekuwa rahisi kueleweka na wananchhi na ccm wanautumia vizuri huo mwanya
 
Hata Mchungaji Msigwa, asibezwe!.
P
 
Chadema hawawezi kubadilika kamwe labda kama Mbowe ataondoka kwenye hicho chama. Laa sivyo chadema inaendelea kuwa saccos ya Mbowe kama ambavyo mchungaji Msigwa alivyosema leo.
 
Bahati mbaya Lowassa tumeshampumzisha mzee wa watu, na Msigwa kajivua jezi bado mambo ni bila bila.
 
Chadema hawawezi kubadilika kamwe labda kama Mbowe ataondoka kwenye hicho chama. Laa sivyo chadema inaendelea kuwa saccos ya Mbowe kama ambavyo mchungaji Msigwa alivyosema leo.
Sasa mtu anapewa rushwa ,ananunuliwa kuhamia CCM halafu unamuona yuko sawa halafu anakotoka ndio kubaya? Yani mla rushwa unamuamini zaidi ya wale waliokataa rushwa?
 
Naunga mkono hoja maamuzi yake yaheshimiwe ni mtu mzima!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…