CHADEMA mkajipange vizuri, vinginevyo hiki kilichofeli pakubwa leo kitajirudia tu tena

CHADEMA mkajipange vizuri, vinginevyo hiki kilichofeli pakubwa leo kitajirudia tu tena

sina hakika mpaka sasa.
watakua wameingiwa baridi kidogo.

unadhani nao wanapenda kujikosesha kazi kwa fedheha?
Ni aibu kwa mwanadiplomasia kama balozi kurejesha nyumbani kwa kukiuka ustaarabu na sheria za kimataifa šŸ’

Bila shaka Unajua kumeshanyooshwa vidole kwa wana izaya.

Si beberu huwa hakopeshi?
 
Mbowe alikwenda kwenye maandamano, hao wanachama na watanzania waliokuwa wanaunga mkono walikuwa wapi? Acha watekwe mpaka wazinduke wenyewe.
Ungekua Dar ungewaona. Walikua na LC pick up, bunduki za kivita na sare za chadema yaani khaki inayoelekea kijani.
Walikua kila mahali kuanzia Mbezi, Kimara, posta ndio usiseme.
 
Ungekua Dar ungewaona. Walikua na LC pick up, bunduki za kivita na sare za chadema yaani khaki inayoelekea kijani.
Walikua kila mahali kuanzia Mbezi, Kimara, posta ndio usiseme.
hizo ndizo nguvu na gharama za kulinda umoja, amani na utulivu wa wanainchi Tanzania. Hakuna mzaha hata sekunde moja, usithubutu kuvuruga amani Tanzania tafadhali sana šŸ’
 
Back
Top Bottom