CHADEMA mkajipange vizuri, vinginevyo hiki kilichofeli pakubwa leo kitajirudia tu tena

Ondoeni mapoliccm hayo muone moto

Mnatutisha na mabunduki
Afu mnatucheka mlitaka tufanye vurugu
 
Ondoeni mapoliccm hayo muone moto

Mnatutisha na mabunduki
Afu mnatucheka mlitaka tufanye vurugu
Polisi nchini hawatatoa mguu hata sentimita moja, eti kutoa uhuru kwa wahalifu na makaidi kuhatarisha au kuvuruga umoja, amani na utulivu wa wananchi Tanzania. Hilo kamwee halitatikea nchini Tanzania 🐒

Labda mkajaribu kufanya hivyo nchi zinazo intertain wahalifu but not Tz.

Kwamba eti waondoe Polisi ili waone moto? 🤣🤣
hu si ushirikina sasa 🤣

hakuna anaetishiwa, wala kukenuliwa kwenye suala la kulinda umoja, amani na utulivu wa wananchi Tanzania.
Ni zoezi endelevu lisilo na ukomo.
 
Viongozi wa Chadema sijawaelewa hivi umedhamiria kwenda kwenye maandamano unalalaje nyumbani kwako wakati unajua dola imeandaa askari waje kukukamata? Angalau Mbowe kaonesha ushujaa kuja kukamatwa katika eneo la tukio.

Ilitakiwa vijana wa Bavicha wawepo kuzuia mwenyekiti wao kukamatwa kindezi namna ile.

Bado wana safari ndefu sana kama wanataka kuung'oa utawala wa CCM
Vijana wa Kitanzania hawawezi zuia hilo mbele ya Polisi, hata wangekuwa Polisi wawili wasingeweza kuzuia Mwenyekiti wao kukamatwa

Labda wangekuwa vijana wa Kenya au Nchi nyingine

Wabongo hawana ujasiri huo
 
eti kama sio government 🤣
Don't try it again at home or at school.

hakuna mzaha, hakuna aibu, wala huruma kwa yeyote atakae jaribu kutikisa au kuhatarisha amani na utulivu wa waTanzania kwa namna yoyote ile. Hatavumiliwa hata sekunde moja

Ni vizuri dunia nzima ikaelewa hilo 🐒
Watu waache kufikiria kutafuta fursa katika sekta ya viwanda inayokua kwa kasi waende kuandamana mitaani kisa matukio yarekodiwe na media za kimataifa na Tanzania ichafuliwe jina na heshima!.

Samia anaifungua nchi katika suala zima la uwekezaji mpana. Kule Mtwara uwekezaji kwenye sekta ya gesi umerahisishwa, wenye akili na ubunifu pamoja na elimu wataendelea kuifaidi keki ya Taifa.
 
Leo mida ya saa tatu nimeona magari kadhaa ya watalii yakitoka mjini kuelekea mbugani, najiuliza wakifika Mbezi wakaona polisi walivyomwagwa pale, wakamuuliza mkuu wao wa msafara, yy atajibu nini?

Maandamano mmeyazima,lkni the public and international image ya muheshimiwa Rais imeharibika beyond repair. Kama mnabisha subiri post-2025
Watu Wanaandamana huko France kumtoa Macron na Mapolisi wametenda hiyo image haikuharibik sembuse 🇹🇿? Wacha ujinga
 
huyo inaonekana ni mshirikina anaongozwa ramli, huenda alikua kwa mganga akirubuniwa kuku mweusi...

ndio maana hajui wala haoni image ya ufaransa, anaona ya Tz tu, ulinzi na usalama wa watu, mali na makazi yao ukiimaarishwa kila kona ya nchi, ila yeye anaona ni uhalifu. Huo si ushirikina kabisa 🐒
 
Vijana wa Kitanzania hawawezi zuia hilo mbele ya Polisi, hata wangekuwa Polisi wawili wasingeweza kuzuia Mwenyekiti wao kukamatwa

Labda wangekuwa vijana wa Kenya au Nchi nyingine

Wabongo hawana ujasiri huo
kujikataa na kujidharau ni kitu mbaya sana dah 🐒
 
Mbona wameandamana.ila polisi ccm wamewakamata.waliofeli polisi ccm ambayo haijui katiba wanachojua nu kuwa mbwa wa watawala
Relax tu gentleman acha mihemko,

ilipaswa uje na hiyo katiba kwenye maandamano ili polisi wakuelekeze vizuri kwa virungu 🐒
 
Kujipiga kifua kote kule, press conference kila siku, kila mara, mmefikia wapi mpaka sasa, na matokeo ya hayo yote ni nini na kiko wapi sasa?

Mnapuuza mipango mikakati, mnaendekeza hisia, mihemko na kutegemea huruma za wanainchi kama dira na uelekeo? Taasisi kubwa kama chadema? No, hamuwezi kutoboa kabisa, never ever.

My friends,
Ni kujipanga tu. Hii ya kutegemea hisia, mihemko au huruma za wanainchi na ushabiki wa kutoka kwenye mitandao ya kijamii, haiwezi kuleta matokeo chanya kwa hapa Tz, lakini pia hali ya ground huku waliko wananchi ni tofauti mno na ilivyo kwenye social medias, ambazo chadema mmepumbazwa nazo mara zote, mkajisahau huko na hamjifunzi tu

Kuna utofauti na upotofu mkubwa sana baina ya ground na kwenye social medias. Go back to your drawing tables. Mkajipange vizuri, vinginevyo, hiki kilichofeli pakubwa leo kitajiridia tu tena.

Dunia na ulimwengu mzima umeshuhudia na kutambua kwamba, Tanzania kuhusu issue ya umoja, amani na utulivu wa wananchi wake, ina totally zero tolerence.

Tanzania iko tayari kutumia nguvu na gharama yoyote ile, tena bila kumuonea huruma, aibu wala haya mtu au nchi yoyote itakayojaribu kuhatarisha usalama wa waTanzania kwa ujumla 🐒

Mungu Ibariki Tanzania.

View: https://x.com/PMadeleka/status/1838151241513492684?t=v1nSsTxUYnYpCxNMihSyOg&s=19
 
Kujipiga kifua kote kule, press conference kila siku, kila mara, mmefikia wapi mpaka sasa, na matokeo ya hayo yote ni nini na kiko wapi sasa?

Mnapuuza ushauri wa kitaalamu na mipango mikakati ya wabobezi katika siasa, mnaendekeza hisia, mihemko na kutegemea huruma za wanainchi kama dira na uelekeo wenu kisiasa? Taasisi kubwa kama chadema? No, hamuwezi kutoboa kabisa, never ever.

My friends,
Ni kujipanga tu. Hii ya kutegemea hisia, mihemko au huruma za wanainchi na ushabiki wa kutoka kwenye mitandao ya kijamii, haiwezi kuleta matokeo chanya kwa hapa Tz, lakini pia hali ya ground huku waliko wananchi ni tofauti mno na ilivyo kwenye social medias, ambazo chadema mmepumbazwa nazo mara zote, mkajisahau huko na hamjifunzi tu

Kuna utofauti na upotofu mkubwa sana baina ya ground na kwenye social medias. Go back to your drawing tables. Mkajipange vizuri, vinginevyo, hiki kilichofeli pakubwa leo kitajiridia tu tena.

Soma Pia: Yanayojiri kwenye Maandamano ya CHADEMA 23/9/2024

Dunia na ulimwengu mzima umeshuhudia na kutambua kwamba, Tanzania kuhusu issue ya umoja, amani na utulivu wa wananchi wake, ina totally zero tolerence.

Tanzania iko tayari kutumia nguvu na gharama yoyote ile, tena bila kumuonea huruma, aibu wala haya mtu au nchi yoyote itakayojaribu kuhatarisha usalama wa waTanzania kwa ujumla 🐒

Mungu Ibariki Tanzania.
Ni aibu kwa Chama .
Wanadhani bado Watz ni wapumbavu
 
Mbowe amekwenda kuandamana amekuta hakuna mtu hata mmoja.Hadi KIkEKE akamuuliza sasa utaandamana na nani wakati watu hawapo? Eti mbowe akasema ataandamana na waandishi wa habari.Nikamshangaa sana anaposema ataandamana na waandishi wa habari utafikiri walimuambia kuwa wanataka kuandamana. Wanachama wake wamemgomea kuandamana halafu anataka waandishi wa habari ndio waandamane.
Sasa kama alikuwa peke yake kwa nini walimshika? Ninaamini message imepelekwa tayari kwani hizo gharama za kudeploy askari wote,bila shaka dunia imeona kinachoendelea.
 
Enzi za yule kauli ya Kimambi tu iliwakusanya polisi nchi nzima Dar.
Juzi Kati kauli ya Mbowe mmeona wenyewe, mpaka polisi wa Kigoma walikua Dar.
Kama huamini kwamba chadema Ni chama kubwa unataka dalili gani?
 
Ni vizuri ukaelewa vyema hapo.,

suala la umoja, amani, na utulivu wa wananchi litalindwa kwa nguvu zote na kwa gharama yoyote ile gentleman,

na wala kwenye hilo hakuna mbambamba yoyote aise dah 🐒
 
Kujipiga kifua kote kule, press conference kila siku, kila mara, mmefikia wapi mpaka sasa, na matokeo ya hayo yote ni nini na kiko wapi sasa?

Mnapuuza ushauri wa kitaalamu na mipango mikakati ya wabobezi katika siasa, mnaendekeza hisia, mihemko na kutegemea huruma za wanainchi kama dira na uelekeo wenu kisiasa? Taasisi kubwa kama chadema? No, hamuwezi kutoboa kabisa, never ever.

My friends,
Ni kujipanga tu. Hii ya kutegemea hisia, mihemko au huruma za wanainchi na ushabiki wa kutoka kwenye mitandao ya kijamii, haiwezi kuleta matokeo chanya kwa hapa Tz, lakini pia hali ya ground huku waliko wananchi ni tofauti mno na ilivyo kwenye social medias, ambazo chadema mmepumbazwa nazo mara zote, mkajisahau huko na hamjifunzi tu

Kuna utofauti na upotofu mkubwa sana baina ya ground na kwenye social medias. Go back to your drawing tables. Mkajipange vizuri, vinginevyo, hiki kilichofeli pakubwa leo kitajiridia tu tena.

Soma Pia: Yanayojiri kwenye Maandamano ya CHADEMA 23/9/2024

Dunia na ulimwengu mzima umeshuhudia na kutambua kwamba, Tanzania kuhusu issue ya umoja, amani na utulivu wa wananchi wake, ina totally zero tolerence.

Tanzania iko tayari kutumia nguvu na gharama yoyote ile, tena bila kumuonea huruma, aibu wala haya mtu au nchi yoyote itakayojaribu kuhatarisha usalama wa waTanzania kwa ujumla 🐒

Mungu Ibariki Tanzania.
Mbowe alikwenda kwenye maandamano, hao wanachama na watanzania waliokuwa wanaunga mkono walikuwa wapi? Acha watekwe mpaka wazinduke wenyewe.
 
Enzi za yule kauli ya Kimambi tu iliwakusanya polisi nchi nzima Dar.
Juzi Kati kauli ya Mbowe mmeona wenyewe, mpaka polisi wa Kigoma walikua Dar.
Kama huamini kwamba chadema Ni chama kubwa unataka dalili gani?
nani anahitaji au anababaika na dalili au kauli zako? suala ni kulinda amani Full stop.

Na issue ya umoja, amani na utulivu wa wananchi Tanzania, litalindwa kwa nguvu zote na kwa gharama yoyote ile gentleman..

hakuna mzaha, hakuna huruma, hakuna aibu wala haya kumchulia hatua kali mno yeyote yule anaekusudia kuhatarisha au kuvuruga usalama wa waTanzani.

Naomba dunia ituelewe hivyo 🐒
 
Polisi wamefanikisha maandamano ya chadema Kwa 100%!

Chadema wamefanikiwa sana!!!

Ni rasmi imeshajulikana kwamba TZ no nchi ya aina gani sasa hivi!!

Lengo lilikua kuonyesha kwamba "kumbe serikali imebariki mauaji yanauoendelea na haitaki yasitishwe Wala kukemea"

Siasa ni sayansi na sisi wanaccm tulipaswa kuiandaa UVCCM iandamane kumshinikiza Rais achukue hatua na kweli angebadili kidogo kwenye Baraza la mawaziri na wakuu wa kipolisi Kanda mbali mbali na kungepoa kama maji mtungini na chadema wangenyuti kama nini!!
 
Back
Top Bottom