CHADEMA mkajipange vizuri, vinginevyo hiki kilichofeli pakubwa leo kitajirudia tu tena

Kina Mshana na Erythrocyte Mabingwa wa kupost Chadema JF ila kuandamana mmeingia mitini mmemuacha Mbowe na Nicole
kama huyo mshana naskia aliwahi kuchezea virungu na makofi ya maana ya polisi huko temeke miaka ya nyuma, sidhani kama atakua na hamu na maandamano tena,

huyo mwingine ni muoga halafu mbishi kichizi, zaidi ya Hamas dhidi ya Israel 🐒
 
Leo mida ya saa tatu nimeona magari kadhaa ya watalii yakitoka mjini kuelekea mbugani, najiuliza wakifika Mbezi wakaona polisi walivyomwagwa pale, wakamuuliza mkuu wao wa msafara, yy atajibu nini?

Maandamano mmeyazima,lkni the public and international image ya muheshimiwa Rais imeharibika beyond repair. Kama mnabisha subiri post-2025
Bilashaka yoyote watalii hao watakua wamefurahi sana, kwakua watakua wameona na kuhakikisha kwamba wako salama sana Tanzania, na kwamba kila eneo Tanzania, wpolisi wametanda kwa doria dhidi ya vibaka na wahalifu mbalimbali..

Lakini pia dunia nzima itakua imefahamu na kuelewa kwamba, Tanzania kwenye suala la kulinda umoja, amani na utulivu wa wananchi wake ni zero tolerance..

Wako radhi kutumia nguvu na kutumia gharama yoyote ile kuhakikisha usalama wa wananchi wake wake ni wa uhakika, dhidi ya vitisho vya kuhatarisha amani vya Kitaifa na kimataifa 🐒
 
Leo mida ya saa tatu nimeona magari kadhaa ya watalii yakitoka mjini kuelekea mbugani, najiuliza wakifika Mbezi wakaona polisi walivyomwagwa pale, wakamuuliza mkuu wao wa msafara, yy atajibu nini?

Maandamano mmeyazima,lkni the public and international image ya muheshimiwa Rais imeharibika beyond repair. Kama mnabisha subiri post-2025
Kichekesho kama hiki hua zinapatikana wap
 
Kwani hakuna balozi yeyote aliyetia neno?
sina hakika mpaka sasa.
watakua wameingiwa baridi kidogo.

unadhani nao wanapenda kujikosesha kazi kwa fedheha?
Ni aibu kwa mwanadiplomasia kama balozi kurejesha nyumbani kwa kukiuka ustaarabu na sheria za kimataifa 🐒
 
Viongozi wa Chadema sijawaelewa hivi umedhamiria kwenda kwenye maandamano unalalaje nyumbani kwako wakati unajua dola imeandaa askari waje kukukamata? Angalau Mbowe kaonesha ushujaa kuja kukamatwa katika eneo la tukio.

Ilitakiwa vijana wa Bavicha wawepo kuzuia mwenyekiti wao kukamatwa kindezi namna ile.

Bado wana safari ndefu sana kama wanataka kuung'oa utawala wa CCM
vijanaa gani hao wa bavicha wenye ujasiri huo?🤣

mnywa fanta anakuaga jasiri kweli?
 
Hata kama mbowe hakupata watu kuandamana unajua hasara serikali inayopata kusambaza askari na magari je mnajua hasara yake mbowe akifanya hivi mwezi mzima nchi inaanguka kiuchumi
 
We ni Mwiraqw Mjinga sana, unayedhani haya maandamano ni kwa manufaa ya CDM pekee.

Nina uhakika hata CCM wenye akili walitamani haya maandamano yafanikiwe kwa sababu hata wao wanakubali ya kwamba kuna mambo hayako sawa.
hiyo uliyonayo ni mihemko au ghadhabu gentleman? unashiriki ushirikina na ramli ee🤣

kwahivyo Mzee wawatu analambwa na umbu huko kororoni na wote mmemkana hadharini kwa fedheha sana, wanachadema na UDP mnanufaika, right?🤣
 
Kujipiga kifua kote kule, press conference kila siku, kila mara, mmefikia wapi mpaka sasa, na matokeo ya hayo yote ni nini na kiko wapi sasa?

Mnapuuza ushauri wa kitaalamu na mipango mikakati ya wabobezi katika siasa, mnaendekeza hisia, mihemko na kutegemea huruma za wanainchi kama dira na uelekeo wenu kisiasa? Taasisi kubwa kama chadema? No, hamuwezi kutoboa kabisa, never ever.

My friends,
Ni kujipanga tu. Hii ya kutegemea hisia, mihemko au huruma za wanainchi na ushabiki wa kutoka kwenye mitandao ya kijamii, haiwezi kuleta matokeo chanya kwa hapa Tz, lakini pia hali ya ground huku waliko wananchi ni tofauti mno na ilivyo kwenye social medias, ambazo chadema mmepumbazwa nazo mara zote, mkajisahau huko na hamjifunzi tu

Kuna utofauti na upotofu mkubwa sana baina ya ground na kwenye social medias. Go back to your drawing tables. Mkajipange vizuri, vinginevyo, hiki kilichofeli pakubwa leo kitajiridia tu tena.

Dunia na ulimwengu mzima umeshuhudia na kutambua kwamba, Tanzania kuhusu issue ya umoja, amani na utulivu wa wananchi wake, ina totally zero tolerence.

Tanzania iko tayari kutumia nguvu na gharama yoyote ile, tena bila kumuonea huruma, aibu wala haya mtu au nchi yoyote itakayojaribu kuhatarisha usalama wa waTanzania kwa ujumla 🐒

Mungu Ibariki Tanzania.
Usalama uliatarishwa
Vipi Mwanakizimkazi ! ?

Kwanini unachagua Ujinga? Uchungu aliopata mama yako jaribu kuuheshimu kwa kutumia akili yako

Maandamano yaliatarisha vipi Aman ? Ujinga ni mzigo mwanakizimkazi
 
Kuna vituo vya polisi kadhaa vimejaa watu wapita njia,watu waliyokaa maskani wamekusanywa leo jamaa wamepata mtaji 😄

Ova
nilitoa ushauri wa kitaalamu jana kuhusu changamoto na sintofahamu za kwenye maandamano hususani haramu kama haya ya chadema yalivyo feli leo.

Kwamba,
kwa mfanya kazi ni muhimu sana kua na kitamblisho cha kazini kwako na mfanyibiashara ni vyema ukadelay kufungua eneo lako la biashara au kutokufungua kabisaaaa..

Na kwa wale wasio na kazi maalumu,
ni vizuri kujizuia kutoka nje mbali na eneo la unapoisha, vinginevyo,athari za maandamano haramu zinaweza kukukumba 🐒
 
Kamatakamata mmeianza saa 12 asubuhi ukionekana umesimama maeneo ya magomeni mnawabeba watu kwenye makarandinga yenu.

Hakuna utawala uliodumu milele katika ardhi hii. Kulikuwa na dola kubwa sana kama za Roma na Persia na bado zilikuja kuanguka tu na hakuna anayewakumbuka katika historia.
Masuala ya dola kudumu Milele ni Neema na Baraka za Mungu tu, kinyume na hapo ni fikra potofu na ni ushirikina tu..

ulinzi na usalama wa waTanzania ni wa 24/7. Sio saa12 tu ni masaa yote. TANZANIA ni full and tyty security gentleman 🐒
 
Huu ni wakati sahihi wa Serikali kuwaita upinzani na kuzungumza nao kuhusu utekaji, mauaji yaliyotokea na muelekeo wa siasa zetu. Sisi ni Watanzania.
 
Chadema nao wamejua wanaburuzwa na Mwenyekiti ndio maana wakaingia mitini. Hata Katibu Mkuu wao Mnyika ameingia mitini!! Fikiri nje ya Box!!
alichezea makwenzi ya maana mbeya unadhani ana hamu nayo tena 🤣
 
Hata kama mbowe hakupata watu kuandamana unajua hasara serikali inayopata kusambaza askari na magari je mnajua hasara yake mbowe akifanya hivi mwezi mzima nchi inaanguka kiuchumi
kwa nguvu na gharama yoyote ile, umoja amani na utulivu wa wananchi wa waTanzania utalindwa.

Ni vema wewe na dunia nzima mkalifahamu hilo vizuri.
Hakuna mzaha, aibu wala huruma kwenye suala la amani ya waTanzania . Na hili sio jambo la mwezi moja au miwili, hili ni jambo lisilo na ukomo 🐒
 
Usalama uliatarishwa
Vipi Mwanakizimkazi ! ?

Kwanini unachagua Ujinga? Uchungu aliopata mama yako jaribu kuuheshimu kwa kutumia akili yako

Maandamano yaliatarisha vipi Aman ? Ujinga ni mzigo mwanakizimkazi
relax gentleman,
Punguza mihemko ushirikina na ramli 🐒

Kati ya June na July hamkuandamana na mkapewa na ulinzi wa nguvu?

kama hapakua na vihatarishi vya amani, mbona hamkujitokeza kuandamana kama ilivyokua August?🐒
 
Huu ni wakati sahihi wa Serikali kuwaita upinzani na kuzungumza nao kuhusu utekaji, mauaji yaliyotokea na muelekeo wa siasa zetu. Sisi ni Watanzania.
nadhani baada ya uchunguzi wa kifo cha kamanda Ally Mohamed Kibao kukamilika, kutakua na uchaguzi muhimu sana wa Serikali za mitaa, na bilashaka baada ya hapo itajulikana na kuona kama hilo ni muafaka na muhimu kuzingatiwa kulingana na mazingira na muda kama utakuwepo 🐒
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Kujipiga kifua kote kule, press conference kila siku, kila mara, mmefikia wapi mpaka sasa, na matokeo ya hayo yote ni nini na kiko wapi sasa?

Mnapuuza ushauri wa kitaalamu na mipango mikakati ya wabobezi katika siasa, mnaendekeza hisia, mihemko na kutegemea huruma za wanainchi kama dira na uelekeo wenu kisiasa? Taasisi kubwa kama chadema? No, hamuwezi kutoboa kabisa, never ever.

My friends,
Ni kujipanga tu. Hii ya kutegemea hisia, mihemko au huruma za wanainchi na ushabiki wa kutoka kwenye mitandao ya kijamii, haiwezi kuleta matokeo chanya kwa hapa Tz, lakini pia hali ya ground huku waliko wananchi ni tofauti mno na ilivyo kwenye social medias, ambazo chadema mmepumbazwa nazo mara zote, mkajisahau huko na hamjifunzi tu

Kuna utofauti na upotofu mkubwa sana baina ya ground na kwenye social medias. Go back to your drawing tables. Mkajipange vizuri, vinginevyo, hiki kilichofeli pakubwa leo kitajiridia tu tena.

Dunia na ulimwengu mzima umeshuhudia na kutambua kwamba, Tanzania kuhusu issue ya umoja, amani na utulivu wa wananchi wake, ina totally zero tolerence.

Tanzania iko tayari kutumia nguvu na gharama yoyote ile, tena bila kumuonea huruma, aibu wala haya mtu au nchi yoyote itakayojaribu kuhatarisha usalama wa waTanzania kwa ujumla 🐒

Mungu Ibariki Tanzania.
Ndugu amini nakwambia ipo siku

Ndugu amini nakwambia ipo siku watanzania watafunguliwa macho na watajua ni mambo gani ambayo huwa yanaendelea kwenye hili nchi, we jiulize mtu anatekwa akiwa ndani ya basi watu zaidi ya 60 wanashuhudia hicho kitendo na wakiwa na magari 2 aina ya Land cruiser,na wakiwa na silaha nzito kubwa kubwa na kumchukua mtu kwa baadae anaonekana akiwa ameuwawa kikatili,et utanishawishi hizi nchi ni ya demokrasia kweli , wameshindwa kulinda wananchi wananchi wanatekwa2 et leo wanasikia maandamano wanachukua dolia nchi nzima.
Naomba nirudie,kwa sasa wasomi Tanzania wapo wengi sana mtaa5hawana Ajira kwahy one day
 
Kwa wenye akili ya kupima na kisoda mtaona kama chadema wameshindwa..

Iko hivi cdm wameshida 90% mapungufu ni madogo tu.

Kwani nyie mlitakaje?

Ujumbe umefika sasa shida iko wapi?
Mlitaka watu wapigwe ndio mseme maandamano yalifana?

Walioonekana wapuuzi ni wale waliotuma Askari waje Dar

Salute cdm
 
acha ramli na imani za kishirikina gentleman,
Acha uvivu, kua jasiri ongeza bidii ya kazi.Tz kuna kila fursa, acha kua na fikra za kimaskini. Jitume mwanaume ee...

Muhimu Zaid, heshimu wake za watu. Kuna watu wengine hawajui wala hawawezi kuongea kwa kunung'unikia wizi wako kwa wake zao. Kwa gharama yoyote wanatenda tu. Sasa ukitendewa, usisingizie polisi kwa sababu ya tamaa zako kwa wife za wengine...

Lakini pia kingine,
ni kuepuka tamaa na dhuluma kwenye biashara, jasho na kazi za pesa, inahitaji uvumilivu sana. Kuna watu, hawaezi kukuvumilia ukiwadhulumu jasho na haki zao. Hawajui kulalamikia kwa maneno na wala ukiwadhulumu hawaongeagi. Wewe utawadhulumu pesa, lakini wao watakudhulumu uhai kwa uchungu na hasira sana, ili waja waje kusingizia polisi vizuri sana...

Mbali na hayo,
hivi kweli watu wakikukataa uwe kiongozi wao ndio uwakatishe maisha kinyama vile? Kwajili ya uongozi wa chama tu unaniua ndrugu yangu?
Nawaombea chama chenye uchaguzi sasa wamalize salama uchaguzi wao kwa nafasi zilizobaki...

Mwisho,
Mambo ya siasa ni ya kisayansi na tafiti. Kutegemea hisia, mihemko au huruma za wananchi kuongoza Taasisi ni ushirikina.Hamuwez kufika popote 🐒
 
Kwa wenye akili ya kupima na kisoda mtaona kama chadema wameshindwa..

Iko hivi cdm wameshida 90% mapungufu ni madogo tu.

Kwani nyie mlitakaje?

Ujumbe umefika sasa shida iko wapi?
Mlitaka watu wapigwe ndio mseme maandamano yalifana?

Walioonekana wapuuzi ni wale waliotuma Askari waje Dar

Salute cdm
kwani ule ujumbe wa maandamano ya august uliopelekwa UN haukufika bado 🤣
 
Back
Top Bottom