CHADEMA mkajipange vizuri, vinginevyo hiki kilichofeli pakubwa leo kitajirudia tu tena

Kujipiga kifua kote kule, press conference kila siku, kila mara, mmefikia wapi mpaka sasa, na matokeo ya hayo yote ni nini na kiko wapi sasa?

My friends,
Ni kujipanga tu. Hii ya kutegemea hisia, mihemko au huruma za wanainchi na ushabiki wa kutoka kwenye mitandao ya kijamii, haiwezi kuleta matokeo chanya kwa hapa Tz, lakini pia hali ya ground huku waliko wananchi ni tofauti mno na ilivyo kwenye social medias, ambazo chadema mmepumbazwa nazo mara zote, mkajisahau huko na hamjifunzi tu

Kuna utofauti na upotofu mkubwa sana baina ya ground na kwenye social medias. Go back to your drawing tables. Mkajipange vizuri, vinginevyo, hiki kilichofeli pakubwa leo kitajiridia tu tena.

Dunia na ulimwengu mzima umeshuhudia na kutambua kwamba, Tanzania kuhusu issue ya umoja, amani na utulivu wa wananchi wake, ina totally zero tolerence.

Tanzania iko tayari kutumia nguvu na gharama yoyote ile, tena bila kumuonea huruma, aibu wala haya mtu au nchi yoyote itakayojaribu kuhatarisha usalama wa waTanzania kwa ujumla 🐒

Mungu Ibariki Tanzania.
Unawaonea tu na wao wanalijua hilo kuwa huwezi kushindana na Dola. Walitaka tu kufikisha ujumbe kinamna ila walijua hawatafanikiwa kuandamana.
 
Kujipiga kifua kote kule, press conference kila siku, kila mara, mmefikia wapi mpaka sasa, na matokeo ya hayo yote ni nini na kiko wapi sasa?

Mnapuuza mipango mikakati, mnaendekeza hisia, mihemko na kutegemea huruma za wanainchi kama dira na uelekeo? Taasisi kubwa kama chadema? No, hamuwezi kutoboa kabisa, never ever.

My friends,
Ni kujipanga tu. Hii ya kutegemea hisia, mihemko au huruma za wanainchi na ushabiki wa kutoka kwenye mitandao ya kijamii, haiwezi kuleta matokeo chanya kwa hapa Tz, lakini pia hali ya ground huku waliko wananchi ni tofauti mno na ilivyo kwenye social medias, ambazo chadema mmepumbazwa nazo mara zote, mkajisahau huko na hamjifunzi tu

Kuna utofauti na upotofu mkubwa sana baina ya ground na kwenye social medias. Go back to your drawing tables. Mkajipange vizuri, vinginevyo, hiki kilichofeli pakubwa leo kitajiridia tu tena.

Dunia na ulimwengu mzima umeshuhudia na kutambua kwamba, Tanzania kuhusu issue ya umoja, amani na utulivu wa wananchi wake, ina totally zero tolerence.

Tanzania iko tayari kutumia nguvu na gharama yoyote ile, tena bila kumuonea huruma, aibu wala haya mtu au nchi yoyote itakayojaribu kuhatarisha usalama wa waTanzania kwa ujumla 🐒

Mungu Ibariki Tanzania.
IMG-20240923-WA0050.jpg
 
Trust me! Sijui mengi kuhusu siasa lakini kama sio government kuparade askari wengi kupitiliza leo watu wangetokea kiasi chake

Sema government imeamua yenyewe kufanya demonstration kwa kutumia askari kitu ambacho ni sahihi lakini CHADEMA kufanya hivyo ni kosa

eti kama sio government 🤣
Don't try it again at home or at school.

hakuna mzaha, hakuna aibu, wala huruma kwa yeyote atakae jaribu kutikisa au kuhatarisha amani na utulivu wa waTanzania kwa namna yoyote ile. Hatavumiliwa hata sekunde moja

Ni vizuri dunia nzima ikaelewa hilo 🐒
 
Mbowe amekwenda kuandamana amekuta hakuna mtu hata mmoja.Hadi KIkEKE akamuuliza sasa utaandamana na nani wakati watu hawapo? Eti mbowe akasema ataandamana na waandishi wa habari.Nikamshangaa sana anaposema ataandamana na waandishi wa habari utafikiri walimuambia kuwa wanataka kuandamana. Wanachama wake wamemgomea kuandamana halafu anataka waandishi wa habari ndio waandamane.
aliishiwa pozi kwa fedheha sana, halafu mbaya zaidi tena akakamatwa na kutiwa nguvuni na polisi dah!

kusalitiwa na wanachama na kukataliwa ni kitu mbaya sana aise 🤣
 
eti kama sio government 🤣
Don't try it again at home or at school.

hakuna mzaha, hakuna aibu, wala huruma kwa yeyote atakae jaribu kutikisa au kuhatarisha amani na utulivu wa waTanzania kwa namna yoyote ile. Hatavumiliwa hata sekunde moja

Ni vizuri dunia nzima ikaelewa hilo 🐒
Sema nguvu nyingi imetumika man bila sababu za msingi.Kwahiyo wale askari wote kazi yao ilikuwa nikufanya kitu gani make walikuwa wengi hadi nikawa sielewi wao ndio wenye jambo lao au ni kitu gani?

Anyway,Afrika bara gumu kweli na watu wake changamoto.Inabidi vitu kama katiba vitolewe,habari za haki za binadamu zisiwepo ndio yawe maisha yetu sasa uone maisha ambavyo yatakuwa mazuri
 
Kujipiga kifua kote kule, press conference kila siku, kila mara, mmefikia wapi mpaka sasa, na matokeo ya hayo yote ni nini na kiko wapi sasa?

Mnapuuza ushauri wa kitaalamu na mipango mikakati ya wabobezi katika siasa, mnaendekeza hisia, mihemko na kutegemea huruma za wanainchi kama dira na uelekeo wenu kisiasa? Taasisi kubwa kama chadema? No, hamuwezi kutoboa kabisa, never ever.

My friends,
Ni kujipanga tu. Hii ya kutegemea hisia, mihemko au huruma za wanainchi na ushabiki wa kutoka kwenye mitandao ya kijamii, haiwezi kuleta matokeo chanya kwa hapa Tz, lakini pia hali ya ground huku waliko wananchi ni tofauti mno na ilivyo kwenye social medias, ambazo chadema mmepumbazwa nazo mara zote, mkajisahau huko na hamjifunzi tu

Kuna utofauti na upotofu mkubwa sana baina ya ground na kwenye social medias. Go back to your drawing tables. Mkajipange vizuri, vinginevyo, hiki kilichofeli pakubwa leo kitajiridia tu tena.

Dunia na ulimwengu mzima umeshuhudia na kutambua kwamba, Tanzania kuhusu issue ya umoja, amani na utulivu wa wananchi wake, ina totally zero tolerence.

Tanzania iko tayari kutumia nguvu na gharama yoyote ile, tena bila kumuonea huruma, aibu wala haya mtu au nchi yoyote itakayojaribu kuhatarisha usalama wa waTanzania kwa ujumla 🐒

Mungu Ibariki Tanzania.
We jamaa ningekua najua jina lako nishakupiga uchawi wa kiarabu muda sana.
Umekua chawa kupitiliza kuliko hata Lucas Mwashambwa .
 
Polisi ndiyo wameeandama
😄 kumbe
Tuna wakae barabarani hivyo kwa mwaka mzima walinde usalama
Itapendeza zaidi
Jangwani pale watu walikuwa wana kabwa sahv wanapeta tu
Waendelee kukaa pale tafadhali
Mleta uzi wafikishie ujumbe

Ova
Yes gentleman,
kuhusu kulinda amani na utulivu wa wanainchi, polisi Tanzania itakua tayari kila sekunde barabarani, ili kuhakikisha usalama wa watu, mali na makazi ya waTanzania haviko hatarini..

hilo la amani litafanyika kwa gharama yoyote ile mungwana mrangi..

Kuhusu usalama wa hapo Jangwani nalichukua na kulisukuma panapohusika mara moja, ni muhimu sana 👊💪
 
Kujipiga kifua kote kule, press conference kila siku, kila mara, mmefikia wapi mpaka sasa, na matokeo ya hayo yote ni nini na kiko wapi sasa?

Mnapuuza ushauri wa kitaalamu na mipango mikakati ya wabobezi katika siasa, mnaendekeza hisia, mihemko na kutegemea huruma za wanainchi kama dira na uelekeo wenu kisiasa? Taasisi kubwa kama chadema? No, hamuwezi kutoboa kabisa, never ever.

My friends,
Ni kujipanga tu. Hii ya kutegemea hisia, mihemko au huruma za wanainchi na ushabiki wa kutoka kwenye mitandao ya kijamii, haiwezi kuleta matokeo chanya kwa hapa Tz, lakini pia hali ya ground huku waliko wananchi ni tofauti mno na ilivyo kwenye social medias, ambazo chadema mmepumbazwa nazo mara zote, mkajisahau huko na hamjifunzi tu

Kuna utofauti na upotofu mkubwa sana baina ya ground na kwenye social medias. Go back to your drawing tables. Mkajipange vizuri, vinginevyo, hiki kilichofeli pakubwa leo kitajiridia tu tena.

Dunia na ulimwengu mzima umeshuhudia na kutambua kwamba, Tanzania kuhusu issue ya umoja, amani na utulivu wa wananchi wake, ina totally zero tolerence.

Tanzania iko tayari kutumia nguvu na gharama yoyote ile, tena bila kumuonea huruma, aibu wala haya mtu au nchi yoyote itakayojaribu kuhatarisha usalama wa waTanzania kwa ujumla 🐒

Mungu Ibariki Tanzania.
Lepeni sasa police posho zao maana njaa itawamaliza
 
We jamaa ningekua najua jina lako nishakupiga uchawi wa kiarabu muda sana.
Umekua chawa kupitiliza kuliko hata Lucas Mwashambwa .
washirikina bana mnachekesha sana aise dah, 🤣

hampendi kuambiwa ukweli kabisaaaa dah. Mambo haya tunayafanya kwa Neema na Baraka za Mungu gentleman.

ushirikina ni useless kabisaaaa kwa apostle kama mimi 🐒
 
Mmetumia nguvu kubwa kwenye mambo madogo. Idiots
Iko wazi na bayana gentleman,
Na duniani nzima inajua..

Kwa nguvu zote na kwa gharama yoyote ile, tutalinda umoja, amani na utulivu wa wananchi Tanzania bila kusita wala kuchoka 🐒
 
Leo wamepoa ile mbaya tuliwaambia wataandamana kwenye mitandao tu. Nyumbu mnaitwa huku ! 🤣🤣
na yatakuja kinyumbu nyumbu kama kawaida yao 🤣
 
Sawa,tunaomba wawepo barabarani mwaka mzima

Ova
kuanzia sasa,
atakae thubutu kufanya uhalifu wowote ule, sekunde hiyo hiyo polisi Tanzania watakua hapo hapo alipo kushughulika nae 🐒
 
Hamna mtu ambaye haogopi bunduki. Mapolisi wametanda kila mahali mtu ujasiri unautoa wapi. Watu walikuwepo sema walijibanza kusoma upepo
mbona maandamano ya august hawakuogopa au kuna kosa walifanya kwenye maandamano ya leo?🐒
 
washirikina bana mnachekesha sana aise dah, 🤣

hampendi kuambiwa ukweli kabisaaaa dah. Mambo haya tunayafanya kwa Neema na Baraka za Mungu gentleman.

ushirikina ni useless kabisaaaa kwa apostle kama mimi 🐒
Wewe jidanganye apostle sijui kasisi ilaaa una bahati sana na huo uchawa wako.
 
kwasabb naeleza ukweli kinagaubaga na kufanya haya yote kwa Neema na Baraka za Mungu ushirikina, ramli na uchawi naona kama vichekesho tu ambavyo havichekeshi 🤣🤣
 
Back
Top Bottom