sina hakika mpaka sasa.
watakua wameingiwa baridi kidogo.
unadhani nao wanapenda kujikosesha kazi kwa fedheha?
Ni aibu kwa mwanadiplomasia kama balozi kurejesha nyumbani kwa kukiuka ustaarabu na sheria za kimataifa π
Ungekua Dar ungewaona. Walikua na LC pick up, bunduki za kivita na sare za chadema yaani khaki inayoelekea kijani.
Walikua kila mahali kuanzia Mbezi, Kimara, posta ndio usiseme.
Ungekua Dar ungewaona. Walikua na LC pick up, bunduki za kivita na sare za chadema yaani khaki inayoelekea kijani.
Walikua kila mahali kuanzia Mbezi, Kimara, posta ndio usiseme.
hizo ndizo nguvu na gharama za kulinda umoja, amani na utulivu wa wanainchi Tanzania. Hakuna mzaha hata sekunde moja, usithubutu kuvuruga amani Tanzania tafadhali sana π