figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Sio mabavu, hekima huwa haishindwi.Nashauri CHADEMA tutumie mabavu, nguvu, fitina, na kila mbinu iwe safi au chafu kuhakikisha mikutano inaruhusiwa.
Msikimbilie mahakamani.. Huu ni mtego wa drafti. Wanajua mtaenda mahakamani..
Mkienda mahakamani mtakuwa mumefunga hata mijadala kwenye vyombo vya habari. Wakiulizwa kwanini mumefungia mikutano ya siasa, Jibu litakuwa kwamba hilo Swala hatuwezi kulijibu sababu lipo mahakamani. Na mahakama kesi watakuwa wanaahirisha hadi itafika 2030.
Ushauri wangu ni Mikutano iendelee Nchi nzima. Na mtoe taarifa Polisi kama kawaida... Wakituzua kwenye mikutano tutapambana hapo hapo.
Nawashauri Watanzania kuanza mazoezi ya kujiweka fit. La mgambo limelia
Wewe mbwiga kweli.Hapo kwa mabavu watu wataumizwa
Hapo ni mahakamani tu, kisha uwekezaji kwa njia ya mitandao
Kwani wanaotupoteza sio watu? Kwamba Wafuasi wa CHADEMA wakiamua chochote hawawezi fanya?KWA KIFUPI SAMUYA HAOGOPI KITU KWA SASA... USHAURI WAKO UTA MAANISHA WATU WENGI WAPOTEE...
Hekima ipi? Dawa ya hawa mafisadi ni kwenda nao mlalomlalo.. Wakiteka unateka, wakipiga unapiga, dawa ya moto ni moto.Sio mabavu, hekima huwa haishindwi.
Kuna muda mabavu ndio lugha pekee wapumbavu wanailewa.Sio mabavu, hekima huwa haishindwi.
pwagu anawashauri na kuwapiga kamba mapwaguzi 🤣Nashauri CHADEMA tutumie mabavu, nguvu, fitina, na kila mbinu iwe safi au chafu kuhakikisha mikutano inaruhusiwa.
Msikimbilie mahakamani.. Huu ni mtego wa drafti. Wanajua mtaenda mahakamani..
Mkienda mahakamani mtakuwa mumefunga hata mijadala kwenye vyombo vya habari. Wakiulizwa kwanini mumefungia mikutano ya siasa, Jibu litakuwa kwamba hilo Swala hatuwezi kulijibu sababu lipo mahakamani. Na mahakama kesi watakuwa wanaahirisha hadi itafika 2030.
Ushauri wangu ni Mikutano iendelee Nchi nzima. Na mtoe taarifa Polisi kama kawaida... Wakituzua kwenye mikutano tutapambana hapo hapo.
Nawashauri Watanzania kuanza mazoezi ya kujiweka fit. La mgambo limelia
Siku hizi si hadi mahakama wanaziamulia mambo, na kweli hawashindwi kucheleweshwa makusudi tu. Ili wananchi wasipate haki zao kikatibaNashauri CHADEMA tutumie mabavu, nguvu, fitina, na kila mbinu iwe safi au chafu kuhakikisha mikutano inaruhusiwa.
Msikimbilie mahakamani.. Huu ni mtego wa drafti. Wanajua mtaenda mahakamani..
Mkienda mahakamani mtakuwa mumefunga hata mijadala kwenye vyombo vya habari. Wakiulizwa kwanini mumefungia mikutano ya siasa, Jibu litakuwa kwamba hilo Swala hatuwezi kulijibu sababu lipo mahakamani. Na mahakama kesi watakuwa wanaahirisha hadi itafika 2030.
Ushauri wangu ni Mikutano iendelee Nchi nzima. Na mtoe taarifa Polisi kama kawaida... Wakituzua kwenye mikutano tutapambana hapo hapo.
Nawashauri Watanzania kuanza mazoezi ya kujiweka fit. La mgambo limelia
Wa kupelekwa mahakamani ni Katambi kwa matumizi mabaya ya madaraka kinyume na katiba. Ila ukipeleka kesi ya kikatiba, imekula kwetu. Hizi ni mbinu za kisiasa. Mkuu, tumekuwa wote kwenye siasa, hujui hii mbinu?Hapo kwa mabavu watu wataumizwa
Hapo ni mahakamani tu, kisha uwekezaji kwa njia ya mitandao
Hata Chadema wasipoenda mahakamani, CCM watatumia chama Mamluki kwenada kufungua kesi ili kupata kisingizio cha kesi ipo mahakamani,Nashauri CHADEMA tutumie mabavu, nguvu, fitina, na kila mbinu iwe safi au chafu kuhakikisha mikutano inaruhusiwa.
Msikimbilie mahakamani.. Huu ni mtego wa drafti. Wanajua mtaenda mahakamani..
Mkienda mahakamani mtakuwa mumefunga hata mijadala kwenye vyombo vya habari. Wakiulizwa kwanini mumefungia mikutano ya siasa, Jibu litakuwa kwamba hilo Swala hatuwezi kulijibu sababu lipo mahakamani. Na mahakama kesi watakuwa wanaahirisha hadi itafika 2030.
Ushauri wangu ni Mikutano iendelee Nchi nzima. Na mtoe taarifa Polisi kama kawaida... Wakituzua kwenye mikutano tutapambana hapo hapo.
Nawashauri Watanzania kuanza mazoezi ya kujiweka fit. La mgambo limelia
Ndo maana nikasema, tutumie mbinu za kishujaa.. Na tuimbe nyimbo za kishujaa.. Lissu anaachiliwa huru, hivyi wanataka akiachiliwa asifanye siasa. Kisa alikataa akiachiliwa kwenda nje ya nchi na kuishi huko kama mkimbizi.Hata Chadema wasipoenda mahakamani, CCM watatumia chama Mamluki kwenada kufungua kesi ili kupata kisingizio cha kesi ipo mahakamani,
Hiyo kesi itatolewa hukumu 2030 kabla ya kampeni za uchaguzi,
CCM watafanya mikutano kwa kutumia makada wake viongozi kama Madelu. Na viongozi wengine,