Mkuu, hii nchi Kuna watu wamefanya kama Mali yao, hili jambo lilishapangwa Katambi hana ubavu wa kuzuia mikutano hadi ya CCM,Ndo maana nikasema, tutumie mbinu za kishujaa.. Na tuimbe nyimbo za kishujaa.. Lissu anaachiliwa huru, hivyi wanataka akiachiliwa asifanye siasa. Kisa alikataa akiachiliwa kwenda nje ya nchi na kuishi huko kama mkimbizi.
Wameona moto umezidi kuwaka wanazima na petrol, mwitikio wa mikutano ya Chadema imewatisha sana, hawajui 7/7 kitatokea nini kama maandamano yakiwepo.