kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 18,577
- 23,171
hapa sasa John heche ndo pakuchukulia point atoneshe yeye ni lisu aliyepo nje na sio kivuli
We kwl ni poyoyo, tuoneshe ht sura yako tu! We utaandamana humu JF tu basi acha kujifurahishaKwani wanaotupoteza sio watu? Kwamba Wafuasi wa CHADEMA wakiamua chochote hawawezi fanya?
Sheria ipi inayozuia shughuli za vyama vya siasa?mkitumia njia ya mabavu watasema mmekiuka sheria za nchi
Zoea kwanza jukwaa ndo ujibizane na mimi. MuoneWe kwl ni poyoyo, tuoneshe ht sura yako tu! We utaandamana humu JF tu basi acha kujifurahisha
Ndio malengo, Ndo maana hata hajatoa press release na ameongelea bungeni ili asishitakiwe sababu ya kinga ya bunge. halafu hicho chama kitakachofungua kesi kitashindwa kwani watafungua vibaya kimakosa yya makkusudi then kesi itatupiliwa mbali. But navyojua Lissu, ataomba aunganishwe kwenye mashitaka.Hata Chadema wasipoenda mahakamani, CCM watatumia chama Mamluki kwenada kufungua kesi