Mkuu, hii nchi Kuna watu wamefanya kama Mali yao, hili jambo lilishapangwa Katambi hana ubavu wa kuzuia mikutano hadi ya CCM,Ndo maana nikasema, tutumie mbinu za kishujaa.. Na tuimbe nyimbo za kishujaa.. Lissu anaachiliwa huru, hivyi wanataka akiachiliwa asifanye siasa. Kisa alikataa akiachiliwa kwenda nje ya nchi na kuishi huko kama mkimbizi.
uwekezaji kwa njia ya mitandaoHapo kwa mabavu watu wataumizwa
Hapo ni mahakamani tu, kisha uwekezaji kwa njia ya mitandao
Nashauri CHADEMA tutumie mabavu, nguvu, fitina, na kila mbinu iwe safi au chafu kuhakikisha mikutano inaruhusiwa.
Msikimbilie mahakamani.. Huu ni mtego wa drafti. Wanajua mtaenda mahakamani..
Mkienda mahakamani mtakuwa mumefunga hata mijadala kwenye vyombo vya habari. Wakiulizwa kwanini mumefungia mikutano ya siasa, Jibu litakuwa kwamba hilo Swala hatuwezi kulijibu sababu lipo mahakamani. Na mahakama kesi watakuwa wanaahirisha hadi itafika 2030.
Wa kushitakiwa ni Katambii kwa matumizi mabaya ya madaraka. Lakini tukienda na kesi ya kikatiba, tutakesha. Na mahakama itapigilia msumali kwamba kesi isiendelee hadi kesi ya msingi itakapo sikilizwa. Mfano kesi ya Chadema, kesi ya msingi ilisikilizwa baada ya mwaka na wakashinda. Ilikuwa washinde baadda ya wiki moja.
Ushauri wangu ni Mikutano iendelee Nchi nzima. Na mtoe taarifa Polisi kama kawaida... Wakituzua kwenye mikutano tutapambana hapo hapo.
Nawashauri Watanzania kuanza mazoezi ya kujiweka fit. La mgambo limelia
Wanaweza kufungua shauri kwa hati ya dharula na kuwaburuza watu wawili; Katambi na huyo IGP aliyemtaka kusimamia hilo zoezi lililo kinyume na Katiba na pia haki za binadamu.Nashauri CHADEMA tutumie mabavu, nguvu, fitina, na kila mbinu iwe safi au chafu kuhakikisha mikutano inaruhusiwa.
Msikimbilie mahakamani.. Huu ni mtego wa drafti. Wanajua mtaenda mahakamani..
Mkienda mahakamani mtakuwa mumefunga hata mijadala kwenye vyombo vya habari. Wakiulizwa kwanini mumefungia mikutano ya siasa, Jibu litakuwa kwamba hilo Swala hatuwezi kulijibu sababu lipo mahakamani. Na mahakama kesi watakuwa wanaahirisha hadi itafika 2030.
Wa kushitakiwa ni Katambii kwa matumizi mabaya ya madaraka. Lakini tukienda na kesi ya kikatiba, tutakesha. Na mahakama itapigilia msumali kwamba kesi isiendelee hadi kesi ya msingi itakapo sikilizwa. Mfano kesi ya Chadema, kesi ya msingi ilisikilizwa baada ya mwaka na wakashinda. Ilikuwa washinde baadda ya wiki moja.
Ushauri wangu ni Mikutano iendelee Nchi nzima. Na mtoe taarifa Polisi kama kawaida... Wakituzua kwenye mikutano tutapambana hapo hapo.
Nawashauri Watanzania kuanza mazoezi ya kujiweka fit. La mgambo limelia
Sheria Ipi imevunjwaTujadili hili bila mihemko,iko hivi mkitumia njia ya mabavu watasema mmekiuka sheria za nchi,hapo wana sababu ya kuwaweka nguvuni, kila jambo huwa linafanywa kwa mahesabu makubwa sana.
Sasa mtamfanya hata huyu naibu Mwenyekiti ambaye anapush mambo huku uraiani naye awe kolokoloni, yani hapa mkienda mahakamani pamoto na ukifanya fujo pamoto
Sasa hivi si wamezuia mikutano,sasa ukifanya mikutano hapo imekaajeSheria Ipi imevunjwa
Huna hoja mabavu yapi?, wao na chadema wapi wanatumia mabavu?. Lini na wapi waziri wa mambo ya ndani akaamu siasa zifanyika au zisifanyike?.Tujadili hili bila mihemko,iko hivi mkitumia njia ya mabavu watasema mmekiuka sheria za nchi,hapo wana sababu ya kuwaweka nguvuni, kila jambo huwa linafanywa kwa mahesabu makubwa sana.
Sasa mtamfanya hata huyu naibu Mwenyekiti ambaye anapush mambo huku uraiani naye awe kolokoloni, yani hapa mkienda mahakamani pamoto na ukifanya fujo pamoto
Nani amezuia mikutano?, sheria zinataka hivyo?.Sasa hivi si wamezuia mikutano,sasa ukifanya mikutano hapo imekaaje
Muda utaongeaHuna hoja mabavu yapi?, wao na chadema wapi wanatumia mabavu?. Lini na wapi waziri wa mambo ya ndani akaamu siasa zifanyika au zisifanyike?.
Hapa Chadema waitishe mikutano Yao kama kawaida watekeleze hukumu la kisheria la kuwapa police taarifa, police wakiwanyima fursa ya kufanya mikutano kikatiba basi waitishe maandamano kupinga katazo hiloWanaweza kufungua shauri kwa hati ya dharula na kuwaburuza watu wawili; Katambi na huyo IGP aliyemtaka kusimamia hilo zoezi lililo kinyume na Katiba na pia haki za binadamu.
Mikutano ni haki ya kikatibaSasa hivi si wamezuia mikutano,sasa ukifanya mikutano hapo imekaaje
Gentlemen usifurahie uvunjaji wa sheria wazi wazi kisa mfumo uliopo una ku favor ipo siku mambo yatageuka utafanyiwa wewe na utakosa msaada maana what is goes around comes around!pwagu anawashauri na kuwapiga kamba mapwaguzi 🤣
Saa zingine kupigana vita unayoshindwa si sawauwekezaji kwa njia ya mitandao
NAKAZIA HILI
Gentleman,Gentlemen usifurahie uvunjaji wa sheria wazi wazi kisa mfumo uliopo una ku favor ipo siku mambo yatageuka utafanyiwa wewe na utakosa msaada maana what is goes around comes around!
Upo sahihi ni Haki ya kikatiba,je watawala wanajua hilo?Mikutano ni haki ya kikatiba
Haki ya kukusanyika na kutoa maoni ni haki ya kikatiba sio hisani wala huruma.
Mikutano ilikuwa unaenda vizuri wa chadema wanaenda kusikilizwa ya chadema na CCM wanajaza kusikilizwa ya CCM
Na nchi ilitulia kabisa
Sasa huyu katambi kaja kuvuruga hii hali na kutaka kuleta fujo
WanajuaUpo sahihi ni Haki ya kikatiba,je watawala wanajua hilo?
Watawala wanaapa kulinda katiba ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Upo sahihi ni Haki ya kikatiba,je watawala wanajua hilo?
Sasa huo ni ushauri au matope? Chadema wana nguvu gani ya kupambana na dola? Huyu Samia amewadekeza kipindi cha Magu mbn mlinywea! Ajaribu yyte muoneshwe showNashauri CHADEMA tutumie mabavu, nguvu, fitina, na kila mbinu iwe safi au chafu kuhakikisha mikutano inaruhusiwa.