Ndio malengo, Ndo maana hata hajatoa press release na ameongelea bungeni ili asishitakiwe sababu ya kinga ya bunge. halafu hicho chama kitakachofungua kesi kitashindwa kwani watafungua vibaya kimakosa yya makkusudi then kesi itatupiliwa mbali. But navyojua Lissu, ataomba aunganishwe kwenye mashitaka.