CHADEMA mkikutana Kamati Kuu, jadilini njia mbadala ya kupambana na CCM. Dhulma ifike mwisho

Kazi number moja kubwa ya chama cha siasa ni kuelimisha raia kuhusu haki zao kwenye nchi.

Wakishapata hiyo elimu ikawaingia kichwani, mengine ni yote hayashindikani.

CDM aina wanasiasa bado.
Chadema watatuelimisha nini wakati sisi wananchi tuna uelewa mkubwa zaidi kuliko wao? Hivi nyumbu wanaweza kuelewesha watu kweli? Chadema yenye uwezo wa kufanya hivyo iliishia 2015. Hii ya sasa hivi ni magalasa matupu.
 
Kimsingi binafs mimi kata yangu imepita chadema lakin huwez amini matokeo yametolewa saa Tisa usiku tena kwa mbinde na uharibifu mkubwa na baada ya vijana kugoma mpaka polis mabom na pilka pulika kibao je haya mambo yataisha lini
 
Chadema wataruelimisha nini wakati sisi wananchi tunauelewa mkubwa zaidi kuliko wao? Hivi nyumbu wanaweza kuelewesha watu kweli? Chadema yenye uwezo wa kufanya hivyo iliishia 2015. Hii ya sasa hivi ni magalasa matupu.
Wenyewe hawataki kuukubali huo ukweli.

Wanadhani kutoka ni personality zao tu (umaarufu wa mtu mmoja-mmoja), tosha kuitisha watu waingie kitaa.
 
watakutana kunywa mipombe tu hao πŸ’
 
Kanuni ya jino kwa jino iwe ndiyo mwongozo wa kikao chao vinginevyo hatutawaelewa.
 
Na nyie wananchi hasa vijana muwe tayari - hili tatizo si la Mbowe, Lissu, Lema ama Boni yai.
 
Nilimshangaa sana siku ile kwenye mazishi ya mzee Ali Kibao ,watu walitaka kumpopoa mawe Masauni halafu yeye akawa mkali. Shieee! (Mshangao wa kimasai)
Shida inapokuja ni kuwa wapo wenye nia ya mabadiliko hasa hao CHADEMA ila mipango inapangwa vizuri wakiwa na mwenyekiti ila akipeleka ajenda CCM analambishwa asali anajikuta anageuza msimamo. The one and only chance ya CHADEMA kushika dola ilikuwa ni 2015 ila waliharibu wenyeweπŸ˜„.

CCM ilikuwa on its weakest form ever i could call it the dead end na bila kumpitisha Magufuli they was no way out. Sahizi wameshajiimarisha baada ya kukivuruga vuruga chama cha CHADEMA na washajua kwa kutanguliza polisi tu lolote linawezekana.
 
Na hio ndio inafanya raia wajifiche nyuma ya keyboards. Unafikiri Kenya zingekuwa zinapigwa njugu watu wangeingia barabarani kirahisiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Na hio ndio inafanya raia wajifiche nyuma ya keyboards. Unafikiri Kenya zingekuwa zinapigwa njugu watu wangeingia barabarani kirahisiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kenya mbona risasi zilikua zinapigwa ila kule watu sio waoga, maandamano ya Gen Z walikufa wengi sana ila kama sio Odinga kuwapooza Ruto angeshatolewa.
 
Tuliopata D mbili tumekuelewa vizuri kabisa.
 
Hili la kuteka watoto wao ni zuri sna wataacha uninga
 
Hapo sawa.

Japo kiukweli , 2015 ccm ndiyo ilikuwa imeparaganyika mno. Lkn kwa sasa imejipanga, siyo kwa sera na mikakati, bali ni kwa matumizi ya mabavu.
Ndio kujiimarisha kwenyewe
 
Njia ya mbadala ni moja tu

1.Adui yetu namba Moja ni polisi wote wa Tanzania.
Tuingie msituni nchi jirani kabla ya uchaguzi mkuu Polisi 1000 wawe walemavu
Wana CCM 2000 wawe walemavu
 
Njia ya mbadala ni moja tu

1.Adui yetu namba Moja ni polisi wote wa Tanzania.
Tuingie msituni nchi jirani kabla ya uchaguzi mkuu Polisi 1000 wawe walemavu
Wana CCM 2000 wawe walemavu
Wazo bora kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…