Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
- Thread starter
- #21
πππππππππππWenye akili ni wale wanaoamini amani huletwa na mwenge π©π©π©π©
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
πππππππππππWenye akili ni wale wanaoamini amani huletwa na mwenge π©π©π©π©
Wewe utakuwa umechanja niniliu sasa umegeuka zombie. Unaelezea 2015 kwa future tense??2015 ndipo mtaweza kushinda.
π π π π π π π π π rudi kwenye mada iliyowekwa mezani.πππππππππππHizi ndio sera zenu wakuu, mbona tunawajua.
Umetoa ushauri mzuri sana ndugu yanguHabari za leo ndugu zangu wa chama cha CHADEMA.
Leo nataka niwaibie siri ila siwalazimishi kuifuata ni juu yenu.
Ni hivi,
"CHADEMA mkimwomba msamaha Magufuli na kuamua kufuata sera na maono yake, 2025 mnachukua nchi kilaini sana".
Nimeyasema haya kwasababu alitaka mjenge naye uchumi lakini mlianza usumbufu. Mkaanza kumsumbua, aliteua hadi watu kutoka chama chenu lakini bado mliendelea kuwa wasumbufu.
Hamkupenda kushirikiana naye ni kwasababu hamkumkubali. Sasa wakati wa kumkubali ndio huu, kuomba msamaha na kufuata sera na nyayo zake. Na sababu za kutomkubali na usumbufu wote mlioanza kumletea chanzo chake ilikua ni sanduku la kula. Hamkuamini ushindi wake 2015.
Basi hamna budi kujitakasa na kumkubali sasa, 2025 ndipo mtaweza kushinda. Nimesema haya kwasababu watanzania kuna kitu wanakiamini. Hicho ndio mwatakiwa kukifuata.
Mkifanya hivyo hamtahitaji hata kupiga kampeni wala kuitisha mikutano na wananchi au waandishi wa habari. Mtajikuta mnakubalika tu.
Kama hamniamini jaribuni hata saivi mtume tu kavideo Facebook au Instagram, alafu mje kusimulia hapa jamii forum.
Kauli ya kipumbavu sana kumwita binadamu mwenzako mwendakuzimu je unahukumu wewe kama nani na unauhakika gani yupo huko au unaongozwa na chuki angalia usihukumu usijehukumiwaVile mwendakuzimu amefurahia uzi wako huu kutokea huko kuzimu[emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1957823
Wamuombe msamaha kwani ndiyo wamemuua?Habari za leo ndugu zangu wa chama cha CHADEMA.
Leo nataka niwaibie siri ila siwalazimishi kuifuata ni juu yenu.
Ni hivi,
"CHADEMA mkimwomba msamaha Magufuli na kuamua kufuata sera na maono yake, 2025 mnachukua nchi kilaini sana".
Nimeyasema haya kwasababu alitaka mjenge naye uchumi lakini mlianza usumbufu. Mkaanza kumsumbua, aliteua hadi watu kutoka chama chenu lakini bado mliendelea kuwa wasumbufu.
Hamkupenda kushirikiana naye ni kwasababu hamkumkubali. Sasa wakati wa kumkubali ndio huu, kuomba msamaha na kufuata sera na nyayo zake. Na sababu za kutomkubali na usumbufu wote mlioanza kumletea chanzo chake ilikua ni sanduku la kula. Hamkuamini ushindi wake 2015.
Basi hamna budi kujitakasa na kumkubali sasa, 2025 ndipo mtaweza kushinda. Nimesema haya kwasababu watanzania kuna kitu wanakiamini. Hicho ndio mwatakiwa kukifuata.
Mkifanya hivyo hamtahitaji hata kupiga kampeni wala kuitisha mikutano na wananchi au waandishi wa habari. Mtajikuta mnakubalika tu.
Kama hamniamini jaribuni hata saivi mtume tu kavideo Facebook au Instagram, alafu mje kusimulia hapa jamii forum.
Usiku wa manane unamaliza shughuli na mumeo kisha unajipoza kwa kutuletea upuuzi wote huu?Habari za leo ndugu zangu wa chama cha CHADEMA.
Leo nataka niwaibie siri ila siwalazimishi kuifuata ni juu yenu.
Ni hivi,
"CHADEMA mkimwomba msamaha Magufuli na kuamua kufuata sera na maono yake, 2025 mnachukua nchi kilaini sana".
Nimeyasema haya kwasababu alitaka mjenge naye uchumi lakini mlianza usumbufu. Mkaanza kumsumbua, aliteua hadi watu kutoka chama chenu lakini bado mliendelea kuwa wasumbufu.
Hamkupenda kushirikiana naye ni kwasababu hamkumkubali. Sasa wakati wa kumkubali ndio huu, kuomba msamaha na kufuata sera na nyayo zake. Na sababu za kutomkubali na usumbufu wote mlioanza kumletea chanzo chake ilikua ni sanduku la kula. Hamkuamini ushindi wake 2015.
Basi hamna budi kujitakasa na kumkubali sasa, 2025 ndipo mtaweza kushinda. Nimesema haya kwasababu watanzania kuna kitu wanakiamini. Hicho ndio mwatakiwa kukifuata.
Mkifanya hivyo hamtahitaji hata kupiga kampeni wala kuitisha mikutano na wananchi au waandishi wa habari. Mtajikuta mnakubalika tu.
Kama hamniamini jaribuni hata saivi mtume tu kavideo Facebook au Instagram, alafu mje kusimulia hapa jamii forum.
Wewe na wezi wa kura wenzako ndiyo hamna akili wapumbavu wakubwa nyie[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]CHADEMA mnajidaigi mnaakili huku mmeshindwa kuchukua nchi. Mnazidiwa kete alafi mnajinadi mnaakili.
Jibu maridhawaWao wenyewe hawajui wana taka nn
Kweli ila huu ushauri utapingwa na vyeti feki, wapiga madili, wala rushwa, mafisadi, watumishi hewa, wavivu na walioadhibiwa kisheria kwa makosa mbalimbali maana Magufuli aliwatumbuwa hivyo wametengeneza chuki nae wakijificha kwenye chaka la vyama pinzaniHabari za leo ndugu zangu wa chama cha CHADEMA.
Leo nataka niwaibie siri ila siwalazimishi kuifuata ni juu yenu.
Ni hivi,
"CHADEMA mkimwomba msamaha Magufuli na kuamua kufuata sera na maono yake, 2025 mnachukua nchi kilaini sana".
Nimeyasema haya kwasababu alitaka mjenge naye uchumi lakini mlianza usumbufu. Mkaanza kumsumbua, aliteua hadi watu kutoka chama chenu lakini bado mliendelea kuwa wasumbufu.
Hamkupenda kushirikiana naye ni kwasababu hamkumkubali. Sasa wakati wa kumkubali ndio huu, kuomba msamaha na kufuata sera na nyayo zake. Na sababu za kutomkubali na usumbufu wote mlioanza kumletea chanzo chake ilikua ni sanduku la kula. Hamkuamini ushindi wake 2015.
Basi hamna budi kujitakasa na kumkubali sasa, 2025 ndipo mtaweza kushinda. Nimesema haya kwasababu watanzania kuna kitu wanakiamini. Hicho ndio mwatakiwa kukifuata.
Mkifanya hivyo hamtahitaji hata kupiga kampeni wala kuitisha mikutano na wananchi au waandishi wa habari. Mtajikuta mnakubalika tu.
Kama hamniamini jaribuni hata saivi mtume tu kavideo Facebook au Instagram, alafu mje kusimulia hapa jamii forum.
Yeye huko akhera alipo anapaswa kuwaomba chadema na watanzania wote msamaha kwa maovu aliyowatendea.Habari za leo ndugu zangu wa chama cha CHADEMA.
Leo nataka niwaibie siri ila siwalazimishi kuifuata ni juu yenu.
Ni hivi,
"CHADEMA mkimwomba msamaha Magufuli na kuamua kufuata sera na maono yake, 2025 mnachukua nchi kilaini sana".
Nimeyasema haya kwasababu alitaka mjenge naye uchumi lakini mlianza usumbufu. Mkaanza kumsumbua, aliteua hadi watu kutoka chama chenu lakini bado mliendelea kuwa wasumbufu.
Hamkupenda kushirikiana naye ni kwasababu hamkumkubali. Sasa wakati wa kumkubali ndio huu, kuomba msamaha na kufuata sera na nyayo zake. Na sababu za kutomkubali na usumbufu wote mlioanza kumletea chanzo chake ilikua ni sanduku la kula. Hamkuamini ushindi wake 2015.
Basi hamna budi kujitakasa na kumkubali sasa, 2025 ndipo mtaweza kushinda. Nimesema haya kwasababu watanzania kuna kitu wanakiamini. Hicho ndio mwatakiwa kukifuata.
Mkifanya hivyo hamtahitaji hata kupiga kampeni wala kuitisha mikutano na wananchi au waandishi wa habari. Mtajikuta mnakubalika tu.
Kama hamniamini jaribuni hata saivi mtume tu kavideo Facebook au Instagram, alafu mje kusimulia hapa jamii forum.
acha uongo Magufuli anakubalika mpaka sasa wewe tu ndio humkubali na wengine hapa jamii forum. Lakini nenda Facebook, insta, utaona lundo la wafuasi wa MagufuliYeye huko akhera alipo anapaswa kuwaomba chadema na watanzania wote msamaha kwa maovu aliyowatendea.
Well spokenHabari za leo ndugu zangu wa chama cha CHADEMA.
Leo nataka niwaibie siri ila siwalazimishi kuifuata ni juu yenu.
Ni hivi,
"CHADEMA mkimwomba msamaha Magufuli na kuamua kufuata sera na maono yake, 2025 mnachukua nchi kilaini sana".
Nimeyasema haya kwasababu alitaka mjenge naye uchumi lakini mlianza usumbufu. Mkaanza kumsumbua, aliteua hadi watu kutoka chama chenu lakini bado mliendelea kuwa wasumbufu.
Hamkupenda kushirikiana naye ni kwasababu hamkumkubali. Sasa wakati wa kumkubali ndio huu, kuomba msamaha na kufuata sera na nyayo zake. Na sababu za kutomkubali na usumbufu wote mlioanza kumletea chanzo chake ilikua ni sanduku la kula. Hamkuamini ushindi wake 2015.
Basi hamna budi kujitakasa na kumkubali sasa, 2025 ndipo mtaweza kushinda. Nimesema haya kwasababu watanzania kuna kitu wanakiamini. Hicho ndio mwatakiwa kukifuata.
Mkifanya hivyo hamtahitaji hata kupiga kampeni wala kuitisha mikutano na wananchi au waandishi wa habari. Mtajikuta mnakubalika tu.
Kama hamniamini jaribuni hata saivi mtume tu kavideo Facebook au Instagram, alafu mje kusimulia hapa jamii forum.
Yeye aliambiwa atubu na Kakobe akawa mbogomaji!πππππUpumbavu ni mzigo. Mtu pumbavu hajui kwamba aliyekuwa akiwabambikia CHADEMA kesi za uongo NI magufuli.
Mtu mpumbavu hajui kwamba aliyekuwa akikandamiza ukuaji was demonrasia nchini ni magufuli, jina lake naliandika kwa kuanza na herufi ndogo intentionally.
Mtu aliyekandamiza Uhuru wa habari NI magufuli.
Unamdanganya!Kwa kijerumani ningekueleza '"unambedala" au "unamsyenteka"!Alipoambiwa na Kakobe atubu,alitubu?πππππWell spoken
Nchi ya kuzimu labda aliko kiongozi wa malaika.Habari za leo ndugu zangu wa chama cha CHADEMA.
Leo nataka niwaibie siri ila siwalazimishi kuifuata ni juu yenu.
Ni hivi,
"CHADEMA mkimwomba msamaha Magufuli na kuamua kufuata sera na maono yake, 2025 mnachukua nchi kilaini sana".
Nimeyasema haya kwasababu alitaka mjenge naye uchumi lakini mlianza usumbufu. Mkaanza kumsumbua, aliteua hadi watu kutoka chama chenu lakini bado mliendelea kuwa wasumbufu.
Hamkupenda kushirikiana naye ni kwasababu hamkumkubali. Sasa wakati wa kumkubali ndio huu, kuomba msamaha na kufuata sera na nyayo zake. Na sababu za kutomkubali na usumbufu wote mlioanza kumletea chanzo chake ilikua ni sanduku la kula. Hamkuamini ushindi wake 2015.
Basi hamna budi kujitakasa na kumkubali sasa, 2025 ndipo mtaweza kushinda. Nimesema haya kwasababu watanzania kuna kitu wanakiamini. Hicho ndicho mwatakiwa kukifuata.
Mkifanya hivyo hamtahitaji hata kupiga kampeni wala kuitisha mikutano na wananchi au waandishi wa habari. Mtajikuta mnakubalika tu.
Kama hamniamini jaribuni hata saivi mtume tu kavideo Facebook au Instagram, alafu mje kusimulia hapa jamii forum.
Sio bure! Ndo maana Jiwe anaitwa Mwendazake, kumbe kuna watu hamuani kuwa JPM kapumzishwa Chato kama Marais wengine waliotangulia.Habari za leo ndugu zangu wa chama cha CHADEMA.
Leo nataka niwaibie siri ila siwalazimishi kuifuata ni juu yenu.
Ni hivi,
"CHADEMA mkimwomba msamaha Magufuli na kuamua kufuata sera na maono yake, 2025 mnachukua nchi kilaini sana".
Nimeyasema haya kwasababu alitaka mjenge naye uchumi lakini mlianza usumbufu. Mkaanza kumsumbua, aliteua hadi watu kutoka chama chenu lakini bado mliendelea kuwa wasumbufu.
Hamkupenda kushirikiana naye ni kwasababu hamkumkubali. Sasa wakati wa kumkubali ndio huu, kuomba msamaha na kufuata sera na nyayo zake. Na sababu za kutomkubali na usumbufu wote mlioanza kumletea chanzo chake ilikua ni sanduku la kula. Hamkuamini ushindi wake 2015.
Basi hamna budi kujitakasa na kumkubali sasa, 2025 ndipo mtaweza kushinda. Nimesema haya kwasababu watanzania kuna kitu wanakiamini. Hicho ndicho mwatakiwa kukifuata.
Mkifanya hivyo hamtahitaji hata kupiga kampeni wala kuitisha mikutano na wananchi au waandishi wa habari. Mtajikuta mnakubalika tu.
Kama hamniamini jaribuni hata saivi mtume tu kavideo Facebook au Instagram, alafu mje kusimulia hapa jamii forum.
Jinga kabisa wewe unaandika haya kama mtoto wa chekechea, Magufuri alivyowatesa chadema unataka wamuombe msamaha? Magufuri anastahili aongezewe kuni huko kuzimu kwa kufanya unyama mkubwa dhidi ya binadamuHabari za leo ndugu zangu wa chama cha CHADEMA.
Leo nataka niwaibie siri ila siwalazimishi kuifuata ni juu yenu.
Ni hivi,
"CHADEMA mkimwomba msamaha Magufuli na kuamua kufuata sera na maono yake, 2025 mnachukua nchi kilaini sana".
Nimeyasema haya kwasababu alitaka mjenge naye uchumi lakini mlianza usumbufu. Mkaanza kumsumbua, aliteua hadi watu kutoka chama chenu lakini bado mliendelea kuwa wasumbufu.
Hamkupenda kushirikiana naye ni kwasababu hamkumkubali. Sasa wakati wa kumkubali ndio huu, kuomba msamaha na kufuata sera na nyayo zake. Na sababu za kutomkubali na usumbufu wote mlioanza kumletea chanzo chake ilikua ni sanduku la kula. Hamkuamini ushindi wake 2015.
Basi hamna budi kujitakasa na kumkubali sasa, 2025 ndipo mtaweza kushinda. Nimesema haya kwasababu watanzania kuna kitu wanakiamini. Hicho ndicho mwatakiwa kukifuata.
Mkifanya hivyo hamtahitaji hata kupiga kampeni wala kuitisha mikutano na wananchi au waandishi wa habari. Mtajikuta mnakubalika tu.
Kama hamniamini jaribuni hata saivi mtume tu kavideo Facebook au Instagram, alafu mje kusimulia hapa jamii forum.
Punguza jazba mkuu, andika kama mtu mzima.Jinga kabisa wewe unaandika haya kama mtoto wa chekechea, Magufuri alivyowatesa chadema unataka wamuombe msamaha? Magufuri anastahili aongezewe kuni huko kuzimu kwa kufanya unyama mkubwa dhidi ya binadamu