Leo hayupo Nani Yuko nyuma ya yanayoendelea yote kwa upinzani,ikiwemo mikutano yenu kuzingirwa na mapolisi,ofisi zenu kuchomwa moto,kiongozi wenu kurundikwa ndani miez takribani 4 na kesi nzito na mengine mengi ama kweli watu wamesoma LAKINI hawajaelimika.Lakini mbona waliosoma zamani enzi za mkoloni na mwishoni mwa miaka ya 70 walikua na uelewa mkubwa kuliko Hawa wa Sasa wakati elimu ni ile ile ya mkoloni,tatizo ni niniUpumbavu ni mzigo. Mtu pumbavu hajui kwamba aliyekuwa akiwabambikia CHADEMA kesi za uongo NI magufuli.
Mtu mpumbavu hajui kwamba aliyekuwa akikandamiza ukuaji was demonrasia nchini ni magufuli, jina lake naliandika kwa kuanza na herufi ndogo intentionally.
Mtu aliyekandamiza Uhuru wa habari NI magufuli.