CHADEMA mkimwomba msamaha Magufuli na kuamua kufuata sera na maono yake, 2025 mnachukua nchi kilaini sana

Umetoa ushauri mzuri sana ndugu yangu
 
Wamuombe msamaha kwani ndiyo wamemuua?
 
Usiku wa manane unamaliza shughuli na mumeo kisha unajipoza kwa kutuletea upuuzi wote huu?
Unaelewa kuwa laana iliyoletwa na matendo ya huyo mtu ndio inaendelea kuitafuna CCM na nchi kwa ujumla?
Please usiichanganye Chadema na [emoji706][emoji706] zenu
 
Kweli ila huu ushauri utapingwa na vyeti feki, wapiga madili, wala rushwa, mafisadi, watumishi hewa, wavivu na walioadhibiwa kisheria kwa makosa mbalimbali maana Magufuli aliwatumbuwa hivyo wametengeneza chuki nae wakijificha kwenye chaka la vyama pinzani
 
Reactions: nao
Yeye huko akhera alipo anapaswa kuwaomba chadema na watanzania wote msamaha kwa maovu aliyowatendea.
 
Yeye huko akhera alipo anapaswa kuwaomba chadema na watanzania wote msamaha kwa maovu aliyowatendea.
acha uongo Magufuli anakubalika mpaka sasa wewe tu ndio humkubali na wengine hapa jamii forum. Lakini nenda Facebook, insta, utaona lundo la wafuasi wa Magufuli
 
Well spoken
 
Yeye aliambiwa atubu na Kakobe akawa mbogomaji!😝😝😝😝😝
 
Nchi ya kuzimu labda aliko kiongozi wa malaika.
 
Sio bure! Ndo maana Jiwe anaitwa Mwendazake, kumbe kuna watu hamuani kuwa JPM kapumzishwa Chato kama Marais wengine waliotangulia.
 
Jinga kabisa wewe unaandika haya kama mtoto wa chekechea, Magufuri alivyowatesa chadema unataka wamuombe msamaha? Magufuri anastahili aongezewe kuni huko kuzimu kwa kufanya unyama mkubwa dhidi ya binadamu
 
Punguza jazba mkuu, andika kama mtu mzima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…