CHADEMA mkimwomba msamaha Magufuli na kuamua kufuata sera na maono yake, 2025 mnachukua nchi kilaini sana

Hizi sera tumieni nyie wamaccm mchukue nchi tena.
Basi msije sema mmeibiwa kura. Maana labda kama ulikuwa hujazaliwa, sera za magufuli ndio sera walizokuwa wanazunguka nazo chadema nchi nzima hapo nyuma na ndio ziliwapa umaarufu. Ufisadi, ubadhirifu, matumizi mabaya ya pesa zikiwemo safari, rushwa, uzembe kazini, huduma duni,tozo mbalimbali, viongozi kutowajibishwa wakiharibu, ukosefu wa vyanzo vya uhakika vya usafiri, mikopo ya chuo na mengineyo mengi waliyohubiri chadema.

Sema siasa za chuki na ubinafsi vimewatoa kwenye right direction. Kwa sasa wanaingia na gia ya katiba mpya ambayo mfugaji wa misenyi kule na mkulima wa pamba kule bariadi wala haelewi.
 
Hao waliopewa kesi za uhujumu uchumi ndio walikuwa wanaanikwa na chadema kila siku. Na walikuwa kwenye list of shame ya chadema, ukimtoa lowasa aliyesafishwa na chadema wenyewe. Labda tuseme sasa chadema si watu wa kuwaamini tena.
 
Mkuu NaipendaTz kama ktk vigogo hao niliotaja japo hata wawili wao wangesema Mh Rais hiki tunachofanya sio sahihi twende hivi au vile angeshtuka. Tazama Nchi meparanganyika.
Mkuu jiwe alikuwa bandidu sana, the guy didn't give a fck about anything or anyone!! Kwa watu waliokuwa naye karibu njia pekee ya kuishi naye ilikuwa ni kumuepuka or kukubaliana naye kila kitu!! Hakuogopa kuvunja katiba waziwazi kabisa, kumbuka Prof. Assad alipojaribu kwenda kinyume naye nini kilimtokea, na ule ulikuwa ni uvunjifu wa katiba mchana kweupe, na hakujali
 
Kuibiws kura hawajaanza leo. 2020 mpaka wanaccm.wameua watu na wengine kubaki walemavu. Mungu akamchapa adhabu kali sama Jiwe aliyelete ushetani wote.
 
Aisee kweli bwana. Jamaa alikiwa anaogopwa mno.
 
Hao waliopewa kesi za uhujumu uchumi ndio walikuwa wanaanikwa na chadema kila siku. Na walikuwa kwenye list of shame ya chadema, ukimtoa lowasa aliyesafishwa na chadema wenyewe. Labda tuseme sasa chadema si watu wa kuwaamini tena.
Ni watu wengi mnoo walipewa hizo kesi, wengine sababu ya kugombea tu vyeo vya kisiasa kupitia upinzani, kuna uhusiano gani ya movements za kisiasa na uhujumu uchumi?? BTW kwenye ile list of shame hajaguswa hata mmoja na mpinga mafisadi JPM, Mmojawapo katika ile list (Rostam) ndiyo alikuwa swahiba wake mkubwa..
 
Basi yalikuwa ni maneno ya chadema tu kwa maadui wao kisiasa. Kama tuliambiwa lowasa fisadi kwa miaka nane kisha ndani ya wiki moja wakasema mwenye ufisadi wa lowasa aende mahakamani yawezekana pia haina ukweli na wengine.
 
Propaganda hizo hizo ambazo hamziamini ndizo hizo hizo ambazo sisi wana CCM tunaziamini kuwa Chacha Wangwe aliuawa na Mbowe, Lisu aliponea chupuchupu etc.
Halafu Mbowe alichukuliwa hatua gani. Sisi tunajua vema kwamba Wangwe aliuwawa na serikali baada ya Wangwe kuonana uso kwa uso na "marehemu" Daudi Balali huko Marekani wakati serikali ilidanganya, ili kuepuka wizi wa Kagoda, kwamba Balali alikuwa amefariki.

Nafikiri upo hapo, ingelikua kwamba Mbowe ndio alihusika na kifo cha Wangwe ccm wasingemuacha na serikali ikatuhadaa kwamba Wangwe alikufa kwenye ajali ya gari, hiyo ilikuwa ni taarifa ya serikali yenyewe.

Kifo chochote au tukio lolote linapotokea na hakuna uchaguzi wowote unaofanywa kuthibitisha mhusika ni wazi kwamba mhusika huwa ni serikali yenyewe na hilo halina ubishi labda udanganye wajinga kama wewe.
 
Kukubwa tuache kushutumiana. Tufanye kazi ya kujenga nchi.
 
ndoto za alinacha hizo mzee...ccm kutoka labda tufanye syndicate na polisi, jeshi na usalama wa taifa. ccm ni zimwi ambalo wengi hamlijui. Mnaowaona majukwaani si wenye ccm wenye ccm are in the shadow, manipulating everything kwa mbali
 
Yule alikuwa JAMBAZI haswa, hukumu aliyoipata inamtosha kabisa. Tugange yajayo
 
Kukubwa tuache kushutumiana. Tufanye kazi ya kujenga nchi.
Muwe mnaacha upotoshaji, hakuna anayeweza kuua mtu serikali ikamuacha, hasa hasa mtuhumiwa akiwa wa Chadema, ndio kabisaa una hali mbaya ni hakuna mfano.
 
Muwe mnaacha upotoshaji, hakuna anayeweza kuua mtu serikali ikamuacha, hasa hasa mtuhumiwa akiwa wa Chadema, ndio kabisaa una hali mbaya ni hakuna mfano.
Acheni na nyie upotoshaji serikali haiwezi kuua raia wake
 
Acheni na nyie upotoshaji serikali haiwezi kuua raia wake
Serikali ngapi katika Afrika zimehusishwa na mauaji ya raia wake tangu uhuru hadi sasa. Wewe unaongea utafikiri umezaliwa usiku wa kuamkia leo. Very hopeless indeed.
 
Serikali ngapi katika Afrika zimehusishwa na mauaji ya raia wake tangu uhuru hadi sasa. Wewe unaongea utafikiri umezaliwa usiku wa kuamkia leo. Very hopeless indeed.
Mara ngapi wapinzani wamekuwa vibaraka wa wakati ni??? South Africa Mandela aligoma weusi kuwaachi uchumi kwa sababu akili zilikuwa bado, cheki alichofanya Zuma, cheki Zambia etc. Kwa ufupi mijadala ya wapinzani/chama tawala haina afya. Tunapaswa kujadili ajenda za maendeleo ya taifa.
 
Huyu huyu aliyekuw mtekaji unawashauri na chadema wawekeze kwenye utekaji na unyanyasaji na kutowapa ajira watu kwa kigezo cha reli
 
Waabudu mizimu wengi uwa ni wachawi,korona itawamaliza tu taratibu mtaisha
 
Hii hangover haiishi? Mwacheni JPM apumzike CDM wamwombe marehemu msamaha kwa kipi na lengo gani. Mnaoamini misukule hayo ni yenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…