UtopoloPropaganda hizo hizo ambazo hamziamini ndizo hizo hizo ambazo sisi wana CCM tunaziamini kuwa Chacha Wangwe aliuawa na Mbowe, Lisu aliponea chupuchupu etc.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UtopoloPropaganda hizo hizo ambazo hamziamini ndizo hizo hizo ambazo sisi wana CCM tunaziamini kuwa Chacha Wangwe aliuawa na Mbowe, Lisu aliponea chupuchupu etc.
Jiwe alikuwa mtu hatari zaidi ya shetaniUmeandika ujinga hata nafsi yako inakusuta, we sema tu kuwa ulikuwa na chuki na Jpm kwa sababu aligusa maslahi yako.
Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app
Basi msije sema mmeibiwa kura. Maana labda kama ulikuwa hujazaliwa, sera za magufuli ndio sera walizokuwa wanazunguka nazo chadema nchi nzima hapo nyuma na ndio ziliwapa umaarufu. Ufisadi, ubadhirifu, matumizi mabaya ya pesa zikiwemo safari, rushwa, uzembe kazini, huduma duni,tozo mbalimbali, viongozi kutowajibishwa wakiharibu, ukosefu wa vyanzo vya uhakika vya usafiri, mikopo ya chuo na mengineyo mengi waliyohubiri chadema.Hizi sera tumieni nyie wamaccm mchukue nchi tena.
Hao waliopewa kesi za uhujumu uchumi ndio walikuwa wanaanikwa na chadema kila siku. Na walikuwa kwenye list of shame ya chadema, ukimtoa lowasa aliyesafishwa na chadema wenyewe. Labda tuseme sasa chadema si watu wa kuwaamini tena.Rais wa hovyo zaidi kuwahi kutokea TZ! Sera na maono gani? Kujiita Rais wa wanyonge as if unyonge ni sifa? Kujifanya mpinga rushwa na ufisadi wakati yeye na timu yake ndiyo walikuwa wezi namba moja nchi hii? Kudhulumu wakulima hela zao na kuzibwa midomo wasiongee? Kupiga stop vyombo vya habari visiripoti mabaya yeyote ya utawala wake?
Kuwapa kesi za uhujumu uchumi wale wote ambao alikuwa hawapendi kwa sababu zake binafsi? Kutesa upinzani na kuwageuza kuwa adui namba 1 wa taifa? Kujisifu na elimu bure wakati alikuwa hapeleki hela mashuleni? Kuzifubaza halmashauri zetu kwa kutozipelekea hela za miradi? Kutoajiri, kupandisha watu vyeo na kuongeza mishahara kisa eti anajenga SGR na Bwawa la umeme (Samia anafanya vyote kwa pamoja)? Wewe na huyo jamaa yako ni vilaza wakubwa..
Mkuu jiwe alikuwa bandidu sana, the guy didn't give a fck about anything or anyone!! Kwa watu waliokuwa naye karibu njia pekee ya kuishi naye ilikuwa ni kumuepuka or kukubaliana naye kila kitu!! Hakuogopa kuvunja katiba waziwazi kabisa, kumbuka Prof. Assad alipojaribu kwenda kinyume naye nini kilimtokea, na ule ulikuwa ni uvunjifu wa katiba mchana kweupe, na hakujaliMkuu NaipendaTz kama ktk vigogo hao niliotaja japo hata wawili wao wangesema Mh Rais hiki tunachofanya sio sahihi twende hivi au vile angeshtuka. Tazama Nchi meparanganyika.
Kuibiws kura hawajaanza leo. 2020 mpaka wanaccm.wameua watu na wengine kubaki walemavu. Mungu akamchapa adhabu kali sama Jiwe aliyelete ushetani wote.Basi msije sema mmeibiwa kura. Maana labda kama ulikuwa hujazaliwa, sera za magufuli ndio sera walizokuwa wanazunguka nazo chadema nchi nzima hapo nyuma na ndio ziliwapa umaarufu. Ufisadi, ubadhirifu, matumizi mabaya ya pesa zikiwemo safari, rushwa, uzembe kazini, huduma duni,tozo mbalimbali, viongozi kutowajibishwa wakiharibu, ukosefu wa vyanzo vya uhakika vya usafiri, mikopo ya chuo na mengineyo mengi waliyohubiri chadema.
Sema siasa za chuki na ubinafsi vimewatoa kwenye right direction. Kwa sasa wanaingia na gia ya katiba mpya ambayo mfugaji wa misenyi kule na mkulima wa pamba kule bariadi wala haelewi.
Aisee kweli bwana. Jamaa alikiwa anaogopwa mno.Mkuu jiwe alikuwa bandidu sana, the guy didn't give a fck about anything or anyone!! Kwa watu waliokuwa naye karibu njia pekee ya kuishi naye ilikuwa ni kumuepuka or kukubaliana naye kila kitu!! Hakuogopa kuvunja katiba waziwazi kabisa, kumbuka Prof. Assad alipojaribu kwenda kinyume naye nini kilimtokea, na ule ulikuwa ni uvunjifu wa katiba mchana kweupe, na hakujali
Ni watu wengi mnoo walipewa hizo kesi, wengine sababu ya kugombea tu vyeo vya kisiasa kupitia upinzani, kuna uhusiano gani ya movements za kisiasa na uhujumu uchumi?? BTW kwenye ile list of shame hajaguswa hata mmoja na mpinga mafisadi JPM, Mmojawapo katika ile list (Rostam) ndiyo alikuwa swahiba wake mkubwa..Hao waliopewa kesi za uhujumu uchumi ndio walikuwa wanaanikwa na chadema kila siku. Na walikuwa kwenye list of shame ya chadema, ukimtoa lowasa aliyesafishwa na chadema wenyewe. Labda tuseme sasa chadema si watu wa kuwaamini tena.
Basi yalikuwa ni maneno ya chadema tu kwa maadui wao kisiasa. Kama tuliambiwa lowasa fisadi kwa miaka nane kisha ndani ya wiki moja wakasema mwenye ufisadi wa lowasa aende mahakamani yawezekana pia haina ukweli na wengine.Ni watu wengi mnoo walipewa hizo kesi, wengine sababu ya kugombea tu vyeo vya kisiasa kupitia upinzani, kuna uhusiano gani ya movements za kisiasa na uhujumu uchumi?? BTW kwenye ile list of shame hajaguswa hata mmoja na mpinga mafisadi JPM, Mmojawapo katika ile list (Rostam) ndiyo alikuwa swahiba wake mkubwa..
Halafu Mbowe alichukuliwa hatua gani. Sisi tunajua vema kwamba Wangwe aliuwawa na serikali baada ya Wangwe kuonana uso kwa uso na "marehemu" Daudi Balali huko Marekani wakati serikali ilidanganya, ili kuepuka wizi wa Kagoda, kwamba Balali alikuwa amefariki.Propaganda hizo hizo ambazo hamziamini ndizo hizo hizo ambazo sisi wana CCM tunaziamini kuwa Chacha Wangwe aliuawa na Mbowe, Lisu aliponea chupuchupu etc.
Kukubwa tuache kushutumiana. Tufanye kazi ya kujenga nchi.Halafu Mbowe alichukuliwa hatua gani. Sisi tunajua vema kwamba Wangwe aliuwawa na serikali baada ya Wangwe kuonana uso kwa uso na "marehemu" Daudi Balali huko Marekani wakati serikali ilidanganya, ili kuepuka wizi wa Kagoda, kwamba Balali alikuwa amefariki.
Nafikiri upo hapo, ingelikua kwamba Mbowe ndio alihusika na kifo cha Wangwe ccm wasingemuacha na serikali ikatuhadaa kwamba Wangwe alikufa kwenye ajali ya gari, hiyo ilikuwa ni taarifa ya serikali yenyewe.
Kifo chochote au tukio lolote linapotokea na hakuna uchaguzi wowote unaofanywa kuthibitisha mhusika ni wazi kwamba mhusika huwa ni serikali yenyewe na hilo halina ubishi labda udanganye wajinga kama wewe.
ndoto za alinacha hizo mzee...ccm kutoka labda tufanye syndicate na polisi, jeshi na usalama wa taifa. ccm ni zimwi ambalo wengi hamlijui. Mnaowaona majukwaani si wenye ccm wenye ccm are in the shadow, manipulating everything kwa mbaliChadema muda wao umekwisha 2025 tunakuja na chama kipyaaaa kilichosajiriwa miaka mingi lakini kinakwenda kujaza wananchama NA WAFUASI na kitachukua dola. Utabiri wa Mwl Nyerere kutimia 2025 baada ya kusemwa mwaka 1995 ni baada ya miaka 30 ya umri wa YESU.
Yule alikuwa JAMBAZI haswa, hukumu aliyoipata inamtosha kabisa. Tugange yajayoHabari za leo ndugu zangu wa chama cha CHADEMA. Leo nataka niwaibie siri ila siwalazimishi kuifuata ni juu yenu.
Ni hivi,
"CHADEMA mkimwomba msamaha Magufuli na kuamua kufuata sera na maono yake, 2025 mnachukua nchi kilaini sana".
Nimeyasema haya kwasababu alitaka mjenge naye uchumi lakini mlianza usumbufu. Mkaanza kumsumbua, aliteua hadi watu kutoka chama chenu lakini bado mliendelea kuwa wasumbufu.
Hamkupenda kushirikiana naye ni kwasababu hamkumkubali. Sasa wakati wa kumkubali ndio huu, kuomba msamaha na kufuata sera na nyayo zake. Na sababu za kutomkubali na usumbufu wote mlioanza kumletea chanzo chake ilikua ni sanduku la kula. Hamkuamini ushindi wake 2015.
Basi hamna budi kujitakasa na kumkubali sasa, 2025 ndipo mtaweza kushinda. Nimesema haya kwasababu watanzania kuna kitu wanakiamini. Hicho ndicho mwatakiwa kukifuata.
Mkifanya hivyo hamtahitaji hata kupiga kampeni wala kuitisha mikutano na wananchi au waandishi wa habari. Mtajikuta mnakubalika tu.
Kama hamniamini jaribuni hata saivi mtume tu kavideo Facebook au Instagram, alafu mje kusimulia hapa jamii forum.
Muwe mnaacha upotoshaji, hakuna anayeweza kuua mtu serikali ikamuacha, hasa hasa mtuhumiwa akiwa wa Chadema, ndio kabisaa una hali mbaya ni hakuna mfano.Kukubwa tuache kushutumiana. Tufanye kazi ya kujenga nchi.
Acheni na nyie upotoshaji serikali haiwezi kuua raia wakeMuwe mnaacha upotoshaji, hakuna anayeweza kuua mtu serikali ikamuacha, hasa hasa mtuhumiwa akiwa wa Chadema, ndio kabisaa una hali mbaya ni hakuna mfano.
Serikali ngapi katika Afrika zimehusishwa na mauaji ya raia wake tangu uhuru hadi sasa. Wewe unaongea utafikiri umezaliwa usiku wa kuamkia leo. Very hopeless indeed.Acheni na nyie upotoshaji serikali haiwezi kuua raia wake
Mara ngapi wapinzani wamekuwa vibaraka wa wakati ni??? South Africa Mandela aligoma weusi kuwaachi uchumi kwa sababu akili zilikuwa bado, cheki alichofanya Zuma, cheki Zambia etc. Kwa ufupi mijadala ya wapinzani/chama tawala haina afya. Tunapaswa kujadili ajenda za maendeleo ya taifa.Serikali ngapi katika Afrika zimehusishwa na mauaji ya raia wake tangu uhuru hadi sasa. Wewe unaongea utafikiri umezaliwa usiku wa kuamkia leo. Very hopeless indeed.
Huyu huyu aliyekuw mtekaji unawashauri na chadema wawekeze kwenye utekaji na unyanyasaji na kutowapa ajira watu kwa kigezo cha reliHabari za leo ndugu zangu wa chama cha CHADEMA. Leo nataka niwaibie siri ila siwalazimishi kuifuata ni juu yenu.
Ni hivi,
"CHADEMA mkimwomba msamaha Magufuli na kuamua kufuata sera na maono yake, 2025 mnachukua nchi kilaini sana".
Nimeyasema haya kwasababu alitaka mjenge naye uchumi lakini mlianza usumbufu. Mkaanza kumsumbua, aliteua hadi watu kutoka chama chenu lakini bado mliendelea kuwa wasumbufu.
Hamkupenda kushirikiana naye ni kwasababu hamkumkubali. Sasa wakati wa kumkubali ndio huu, kuomba msamaha na kufuata sera na nyayo zake. Na sababu za kutomkubali na usumbufu wote mlioanza kumletea chanzo chake ilikua ni sanduku la kula. Hamkuamini ushindi wake 2015.
Basi hamna budi kujitakasa na kumkubali sasa, 2025 ndipo mtaweza kushinda. Nimesema haya kwasababu watanzania kuna kitu wanakiamini. Hicho ndicho mwatakiwa kukifuata.
Mkifanya hivyo hamtahitaji hata kupiga kampeni wala kuitisha mikutano na wananchi au waandishi wa habari. Mtajikuta mnakubalika tu.
Kama hamniamini jaribuni hata saivi mtume tu kavideo Facebook au Instagram, alafu mje kusimulia hapa jamii forum.
Waabudu mizimu wengi uwa ni wachawi,korona itawamaliza tu taratibu mtaishaHabari za leo ndugu zangu wa chama cha CHADEMA. Leo nataka niwaibie siri ila siwalazimishi kuifuata ni juu yenu.