CHADEMA mkimwomba msamaha Magufuli na kuamua kufuata sera na maono yake, 2025 mnachukua nchi kilaini sana

Leo hayupo Nani Yuko nyuma ya yanayoendelea yote kwa upinzani,ikiwemo mikutano yenu kuzingirwa na mapolisi,ofisi zenu kuchomwa moto,kiongozi wenu kurundikwa ndani miez takribani 4 na kesi nzito na mengine mengi ama kweli watu wamesoma LAKINI hawajaelimika.Lakini mbona waliosoma zamani enzi za mkoloni na mwishoni mwa miaka ya 70 walikua na uelewa mkubwa kuliko Hawa wa Sasa wakati elimu ni ile ile ya mkoloni,tatizo ni nini
 
Hakika wewe umenitangulia kupost thread mi mwenyewe nilkua na mawazo Kama yako.Kuchange gia angani sio kosa Kama walivyofanya 2015 basi wanaweza wakatumia njia hiyo hiyo Sasa kuelekea 2025 kwa chini chini bila kuexpose Sera zao kwa CCM kwakua ataziiba na kuzitafsri kua zake,wakienda na ule mwelekeo aliokua nao magufuli wakarekebisha mapungufu madogo wanayoona alikua wrong basi nchi wanachukua.Tatizo lao wanaamini mawazo yao mfu ndio yako sahihi mawazo ambayo hata wake zao hawayaamini.
 
Kwani amefufuka? Au Chadema wamfuate huko jehanam aliko?
 


"watanzania kuna kitu wanakiamini. Hicho ndicho mwatakiwa kukifuata"

they will deny this in their heart, they always do, na hawafiki mbali
 
Unataka CHADEMA waanze kuua wanaowapinga?
 
Adui mkubwa wa Mtanzania ni CCM, katiba ya mwaka 1977 na Mwenge unaomaliza mabilioni bila sababu yoyote.
 
Adui mkubwa wa Mtanzania ni CCM, katiba ya mwaka 1977 na Mwenge unaomaliza mabilioni bila sababu yoyote.
Njia ya kuishinda CCM sio kuuchukia mwenge,Wala sherehe za uhuru Bali nyie fanyeni Kama mnaunga mkono juhudi za kukimbiza mwenge na sherehe nyingine zote,mkishapata hiyo dola mtakua huru kuvifuta vyote na kufanya yenu.
 
Njia ya kuishinda CCM sio kuuchukia mwenge,Wala sherehe za uhuru Bali nyie fanyeni Kama mnaunga mkono juhudi za kukimbiza mwenge na sherehe nyingine zote,mkishapata hiyo dola mtakua huru kuvifuta vyote na kufanya yenu.
Yaani ni utaahira wa hali ya juu kufuata mbinu za kumshinda adui yako ambazo yeye ndiye anakuambia uzifuate ili umshinde
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…