Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ninaropoka tu mkuu nisaidie mwenzio nilisoma tu kichwa cha habari wewe unaelewa sana nielewesheUnafahamu ni kwanini Obama Care ime fail au unaropoka tu?
Ooh! Kama ni hivyo ni possible, basi nilimuelewa vibayaLissu hakuna mahala aliposema atatoa afya bure kwa kila mtu, bali alisema bima kwa kila mtu kwa bei nafuu.
Mkuu mi sio mtu wa kufanya analysis za aina hiyo, labda unisaidie wewe nijue wapi nimefelimkuu ebu ni jibu kwanza hili swali...trilioni 1.5 inaweza kutoa huduma za afya bure kwa watanzania wangapi?ukinijibu hili swali nitajua kama lissu ni muongo or mkweli
Ndo hivyo hata Kama akitoa bima za gharama nafuu, ubora wa huduma za afya utadorora sana. Itakuwa more than worseSi anaropola tu,yeye mwenyewe huwa analalamika kanyimwa pesa za matibabu na serikali,kumbe kwenye matibabu lazima uwe na pesa.Lissu ni muongo sana.
Wewe boya kweli. Sipendi watu wanaoongea mambo wasiyoyajua kwa undani. Nani alikuambia Obama alishindwa Medicare policy yake? Kwa taarifa yako Obama hakushindwa ila demokrasia ndani ya senete ndio ilimwangusha. Maseneta wa republican walipinga. Unaongea vitu usivyovijua unadhani kila mtu ni mbumbumbu kama wewe.hiyo hata obama marekani alishindwa nchi tajiri itakuwa kwa huyu kibaraka wa mabeberu wameshamdanganya wamemtosa hata kampeni hawamsaidii
Kwani mkuu mapato ya chama unataka yatumikaje labda? Bajeti yao inaruhusu kufanya kampeni za aina hiyoLb7 ikiwa na jipya ndipo mtu unaweza anza kushangaa.
Hivi hizi ndege 5 nyingine zitakazokuja kununuliwa na jiwe bila kuangalia vipaumbele ni za nini na zitagharimu pesa ngapi?
Huu uwekezaji wa kupendezesha jiji la Dodoma wakati kwingine kupo hivi ni wa nini?
Barabara ya Rusahunga Rusumo mtaji kwa wagombea
CCM mnachukua ruzuku kiasi gani? Hizi pesa zinazoendelea hulipwa wasanii koko nazo vipi?
Hizi gharama za misafara ya jiwe ya magari 100+ vipi?
Gharama za kuendeshea serikali Chatto vipi?
Uwekezaji unaoendelea Chatto na geita vipi?
Kwa ufupi kwa kuweka vipaumbele tu sawa sawa, pesa lukuki mbona zitakuwapo?
kumbe wewe sio mtu wa kufanya analysis...unasemaje mtu muongo wakati huwezi kufanya analysis ya anachokiongea??Mkuu mi sio mtu wa kufanya analysis za aina hiyo, labda unisaidie wewe nijue wapi nimefeli
Nimeona CHADEMA ikijinadi kuwa ndani ya siku mia moja watahakikisha huduma za afya inatolewa bure kwa kushirikiana na taasisi binafsi. Kwangu hili itakuwa jambo jema kwa watu zaidi ya watu millioni 60 watapewa huduma bure kabisa bila kuchangia chochote.
Lakini nina mashaka na ahadi hii
1. Kwanza CHADEMA na wapinzani mmekataa kuwa Tanzania siyo nchi yenye uchumi wa kati. Kwa mantiki hiyo Tanzania bado ni nchi maskini hivyo huduma bure za afya ni ahadi ya uongo.
2. Ni mbinu gani mtatumia ndani ya siku mia moja kuifanya nchi iwe tajiri kiasi cha kufanya huduma za afya iwe bure ?
3. Nchi kama Marekani, England, na nchi tajiri duniani hakunaga huduma bure za afya. Na kama itakuwepo lazima kuwa na udhibiti wa rapid population growth maana unawezaje kutoa huduma bure za afya kwa kinamama wanaojifungua kila mwaka?
4. Hivi unaposema utatoa huduma bure za afya uanaelewa kweli ulisemalo? Hivi unaelewa kuwa gharama za huduma ya afya ni kubwa kuanzia mwanafunzi anapoanza masomo ya huduma za afya, vifaa Tiba na madawa?
5.Unaposema utatoa huduma bure za afya hebu tuambie Tanzania kuna, viwanda vingapi vya madawa na vifaa tiba? India, China etc kuna viwanda vingi vya madawa na vifaa tiba, je kwao huduma za afya ni bure?
7. Mpaka sasa watoa huduma za afya wanapata shida kwa upande wa NHIF maana gharama zao ni ndogo, makato makubwa, kiasi cha kuathiri uendeshaji Bora wa huduma za afya huko private hospitals. Sasa ukisema utashorikiana na private sector kutoa huduma za afya si ndiyo itakuwa hovyo kabisa?
8.Ziko huduma unaweza kutoa bure lakini siyo huduma za afya. Huduma bure mashuleni is possible because you need black board, chaki na mishahara ya wafanyakazi. Daftari, vitabu, penseli, pen mzazi ananunua mwenyewe.
9. Wapinzani mnalalamikia wafanyakazi na wafanyabiasha kulipa kodi sasa mtatumia mbinu gani kukuza uchumi?
10. Mnapinga miradi mikubwa iliyoanzishwa na awamu ya tano na mkiingia Ikulu nihakika mtaifuta. Mradi mkubwa wa ujenzi wa bwawa la umeme, mradi wa train wa mwendo kasi, mradi wa ndege etc. Ni miradi inayotupeleka uchumi wa kati na baadae kutuwezesha kutoa bure Baadhi ya huduma. Sasa miradi hiyo yote mnaiponda, kwenu haina tija mtaipiga chini. Sasa kwanini Mnatoa ahadi za uongo kuwa utatoa huduma bure za afya?
11. Makinikia mnasema siyo ya kwetu, mnalalamikia ukuta wa Mererani, mnasema serikali isifanye biashara sasa mimi nashindwa kuelewa hiyo huduma ya afya itakayotolewa bure itakuwa na kubera gani.
Karibuni kwa majibu ya hoja zangu na siyo kwa matusi na mihemko!
Mkuu sera ya kwamba bima zitatolewa kwa gharama nafuu, halafu aseme atawaondolea Kodi baadhi ya makundi ya wajasiriamali maana yake kuna makundi yataongezewa Kodi kwa kiwango kikubwa. Kufanya unafuu wa huduma za afya lazima taxes zitaongezeka pakubwaWewe boya kweli. Sipendi watu wanaoongea mambo wasiyoyajua kwa undani. Nani alikuambia Obama alishindwa Medicare policy yake? Kwa taarifa yako Obama hakushindwa ila demokrasia ndani ya senete ndio ilimwangusha. Maseneta wa republican walipinga. Unaongea vitu usivyovijua unadhani kila mtu ni mbumbumbu kama wewe.
Mkuu ijulikane tu kuwa sera zinatolewa ili watu wapate kura tu, hapa hamna haha ya analysis unayoitaka wewekumbe wewe sio mtu wa kufanya analysis...unasemaje mtu muongo wakati huwezi kufanya analysis ya anachokiongea??
Basi itakuwa kodi ya kichwa, sainunu LAIZER ana wake 32 watoto 76 house girl 48 walinzi 4 kwenye boma lake, akilipia bima ya laki kwa kila mtu kafirisika tayariLissu amesema kila Mtanzania atakua na Bima ya afya ya bei nafuu na ataichangia. Si wote tutaumwa kwa pamoja hii inamaana pesa za wazima zitatibu wagonjwa.
kweli mkuu,kuna wengine waliahidi milioni 50 kila kijiji na ahadi nyingine kemkem alafu baada ya kupata kura wamejikausha kama si wao..wamerudi tena safari hii kutulaghai na uongo mwingine..wanafkiri tumesahauMkuu ijulikane tu kuwa sera zinatolewa ili watu wapate kura tu, hapa hamna haha ya analysis unayoitaka wewe
CHADEMA sindio walvosema kweny ilani yaoHuduma za afya bure umezusikia lini wapi kwa nani ?
Nilizoziona kwenye tv Ni ndege tano bombardier 2, airbus 220 2 na dreamliner moja, hizi sita zingine zilikuja lini na zimeegeshwa wapi?Lb7 ikiwa na jipya ndipo mtu unaweza anza kushangaa.
Hivi hizi ndege 5 nyingine zitakazokuja kununuliwa na jiwe bila kuangalia vipaumbele ni za nini na zitagharimu pesa ngapi?
Huu uwekezaji wa kupendezesha jiji la Dodoma wakati kwingine kupo hivi ni wa nini?
Barabara ya Rusahunga Rusumo mtaji kwa wagombea
CCM mnachukua ruzuku kiasi gani? Hizi pesa zinazoendelea hulipwa wasanii koko nazo vipi?
Hizi gharama za misafara ya jiwe ya magari 100+ vipi?
Gharama za kuendeshea serikali Chatto vipi?
Uwekezaji unaoendelea Chatto na geita vipi?
Kwa ufupi kwa kuweka vipaumbele tu sawa sawa, pesa lukuki mbona zitakuwapo?
Suala la elimu bure linawezekana japo ubora pia umepungua, kwa sababu gharama za kulipia shuleni ni fixed kila mwaka zinajulikana, hivyo serikali inapata urahisi wa kupangia bajeti ambayo iko fixed pia.Chadema waliposema kwamba watatoa Elimu bure mlisema ni uongo kwamba haiwezakani, leo mnajinadi kuwa mnatoa elimu bure je imewezekanaje? ni jibu tafadhali sana