Lissu alisema kuhusu bima, mambo ya bure nayasikia kwa huyu matagaHuduma za afya bure umezusikia lini wapi kwa nani ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lissu alisema kuhusu bima, mambo ya bure nayasikia kwa huyu matagaHuduma za afya bure umezusikia lini wapi kwa nani ?
Bima nafuu Athali zake ni kwa watoa huduma maana gharama wanazolipia ni ndogo sana kwa mfano NHIF gharama zao ni ndogo sana.anayeumia ni mtoa huduma anayefadhika ni mgonjwa maana anatakiwa atibiwe bila kubaguliwa ilhali nalipiwa kiduchu.Sasa mkuu akitoa bima za gharama nafuu ubora utadorola vipi kwa sasa hali ipoje ambapo wanaotozwa bima nighari, navipi walalahoi wasio nabima wanatibiwaje?.
Nani kaua kama sio serikali zenu za ccm ?K
Kwa uelewa wako mdogo uanona miradi hiyo haina tija kwa taifa?nenda india na mataifa mengine walianza ku invest Kwenye miradi kama hiyo.sustainable investments.ikiwa ubinafisaji ulitushinda reli tukaua,shirika la ndege tukaua ebu tuambie nikipi tunaweza?
Hapo changamoto ni kuwa utakuwa umepunguza ajira na pia huduma kwa wananchi zitadorora.waweza kumtoa mkuu wa wilaya lakini ukakuta unalazimika kumweka anayefanana na mkuu wa wilaya ili kuhudumia wananchi kwa ukaribu zaidiHivi mishahara ya wabunge ikipunguzwa na matumizi ya anasa misafara, magari ya kifahari ya kauzwa, wakuu wa Mikoa na Wilaya wakafutwa na serikali ikawa ndogo mawazi si zaidi ya 15, bado tu fedha hazitatosha?
DED, DAS na Mwenyekiti wa council wana kazi gani?Ha
Hapo changamoto ni kuwa utakuwa umepunguza ajira na pia huduma kwa wananchi zitadorora.waweza kumtoa mkuu wa wilaya lakini ukakuta unalazimika kumweka anayefanana na mkuu wa wilaya ili kuhudumia wananchi kwa ukaribu zaidi
Kweli haya nimawazo ya ccm.Ha
Hapo changamoto ni kuwa utakuwa umepunguza ajira na pia huduma kwa wananchi zitadorora.waweza kumtoa mkuu wa wilaya lakini ukakuta unalazimika kumweka anayefanana na mkuu wa wilaya ili kuhudumia wananchi kwa ukaribu zaidi
Watoa huduma siwanapata ruzuku kutoka serikalini?.Bi
Bima nafuu Athali zake ni kwa watoa huduma maana gharama wanazolipia ni ndogo sana kwa mfano NHIF gharama zao ni ndogo sana.anayeumia ni mtoa huduma anayefadhika ni mgonjwa maana anatakiwa atibiwe bila kubaguliwa ilhali nalipiwa kiduchu.
Nimekuelewa vizuri Sana mkuu.Kwenye Budget yeyote huwa kunakitu kinaitwa unforeseen, kama unahitaji utekeleze Budget yako kwa 100% lazima uongeze pesa yatahadhari kama ulivyokadilia na inakua na ongezeko la( 2%-5% )ya budget nzima. Hio ndio itafidia yale ambayo hukuyatarajia.
Je tujiulize kwa sasa budget ya afya inatekelezwa japo kwa asilimia 50?.
hiyo hata obama marekani alishindwa nchi tajiri itakuwa kwa huyu kibaraka wa mabeberu wameshamdanganya wamemtosa hata kampeni hawamsaidii
we akili hauna yaani unaweza kusema hajafanya lolote wakati mama yako na baba yako uliowatelekeza kule kijijini wanapita kwenye lami kwenda kuuza kahawa yao na ndizi?Maswali muulize Jiwe aliyekuwa ya Kodi za watanzania kwa miaka mitano ,halafu akadhindwa kuajiri , kupandisha mishahara , madaraja , huyo nfio muulize resources anazo kwa miaka mitano lakini empty head tabulalasa.
Mimi nilisikia kila Mtanzania atakuwa na Bima ya Afya siyo tiba bure au nilsikia tofautiHuyu Lissu ana sera nzuri Ila zingine ni uongo usioweza kutekelezwa hata apewe miaka 20. Kutoa huduma ya afya bure kwa kila mtu ni uongo wa SGR