Uchaguzi 2020 CHADEMA mkisema mtatoa Huduma za Afya bure, naomba mjibu hoja zifuatazo

Hivi mishahara ya wabunge ikipunguzwa na matumizi ya anasa misafara, magari ya kifahari ya kauzwa, wakuu wa Mikoa na Wilaya wakafutwa na serikali ikawa ndogo mawazi si zaidi ya 15, bado tu fedha hazitatosha?
 
kweli mkuu,kuna wengine waliahidi milioni 50 kila kijiji na ahadi nyingine kemkem alafu baada ya kupata kura wamejikausha kama si wao..wamerudi tena safari hii kutulaghai na uongo mwingine..wanafkiri tumesahau
Sijakataa mkuu. Ndio maana nimesema sera zinatolewa ili watu wapate kura tu.
 
Basi itakuwa kodi ya kichwa, sainunu LAIZER ana wake 32 watoto 76 house girl 48 walinzi 4 kwenye boma lake, akilipia bima ya laki kwa kila mtu kafirisika tayari
Sasa tukizaana kwakua matiti ya kunyonyeshea watoto tunayo na shule ni bure Bima ya afya tutalipaje?
 
Hivi mishahara ya wabunge ikipunguzwa na matumizi ya anasa misafara, magari ya kifahari ya kauzwa, wakuu wa Mikoa na Wilaya wakafutwa na serikali ikawa ndogo mawazi si zaidi ya 15, bado tu fedha hazitatosha?
Duuh we jamaa aisee!!!
 
Ndo hivyo hata Kama akitoa bima za gharama nafuu, ubora wa huduma za afya utadorora sana. Itakuwa more than worse
Sasa mkuu akitoa bima za gharama nafuu ubora utadorola vipi kwa sasa hali ipoje ambapo wanaotozwa bima nighari, navipi walalahoi wasio nabima wanatibiwaje?.
 
Hii ni hatari unaambiwa wafanyakazi wataboreshewa masirahi yao, hali ya kuwa hawajui vyanzo vya mapato.
 
Kwenye Budget yeyote huwa kunakitu kinaitwa unforeseen, kama unahitaji utekeleze Budget yako kwa 100% lazima uongeze pesa yatahadhari kama ulivyokadilia na inakua na ongezeko la( 2%-5% )ya budget nzima. Hio ndio itafidia yale ambayo hukuyatarajia.

Je tujiulize kwa sasa budget ya afya inatekelezwa japo kwa asilimia 50?.
 
Hapa ndo utawajua wafuasi wa Tl

All are fool.
 
Sijaiona ndiyo maana nimekuuliza?
Basi sawa kama hujaona mana kila mtu ana uwezo wake tofauti wa utambuzi sasa wako umeishia hapo basi nadhani hakuna haja ya kutaka kujua zaidi mkuu.
 
Sera za Lissu na chadema yake ni uongo mtupu, huwezi na katu asilani taifa hili haliwezi kuwapa watu bima ya afya kwa 100%, kwa uchumi gani tulionaó?

Amesema atapunguza kodi, atakusanya nini ili apate pesa za kuendesha nchi.

Nakubaliana nae kwenye marejesho ya mikopo ya wanachuo, 15% ni kubwa sana kumkamua kijana aliyemaliza chuo.
 
Watakwambia jikite kwenye hoja?
Wao kila kitu ni bure hawasemi pesa watatoa wapi, kodi yenyewe wanataka watu wasilipe kodi, labda watapewa pesa na Amsterdam
 
Wengine hayo maisha ya elimu bure isipokuwa sare za shule mzazi ndio ananunua na matibabu bure kabisa tumeyapitia.
 
Hajasema huduma bure. Amesema Bima ya afya iliyo Bora itakayohakikisha watu wote wanapata matibabu ya uhaka. Bila kuambiwa hapa Bima yako halipia au dawa hii hailipwi na Bima. Bima inatakiwa ilipie kila kitu kwa kila mtu. Siyo Bima za kibaguzi. Hiki ndicho anasema Lissu na huo ndio msimamo was CHADEMA.

Hivyo acheni kupotosha watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…