CHADEMA mkitaka muone vituko ombeni wahudhurie mikutano yenu walijiandikisha tu kupiga kura

CHADEMA mkitaka muone vituko ombeni wahudhurie mikutano yenu walijiandikisha tu kupiga kura

Error 404

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2022
Posts
2,151
Reaction score
3,493
Hizi jaza jaza hao watu huwa hawapigi kura , hata mimi kesho ntakuwepo mkutanoni ila sijawahi piga kura Serikali za mitaa uchaguzi mkuu ni mara moja tu
 
Wananchi hawajiandikishi kupiga kura kwa kufuata itikadi ya chama cha siasa.

Huyo unayedhani ni mwanaccm kindakindaki siku ya uchaguzi anaweza kumpigia kura mgombea wa chama kingine cha siasa
 
Back
Top Bottom