Wamekiri wenyewe kwamba waliiba kura na kuibiwa wafanya biashara pesa zaoSi wazo baya kuingia kwenye chaguzi zijazo 2024/2025. The main concern ni hii:
1. It is very likely CCM watafanya dhuluma kama waliyofanya 2020,MSIWAAMINI KAMWE. mmeweka mikakati ipi kuhakikisha kwa namna yoyote MTAZUIA UCHAFU HUO?
a) Kuna kuenguliwa
b) mawakala kutoingia kenye vyumba vya kupgia kura
c) Polisi kukimbia na mabox ya kura
d) Polisi kuingia kwa nguvu kwenye vyumba vya kupigia kura na mabox ya kura
e) etc etc etc...... na mengine mengi yanayoweza kubuniwa na CCM ya kuiba kura
2. NAWAHAKIKISHIENI HAYA YATATOKEA TENA, CCM MSIWAAMINI KAMWE, KATU MSIWAAMINI, MNAYAKABIRI VIPI?
2025 tunasubiri malalamiko mapyaSi wazo baya kuingia kwenye chaguzi zijazo 2024/2025. The main concern ni hii:
1. It is very likely CCM watafanya dhuluma kama waliyofanya 2020,MSIWAAMINI KAMWE. mmeweka mikakati ipi kuhakikisha kwa namna yoyote MTAZUIA UCHAFU HUO?
a) Kuna kuenguliwa
b) mawakala kutoingia kenye vyumba vya kupgia kura
c) Polisi kukimbia na mabox ya kura
d) Polisi kuingia kwa nguvu kwenye vyumba vya kupigia kura na mabox ya kura
e) etc etc etc...... na mengine mengi yanayoweza kubuniwa na CCM ya kuiba kura
2. NAWAHAKIKISHIENI HAYA YATATOKEA TENA, CCM MSIWAAMINI KAMWE, KATU MSIWAAMINI, MNAYAKABIRI VIPI?
Hahah2025 tunasubiri malalamiko mapya
π±πSi wazo baya kuingia kwenye chaguzi zijazo 2024/2025. The main concern ni hii:
1. It is very likely CCM watafanya dhuluma kama waliyofanya 2020,MSIWAAMINI KAMWE. mmeweka mikakati ipi kuhakikisha kwa namna yoyote MTAZUIA UCHAFU HUO?
a) Kuna kuenguliwa
b) mawakala kutoingia kenye vyumba vya kupgia kura
c) Polisi kukimbia na mabox ya kura
d) Polisi kuingia kwa nguvu kwenye vyumba vya kupigia kura na mabox ya kura
e) etc etc etc...... na mengine mengi yanayoweza kubuniwa na CCM ya kuiba kura
2. NAWAHAKIKISHIENI HAYA YATATOKEA TENA, CCM MSIWAAMINI KAMWE, KATU MSIWAAMINI, MNAYAKABIRI VIPI?
Tindo usiwe na wasiwasi kamanda kwa maoni ya CHADEMA aliyewaibia uchaguzi ameshaenda zake ujao utakuwa huru na wa haki.Kuendelea kushiriki chaguzi za nchi hii kwenye Sheria na katiba hii ni upuuzi kama upuuzi mwingine. Kwa Sasa Tanzania hakuna uchaguzi, bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu Mweusi kwenye box la kura. Ni chaguzi zitakazokuwa na wapiga kura wachache mno.
Mifumo ya wizi wa kura Bado ipo na ccm Hawako tayari ibadilike. Dhalimu magu alikuja kuweka wazi udhaifu huo wa mifumo, lakini hicho ni kilio Cha muda mrefu. Kuendelea kushiriki chaguzi kwa utashi wa rais ni upuuzi kama upuuzi mwingine.Tindo usiwe na wasiwasi kamanda kwa maoni ya CHEDEMA aliyewaibia uchaguzi ameshaenda zake ujao utakuwa huru na wa haki.
Samia hawezi kuwafanyia hivyo ππSi wazo baya kuingia kwenye chaguzi zijazo 2024/2025. The main concern ni hii:
1. It is very likely CCM watafanya dhuluma kama waliyofanya 2020,MSIWAAMINI KAMWE. mmeweka mikakati ipi kuhakikisha kwa namna yoyote MTAZUIA UCHAFU HUO?
a) Kuna kuenguliwa
b) mawakala kutoingia kenye vyumba vya kupgia kura
c) Polisi kukimbia na mabox ya kura
d) Polisi kuingia kwa nguvu kwenye vyumba vya kupigia kura na mabox ya kura
e) etc etc etc...... na mengine mengi yanayoweza kubuniwa na CCM ya kuiba kura
2. NAWAHAKIKISHIENI HAYA YATATOKEA TENA, CCM MSIWAAMINI KAMWE, KATU MSIWAAMINI, MNAYAKABIRI VIPI?
Kwa mujibu wa falasafa ya mzee mbowe na makamu wake Tundu Lissu ,chaguzi itakuwa huru na haki kama wafuatao watakuwa wabunge;Si wazo baya kuingia kwenye chaguzi zijazo 2024/2025. The main concern ni hii: