Masinki
JF-Expert Member
- Dec 18, 2014
- 709
- 478
Ni makosa ambayo wanayafanya Kwa mara ya Pili ndani ya vipindi muhimu vya Uchaguzi, Uchaguzi wa mwaka 2015 walikosea na hii tena wamekosea.
Moja ya advantage kubwa ya Chama cha Mapinduzi wakiacha pressure na mihemuko Kwa kipindi hiki ni kama hawana Mpinzani katika nafasi ya Uraisi, Tundu Lissu ni mwepesi sana katika Siasa za majukwaani kwanza Hana Hoja za msingi zinazofanya wananchi walio wengi kumkubali.
Kuna wachache watamshabikia lakini ukweli ni kwamba atashindwa vibaya tena Kampeni zikianza atakimbia Nchi Kwa Hoja atakazoshindiliwa
Ningekuwa Mimi ndiye mmoja wa kamati kuu ningeshauri ateuliwe Lazaro Nyalandu kwani anaonekana kuwa na Hoja ambazo hata kama asingeshinda zingeisaidia Serikali katika kujenga lakini Tundu Lissu anaongelea personal Issues na ugomvi wake na Serikali kuliko Hoja za Maendeleo,sina uhakika kama wananchi tunataka kusikia alivyoumia,alivyotibiwa na anavyojisikia Kwa SASA. Tunahitaji Sera zake za kimaendeleo kwamba atalifanyia Nini Taifa hili endapo atashinda?
Bahati mbaya zaidi Kwa Tundu Lissu ni mtu ambaye anajiona anajua kila kitu hataki Ushauri wala hataki kubadilika ni Yule Yule wa mwaka 2015,2016,2017,2018 kiufupi ni Msomi asiyejielewa Kwa Maendeleo aliyofanya Magufuli ilipaswa kuletwa Mpinzani mwenye agenda za kutosha!
Ni heri Membe kuliko huyu kituko wenu!