Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unawashwa na nini? Yanakuhusu nini? wacha wakosee.. wewe si mmepatia kwa Jiwe, sasa huku kunakuwasha nini?Ni makosa ambayo wanayafanya Kwa mara ya Pili ndani ya vipindi muhimu vya Uchaguzi, Uchaguzi wa mwaka 2015 walikosea na hii tena wamekosea.
Moja ya advantage kubwa ya Chama cha Mapinduzi wakiacha pressure na mihemuko Kwa kipindi hiki ni kama hawana Mpinzani katika nafasi ya Uraisi, Tundu Lissu ni mwepesi sana katika Siasa za majukwaani kwanza Hana Hoja za msingi zinazofanya wananchi walio wengi kumkubali.
Kuna wachache watamshabikia lakini ukweli ni kwamba atashindwa vibaya tena Kampeni zikianza atakimbia Nchi Kwa Hoja atakazoshindiliwa
Ningekuwa Mimi ndiye mmoja wa kamati kuu ningeshauri ateuliwe Lazaro Nyalandu kwani anaonekana kuwa na Hoja ambazo hata kama asingeshinda zingeisaidia Serikali katika kujenga lakini Tundu Lissu anaongelea personal Issues na ugomvi wake na Serikali kuliko Hoja za Maendeleo,sina uhakika kama wananchi tunataka kusikia alivyoumia,alivyotibiwa na anavyojisikia Kwa SASA. Tunahitaji Sera zake za kimaendeleo kwamba atalifanyia Nini Taifa hili endapo atashinda?
Bahati mbaya zaidi Kwa Tundu Lissu ni mtu ambaye anajiona anajua kila kitu hataki Ushauri wala hataki kubadilika ni Yule Yule wa mwaka 2015,2016,2017,2018 kiufupi ni Msomi asiyejielewa Kwa Maendeleo aliyofanya Magufuli ilipaswa kuletwa Mpinzani mwenye agenda za kutosha!
Ni heri Membe kuliko huyu kituko wenu!
Very good KiongoziNini maoni yako kuhusu Membe, Rungwe, Muttamwenga, Lipumba na wagombea wengine? Kwa nini TL tu? Inaonekana amewanyima usingizi kabisa. Na sisi wajanja huyo mnayemwandama ndiye tutampa kura. Kwa maneno mengine mnampigia kampeni.
Mkuu uchaguzi wa selikali za mtaa si kinajulikana kilichotokea?Kwani ccm inategemea kura kukaa madarakani? Kama inategemea kura na inajua kumbembeleza wapiga kura, sema mlipata kura kiasi gani uchaguzi wa SM.
Mkuu uchaguzi wa selikali za mtaa si kinajulikana kilichotokea?
Huyu kweli ni pepo wa upumbavuHawa ndio ninaowatoaga mapepo mchana kweupe.
Haya pepo mchafu toka
Pepo wa upumbavu na ujinga toka
Pepo unayemtesa huyu kijana toka.
Tundu Lissu anawajambisha mbayaNi makosa ambayo wanayafanya Kwa mara ya Pili ndani ya vipindi muhimu vya Uchaguzi, Uchaguzi wa mwaka 2015 walikosea na hii tena wamekosea.
Moja ya advantage kubwa ya Chama cha Mapinduzi wakiacha pressure na mihemuko Kwa kipindi hiki ni kama hawana Mpinzani katika nafasi ya Uraisi, Tundu Lissu ni mwepesi sana katika Siasa za majukwaani kwanza Hana Hoja za msingi zinazofanya wananchi walio wengi kumkubali.
Kuna wachache watamshabikia lakini ukweli ni kwamba atashindwa vibaya tena Kampeni zikianza atakimbia Nchi Kwa Hoja atakazoshindiliwa
Ningekuwa Mimi ndiye mmoja wa kamati kuu ningeshauri ateuliwe Lazaro Nyalandu kwani anaonekana kuwa na Hoja ambazo hata kama asingeshinda zingeisaidia Serikali katika kujenga lakini Tundu Lissu anaongelea personal Issues na ugomvi wake na Serikali kuliko Hoja za Maendeleo,sina uhakika kama wananchi tunataka kusikia alivyoumia,alivyotibiwa na anavyojisikia Kwa SASA. Tunahitaji Sera zake za kimaendeleo kwamba atalifanyia Nini Taifa hili endapo atashinda?
Bahati mbaya zaidi Kwa Tundu Lissu ni mtu ambaye anajiona anajua kila kitu hataki Ushauri wala hataki kubadilika ni Yule Yule wa mwaka 2015,2016,2017,2018 kiufupi ni Msomi asiyejielewa Kwa Maendeleo aliyofanya Magufuli ilipaswa kuletwa Mpinzani mwenye agenda za kutosha!
Ni heri Membe kuliko huyu kituko wenu!
Chadema mlikosea kujaza form! Baada ya kuona wengi manaenguliwa kwa makosa ya kujaza form mkajitoa ccm ikabeba viti vyoteKipi kiseme ili tuone mnavyoshinda, ili tujiridhishe na mwenendo wa uchaguzi kwa hii miaka mitano ya Magufuli.
STILL LOT MORE TO COME FROM TLNi makosa ambayo wanayafanya Kwa mara ya Pili ndani ya vipindi muhimu vya Uchaguzi, Uchaguzi wa mwaka 2015 walikosea na hii tena wamekosea.
Moja ya advantage kubwa ya Chama cha Mapinduzi wakiacha pressure na mihemuko Kwa kipindi hiki ni kama hawana Mpinzani katika nafasi ya Uraisi, Tundu Lissu ni mwepesi sana katika Siasa za majukwaani kwanza Hana Hoja za msingi zinazofanya wananchi walio wengi kumkubali.
Kuna wachache watamshabikia lakini ukweli ni kwamba atashindwa vibaya tena Kampeni zikianza atakimbia Nchi Kwa Hoja atakazoshindiliwa
Ningekuwa Mimi ndiye mmoja wa kamati kuu ningeshauri ateuliwe Lazaro Nyalandu kwani anaonekana kuwa na Hoja ambazo hata kama asingeshinda zingeisaidia Serikali katika kujenga lakini Tundu Lissu anaongelea personal Issues na ugomvi wake na Serikali kuliko Hoja za Maendeleo,sina uhakika kama wananchi tunataka kusikia alivyoumia,alivyotibiwa na anavyojisikia Kwa SASA. Tunahitaji Sera zake za kimaendeleo kwamba atalifanyia Nini Taifa hili endapo atashinda?
Bahati mbaya zaidi Kwa Tundu Lissu ni mtu ambaye anajiona anajua kila kitu hataki Ushauri wala hataki kubadilika ni Yule Yule wa mwaka 2015,2016,2017,2018 kiufupi ni Msomi asiyejielewa Kwa Maendeleo aliyofanya Magufuli ilipaswa kuletwa Mpinzani mwenye agenda za kutosha!
Ni heri Membe kuliko huyu kituko wenu!
Una uhakika na uraia wako baada ya kuandika haya?Tundu Lissu kwa Hakika na siyo Siri anawanyima CCM Usingizi kwa 80%....!!!
Sifa za TAL-2020 zinapiku za Jiwe kwa mbali sana. Huwezi kuilinganisha MWANASHERIA MSOMI na MKEMIA aliyeghushi Udaktari Chuo Kikuu.
TAL-2020 ataondoa MAKONDOKANDO mengi Sana ya SHERIA MBOVU ZA NJI HII tangu enzi za Mchonga.....!!!
Hatuwexi kutawaliwa na Chama kimoja kwa zaidi ya nusu Karne....we need a big change now..!! Wakti ni Sasa.
Ni makosa ambayo wanayafanya Kwa mara ya Pili ndani ya vipindi muhimu vya Uchaguzi, Uchaguzi wa mwaka 2015 walikosea na hii tena wamekosea.
Moja ya advantage kubwa ya Chama cha Mapinduzi wakiacha pressure na mihemuko Kwa kipindi hiki ni kama hawana Mpinzani katika nafasi ya Uraisi, Tundu Lissu ni mwepesi sana katika Siasa za majukwaani kwanza Hana Hoja za msingi zinazofanya wananchi walio wengi kumkubali.
Kuna wachache watamshabikia lakini ukweli ni kwamba atashindwa vibaya tena Kampeni zikianza atakimbia Nchi Kwa Hoja atakazoshindiliwa
Ningekuwa Mimi ndiye mmoja wa kamati kuu ningeshauri ateuliwe Lazaro Nyalandu kwani anaonekana kuwa na Hoja ambazo hata kama asingeshinda zingeisaidia Serikali katika kujenga lakini Tundu Lissu anaongelea personal Issues na ugomvi wake na Serikali kuliko Hoja za Maendeleo,sina uhakika kama wananchi tunataka kusikia alivyoumia,alivyotibiwa na anavyojisikia Kwa SASA. Tunahitaji Sera zake za kimaendeleo kwamba atalifanyia Nini Taifa hili endapo atashinda?
Bahati mbaya zaidi Kwa Tundu Lissu ni mtu ambaye anajiona anajua kila kitu hataki Ushauri wala hataki kubadilika ni Yule Yule wa mwaka 2015,2016,2017,2018 kiufupi ni Msomi asiyejielewa Kwa Maendeleo aliyofanya Magufuli ilipaswa kuletwa Mpinzani mwenye agenda za kutosha!
Ni heri Membe kuliko huyu kituko wenu!
Ni makosa ambayo wanayafanya Kwa mara ya Pili ndani ya vipindi muhimu vya Uchaguzi, Uchaguzi wa mwaka 2015 walikosea na hii tena wamekosea.
Moja ya advantage kubwa ya Chama cha Mapinduzi wakiacha pressure na mihemuko Kwa kipindi hiki ni kama hawana Mpinzani katika nafasi ya Uraisi, Tundu Lissu ni mwepesi sana katika Siasa za majukwaani kwanza Hana Hoja za msingi zinazofanya wananchi walio wengi kumkubali.
Kuna wachache watamshabikia lakini ukweli ni kwamba atashindwa vibaya tena Kampeni zikianza atakimbia Nchi Kwa Hoja atakazoshindiliwa
Ningekuwa Mimi ndiye mmoja wa kamati kuu ningeshauri ateuliwe Lazaro Nyalandu kwani anaonekana kuwa na Hoja ambazo hata kama asingeshinda zingeisaidia Serikali katika kujenga lakini Tundu Lissu anaongelea personal Issues na ugomvi wake na Serikali kuliko Hoja za Maendeleo,sina uhakika kama wananchi tunataka kusikia alivyoumia,alivyotibiwa na anavyojisikia Kwa SASA. Tunahitaji Sera zake za kimaendeleo kwamba atalifanyia Nini Taifa hili endapo atashinda?
Bahati mbaya zaidi Kwa Tundu Lissu ni mtu ambaye anajiona anajua kila kitu hataki Ushauri wala hataki kubadilika ni Yule Yule wa mwaka 2015,2016,2017,2018 kiufupi ni Msomi asiyejielewa Kwa Maendeleo aliyofanya Magufuli ilipaswa kuletwa Mpinzani mwenye agenda za kutosha!
Ni heri Membe kuliko huyu kituko wenu!
Chadema mlikosea kujaza form! Baada ya kuona wengi manaenguliwa kwa makosa ya kujaza form mkajitoa ccm ikabeba viti vyote
Pumbavu,, wangempitisha Nyalandu tena mngesema CHADEMA haina wagombea? Subirini dawa iwaingie punda nyie! Mwaka huu mpaka mjambe cheche!Ni makosa ambayo wanayafanya Kwa mara ya Pili ndani ya vipindi muhimu vya Uchaguzi, Uchaguzi wa mwaka 2015 walikosea na hii tena wamekosea.
Moja ya advantage kubwa ya Chama cha Mapinduzi wakiacha pressure na mihemuko Kwa kipindi hiki ni kama hawana Mpinzani katika nafasi ya Uraisi, Tundu Lissu ni mwepesi sana katika Siasa za majukwaani kwanza Hana Hoja za msingi zinazofanya wananchi walio wengi kumkubali.
Kuna wachache watamshabikia lakini ukweli ni kwamba atashindwa vibaya tena Kampeni zikianza atakimbia Nchi Kwa Hoja atakazoshindiliwa
Ningekuwa Mimi ndiye mmoja wa kamati kuu ningeshauri ateuliwe Lazaro Nyalandu kwani anaonekana kuwa na Hoja ambazo hata kama asingeshinda zingeisaidia Serikali katika kujenga lakini Tundu Lissu anaongelea personal Issues na ugomvi wake na Serikali kuliko Hoja za Maendeleo,sina uhakika kama wananchi tunataka kusikia alivyoumia,alivyotibiwa na anavyojisikia Kwa SASA. Tunahitaji Sera zake za kimaendeleo kwamba atalifanyia Nini Taifa hili endapo atashinda?
Bahati mbaya zaidi Kwa Tundu Lissu ni mtu ambaye anajiona anajua kila kitu hataki Ushauri wala hataki kubadilika ni Yule Yule wa mwaka 2015,2016,2017,2018 kiufupi ni Msomi asiyejielewa Kwa Maendeleo aliyofanya Magufuli ilipaswa kuletwa Mpinzani mwenye agenda za kutosha!
Ni heri Membe kuliko huyu kituko wenu!
CCM mmekosea sana kumpitisha jiwe kwa sababu hauziki, wananchi wamechokaNi makosa ambayo wanayafanya Kwa mara ya Pili ndani ya vipindi muhimu vya Uchaguzi, Uchaguzi wa mwaka 2015 walikosea na hii tena wamekosea.
Moja ya advantage kubwa ya Chama cha Mapinduzi wakiacha pressure na mihemuko Kwa kipindi hiki ni kama hawana Mpinzani katika nafasi ya Uraisi, Tundu Lissu ni mwepesi sana katika Siasa za majukwaani kwanza Hana Hoja za msingi zinazofanya wananchi walio wengi kumkubali.
Kuna wachache watamshabikia lakini ukweli ni kwamba atashindwa vibaya tena Kampeni zikianza atakimbia Nchi Kwa Hoja atakazoshindiliwa
Ningekuwa Mimi ndiye mmoja wa kamati kuu ningeshauri ateuliwe Lazaro Nyalandu kwani anaonekana kuwa na Hoja ambazo hata kama asingeshinda zingeisaidia Serikali katika kujenga lakini Tundu Lissu anaongelea personal Issues na ugomvi wake na Serikali kuliko Hoja za Maendeleo,sina uhakika kama wananchi tunataka kusikia alivyoumia,alivyotibiwa na anavyojisikia Kwa SASA. Tunahitaji Sera zake za kimaendeleo kwamba atalifanyia Nini Taifa hili endapo atashinda?
Bahati mbaya zaidi Kwa Tundu Lissu ni mtu ambaye anajiona anajua kila kitu hataki Ushauri wala hataki kubadilika ni Yule Yule wa mwaka 2015,2016,2017,2018 kiufupi ni Msomi asiyejielewa Kwa Maendeleo aliyofanya Magufuli ilipaswa kuletwa Mpinzani mwenye agenda za kutosha!
Ni heri Membe kuliko huyu kituko wenu!
Ulimsikia Lisu wakati anaomba wadhamini!Sio cdm maana vyama vyote vya upinzani vilisusia. Sasa huo ulikuwa ni uchaguzi au mtihani wa kujaza fomu za uchaguzi? Hizo ni fomu za aina gani ambazo watu wa vyama vyote vya upinzani wakosee, ila ccm tu ndio wapatiwe bila kukosea? Hao wagombea waliojaza hizo fomu, wameshajaza fomu nyingi sana kwenye maisha yao, mbona wasikosee au kunyimwa hizo huduma kwa kushindwa kujaza fomu?
Hivi unadhani watu ni wajinga wa hivyo boss? Ndio maana tunawachora tu mnavyokusanya makundi mbalimbali kama ya dini, wasanii nk kumsifia Magufuli na kuhubiri amani uchwara, huku makundi hayo yakifumbia mambo viashiria vya wazi kabisa vya kuingiza nchi hii kwenye machafuko. Nikuhakikishie, kama nchi hii itaingia kwenye machafuko, 50%+ itakuwa ni Magufuli. Acha watu waigize unafiki, huku wakifumbia macho ukweli.
Kuna mtu alifuata form akaambiwa hazipo?CCM mmekosea sana kumpitisha jiwe kwa sababu hauziki, wananchi wamechoka
Kwa nini hamkutoa atlist form za kutosha kila anaetaka kugombea achukue form, mmetoa form moja mnaogopa nini?
Halafu bila aibu mnakuja hapa kulaumu chama pinzani, pambaneni na mgombea wenu, huyu wa kweetu mwacheni hawahusu.
Hata ningekua mimi singefata form kwa kweli unaweza kupokelewa na wasiojulikanaKuna mtu alifuata form akaambiwa hazipo?