Uchaguzi 2020 CHADEMA mmekosea sana kumpitisha Tundu Lissu kuwa Mgombea Urais

FAct, hawa mbogamboga wamezoea kuimbiwa ahadi za maji na barabara miaka nenda rudi bila mafanikio na hawataki kuumiza akili kujua tatizo lipo wapi sasa mwenye kututoa kwenye hii shida ni TL bahati nzuri Mungu amemleta kwenye wakati muafaka.
 
Lisu ni mwanaharakati!

Anawasisimuua zaidi vijana na watu wenye mizuka kama wale wanaoendaga kwenye matamasha ya Diamond!

Lakini hana hoja za kumbembeleza mpiga kura mwenye akili anaejua kuchanganua mambo akamwelewa.

Lisu akipata 20% ya kura nahama nchi. Naenda zangu Zimbabwe!
 

Ww kama mwanaccm sio juu yako kuwashauri cdm, na inaonekana huna lolote ujualo kuhusu siasa. Kwa sasa muda wa kampeni bado, kama unahitaji sera subiri wakati huo. Kwa sasa ni kusaka wadhamini. Kama cdm wamekosea si ndio furaha kwenu ccm ili mpate mshindani dhaifu? Huyo Nyalandu anzisha chama chako mpe agombee urais. Na kama mnahitaji hoja zake, bado hajafa mfuateni akawape mzifanyie kazi.

Ukitaka kujua Lisu anaaongea nini mlipie live covarage usikie anachoongea, sio usubiri kwenye vyombo vya habari vilivyo biased, vinavyoleta habari nusu nusu kwa hofu.
 

Kwani ccm inategemea kura kukaa madarakani? Kama inategemea kura na inajua kumbembeleza wapiga kura, sema mlipata kura kiasi gani uchaguzi wa SM.
 
Mti wenye matunda ndio huwa unapigwa mawe!CCM mmebanwa na tumbo la kuhara baada ya kuona kishindo cha Lissu!Nasisitiza kuwa JF walau asilimia kubwa ni watu wenye ufahamu,propaganda mfu na za hovyo kama hizi pelekeni huko facebook huenda mtapata wajinga wa kuwaokota!
Ifike mahali muiheshimu JF na muache kuja na hoja mfilisi zisizo na mashiko!
Lissu kamatia hapo hapo mpaka wanene kwa lugha hawa Mataga!
 
Ulitaka tumuweke Membe?

Lissu anajifanya "anajua",ulitaka tuweke mtu anajifanya "hajui" tukuridhishe wewe?

Maccm sijui mmepaniki nini aiseee!

Lissu hawahusu,anatuhusu sisi,nyie sijui mnaharisha nini?

Kama Lissu ni mgombea dhaifu si ndio vizuri kwenu mshinde kirahisi?

Lissu kapigiwa kura na wanachama wa Chadema agombee urais,ndio demokrasia,wewe matako mmoja huko nje unawapangia wanachama wa Chadema what to do na kura zao walizopiga?

Kachaguliwa,ndio kapita,wacha agombee!

Ungemleta Membe Chadema nae agombee!Hakuja,so shut you big stinky butt!
 
Huna tofauti na makende

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Lisu 2020,endeleeni kurukaruka karibia mnaiva, naona mekuwa na huruma kwa chadema ghafla ccm lazima ife mwaka huu
 
🤣🤣🤣🤣 Naikumbuka Chadema iliyokuwa inaaapa kuwa tunaanza na Mungu na tunamaliza na Mungu, sasa hii ya sasa nikinyume. Wanasema hakuna Mungu hapa eti Mungu watamkuta Mbinguni. Hivi kweli Chadema imechanganyikiwa hivyo. Najaribu kutafakari kwa Kina inakuweje Chadema wamefikia hatua kama hii Mbaya kweli na tofauti na Misingi ya Imani, au Chadema tayari wamejiunga na Freemason Group/Wapinga Kristo. Na cha Kusikitisha sana utakuta kiongozi wa dini naye yupo na anapiga Makofi.

Kwa nilivyoiona Chadema imeonekana wazi ni aina nyingine ya Corona. Tuchukue tahadhali na tujiepushe na Roho ya Mpinga Kristo/Chadema.
Msinifokeee maaana Tayari mumejitambulisha kuwa nyie ni Wapinga Kristo.
Nondo itakuwa imeeleweka####
 
Huu ndio ukweli.
 
Kwani Kampeni zimeanza ?
 
Sasa kama wamekosea si ndio vizuri CCM ishinde. Kunamsemo wa kiswahili unasema "Adui muombee njaa" sasa CDM washakosea nyie furahini kuwa hamna upinzani.
Kuna mdau alishauri humu kwa mods hizi nyuzi zote zinazohusu kumponda Lissu ziunganishwe tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…