Uchaguzi 2020 CHADEMA mmekosea sana kumpitisha Tundu Lissu kuwa Mgombea Urais

Ulimsikia Lisu wakati anaomba wadhamini!

Alisema mwaka huu madiwani na wabunge wajitahidi kusoma kwa makini wajazapo form za uchaguzi ili isiwe kama kwenye selikali za mitaa!

Kwa kauli hiyo unapata picha gani?

Aliweka msisitizo ili kusiwepo kisingizio. Inawezekana mtu mmoja au wawili wakakosea, lakini sio asilimia 90%+. Hilo haliwezekani, na ndio mahali alipoweka msisitizo.
 
Kampeni hazijaanza kiasi kwamba wananchi tupate picha kamili ya anavyokwenda kutekeleza sera zinazotekelezeka.Hivyo Bado ni mapema mno kusema kwamba Tundu Lissu hana Hoja wakati Kampeni bado.Hapo Lumumba Mwaka huu tafuteni kazi za kufanya kabla ya oct 28. hakutakua na malipo ya buku7 tena maaana CCM kitaibuka na Kipigo cha mbwa Koko.
 
Anaeleweka vema sana kama humwelewi ni wewe
Angeteuliwa Nyarandu mngekuja na swaga nyingine ohh katokea ccm kwa hivyo itakuwa kama kwa Lowasa this time wakishindwa washindwe ila kihalali chaguo lilikuwa sahihi tena zaidi kwa sasa.
Kamanda kama kuna wakati ambao CHADEMA kina mgombea aliefiti nafasi ya Urais basi ni mwaka huu 2020.
 

Mkuu Kampeni bado hazijaanza ,unaposema kwamba Lissu aongelee atafanya nini akishinda inaonekana haumfatilii lissu wala CDM,hayo walishazungumza wakati anatangazwa kama mgombea kwa tiketi ya CDM na pia ilani ya chama ilisema vipaumbele vyao.
 
Lisu ni mshamba fulani na limbukeni. Ndio maana amebwaga moyo kusujudia wazungu na ubeberu. Ni mtu mbinafsi na mlaku. Bila shaka mumeona picha anavyofakalia vi ywaji na mlo huko ubeljiji. Mgonjwa amerudi na kitambi 😂😂🤣🤣🤸🤸
 
Naona umewatwisha gunia la misumari...! Wanagumia tu! Hawana namna.
====
Wametwambia kuwa kampeni hazijaanza na ilani yao ya Uchaguzi haijawekwa hadhari. Nawasubiri waanze kampeni na wazidue hiyo ilani yao.
 
..hakuna mgombea ambaye ni perfect au asiye na kasoro/mapungufu.

..pia kampeni hazijaanza, hivyo siyo sahihi kutoa hukumu TL ni mgombea wa aina gani.

..lakini ana vigezo muhimu ambavyo mgombea anapaswa kuwa navyo.

..kilichobakia ni chama kumpa ILANI inayouzika na TL kwenda kuitetea kwa wananchi.
 
Hapo umenena kwa jicho la njenje sana bado hawatakuelewa. Ungenena kwa jicho ndani wangeishia kukutukana.

Wasubiri Aug 26.
 
Kamanda kama kuna wakati ambao CHADEMA kina mgombea aliefiti nafasi ya Urais basi ni mwaka huu 2020.
Hata Mzee wa Mihogo naona amepwaya sana kwa Lissu! Yaani Mungu huyu mwacheni aitwe Mungu. Mboga mboga mwaka huu mpaka ajambe cheche!!
 
Hata Mzee wa Mihogo naona amepwaya sana kwa Lissu! Yaani Mungu huyu mwacheni aitwe Mungu. Mboga mboga mwaka huu mpaka ajambe cheche!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sasa huyo wa huko ndiyo ana hoja ?!.
Malimwengu haya . Daahh
 
Ila ma single mother bana...naona umechanganyikiwa
 
MaCCM mtatema tu ndoano.. CCM ya Magufuli wajipange kukabizi nchi kwa nguvu ya Umma. Pushapu na kujamba majukwaani havitamsaidia kitu.

#LISSURAIS2020
Vipi mkuu?

Naona Lisu kakabidhiwa nchi
 
Nashukuru msimamo wangu ulitimia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…