CHADEMA mmeshapata ushindi mkubwa sana. Ikifika saa 2:55, ahirisheni maandamano

CHADEMA mmeshapata ushindi mkubwa sana. Ikifika saa 2:55, ahirisheni maandamano

Tunalishukuru saaana jeshi la Polisi kwa kujitolea kuandamana badala yetu. Ujumbe umefika duniani kote kuwa Tanzania kuna tatizo la ukiukwaji wa haki za binadamu. Asanteni sana kwa ushirikiano wenu .
 
Mpaka sasa, CHADEMA wameshinda maandamano. Nashauri ahirisheni maandamano kwa leo, kaeni kama siku mbili hivi, tangazeni maandamano mengine ili tu kuwapa pressure watesi wenu
samia amani.png
 
Back
Top Bottom